After searching and searching for this song finally it's here with me. God bless you pst Collins for this reviving and heart touching and transforming song.
Amen,,, Amen Asante yesu nina imani yakuwa yele unaniazia nimaku kuliko ninayo yathani, pokea sifa baba niwewe katika maisa yangu 😂😂😂 ❤❤❤❤ watosha yesu kwa yote ninayo yaona pokea sifa Amen 🙏
Wimbo huu umeponya moyo wangu nilikuwa katika mawazo mengi sikuwa najua nifanye nini katika hali ninayopitia lakini nikiposikiza wimbo huu nikapona na kupata furaha moyoni mwangu.ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU.
Mungu naomba ukaweze kunifungulia Kazi kupitia Kwa ii worship song, don't let me down Jehovah 😢🙏
Baba Najua ninajua uko naawazo mema juu yangu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤..napitia hali ya uchungu na maumivu
Hatimae nimeupata huu wimbo baada ya Albert Chalamila kupost akiucheza🙏❤️
😁 ndiyo
Tuko wengi ndugu
Me too😅
😊
Tupo wengi hakika ni.mzuri na unabariki
Tuliokuja kuutafuta bahada ya muheshimiwa chalamila kupost akicheza tujuane kwa like
😂😂😂 mm pia
Nitaishi kumwabudu Mungu kila siku👏👏👏👏👏 hakuna mungu mwingine aliye kama wewe..mungu ni yeye pekee hii dunia
Great worship experience👏👏👏
Wimbo mtamu sana, ninapouchesa ua unatia moyo sana AMEN. YES naomba unitangulie ndio nifike salama baba❤❤
Indeed a true worship,
Ni God jameni ❤
Ee Bwana ends ukamitangulie mwaka tunaoenda kuaza WA 2025 maana najua una mipango na mawazo mazuri kwangu
Nitangulie bwana Kwa kazi zote za mikono yangu....I need u more than ever
Oh hallelujah🙌🙌
Samahani ndugu na dada katika kristu naomba mtu anisaidie kupata audio ya hii mix maanake naitafuta hila sioni
After searching and searching for this song finally it's here
with me.
God bless you pst Collins for this reviving and heart touching and transforming song.
Amen, Amen mungu nikumbuke kubitia kwa hu wimbo. Pastor nikumbuke kwa maombi Thanks
Mungu nitangulie ...nisihaibike mbele zako bwana🙏🙏🙏🙏
Mungu atutangulie kwa kila jambo🙏🙏🙏
Natamani siku moja kushirikiya na ww katika uimbaji barikiwa sana mtu
Amen 🙏 thank you to the Lord,,,kwa kuwa ananiwazia mema mwokozi🙏
Asante bwana najua mawazo yako kwangu ni mawazo mema ...Amen🙏
Amen❤❤❤
Ubarikiwe pr
Barikiwa pst Collins mungu akutie nguvu kwa kazi yake
May God bless the man of God
I felt strong after listening to this worship.ifelt the presence of God around.glory be to God
Amen,,, Amen Asante yesu nina imani yakuwa yele unaniazia nimaku kuliko ninayo yathani, pokea sifa baba niwewe katika maisa yangu 😂😂😂 ❤❤❤❤ watosha yesu kwa yote ninayo yaona pokea sifa Amen 🙏
This song adds my faith to be strong
Wow so nice song much love ❤❤❤
Wimbo huu imeniguza hadi niwazia mengi ambayo nimeyapitia, ubarikiwe mtumishi wa mungu.
Hakuna mungu mwengine ila ni wewe🎉🎉🎉
Huu ni wimbo ulioimbwa ndani ya Roho....huu wimbo umejaa Yesu
Wow nice song be blessed 🙏🙏
Nababarikiwa sana na hizi worship zako mtumishi wa Mungu,hebu Mungu akuinue kiwango cha mataifa🎉🎉🎉🎉🎉
I wonder sjaimskia before. He's a great servant of God. Mungu akazidi kumuinua🙏
Amen
Huu wimbo unanitia nguvu sana wakati huu mgumu baada ya niliyemwamini maishani mwangu kunivunja moyo.Huyu Mungu halali.
Pole mungu yupo
Jamani baba anasauti ya baraka na inapenya ndani ya mioyo yetu inuliwa baba amina
Glory to God
More anointing will be upon you
God bless you man of God, Amen 🙏
God bless the work of my hand
God of Pastor Khisa locate me
Thanks men of God..
Sure hakuna Mungu kama yeye,na hatawai kuwa,Amen
Great praises🎉🎉🎉🎉 continue with thät ministries
Eeh Mungu wangu niongeze nifike kwako daima milele ❤
Nitangulie bwana ninatamani kufika🙏🙏🙏
Baba nitangulie....Ninatamani kufika🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ameeeeeeeen mutumish WA mungu
Nitangulie Bwana kwa kila jambo kwani siwezi bila wewe 😭😭😭😭😭.
Amen ubarikiwe sana mtumishi
Kuna mungu binguni🙏🙏
Huyu mzee hakika anaimba kama William Yilima❤❤❤
Glory
More blessings Man of God 🙏
Singing this song with understanding and seriousness really opens heaven's for those who mean it
Bwana nitangulie kwa kila kazi ya mikono yangu dadiii
Hallelujah glory to God 🙏🙏
What a wonderful God in deed
Powerful song it opens the heaven
Katikati safari yangu nitangulia
Hakuna kama wewe yesu
Unaniwazia mema mfalme ❤❤❤❤
Amen am really blessed by this song
Unabudu unaskia ni kama uko na malaika mbnguni❤
Wimbo huu umeponya moyo wangu nilikuwa katika mawazo mengi sikuwa najua nifanye nini katika hali ninayopitia lakini nikiposikiza wimbo huu nikapona na kupata furaha moyoni mwangu.ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU.
A gooood worship song.Congratulations
God bless you and your worship ministry.
Amen this is true worship 🙏🙏🙏
Hakika hakuna Mungu mwengine kama Jehovah, inuliwa Baba yetu wa mbinguni
Be blessed man of God
Hakika mungu wa mbinguni akubariki Sana mtumishi wa mungu nyimbozako ,zimenisaidia Sana barikiwa saana
❤such powerful worship.God bless you man of God
God bless you pastor 🎉🎉🎉🎉
I just love and feel the song in heart
Good job mchungaji🎉you transforming lives.
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏 hakika unaniwazia mema ..
Ubalikiwe Sana mtumishi
Wow! Barikiwa sana. Asante kwa kunisaidia kufika 100k subs. Amen
Hakika kunaye Mungu anayeinua wasiojiweza barikiwa Sana mtumishi .
Hakika wimbo huu umenigusa moyoni najua Mungu ako nampango mwema Amen.
Mon redapteur et vivant
blessing to listen
Amina mtumishi wa mungu nimebarikiwa sana kwa nyimbo zako nimeipata baada ya kuona kwa mh chalamila akicheza 🎉🎉🎉 nimebarikiwa sana
Glory
Nice songs ❤❤❤
Continue with the same spirit apostle,unanileta kwa njia za mungu na nyimbo zako,,you got a talent,good voice of worshipping glory to God
Glory to God
@@pastorcollinskhisa5862 Amen
Powerful worship may God bless you 🙏
Barikiwa mtumishi wa MUNGU wimbo ni mzuri sana unabariki na hakika uwepo.wa MUNGU upo.kwa kuisikiliza barikiwa sana ❤
Amina
Amazing song mchungachi more grace Minister of the gospel 🎉🎉🎉🎉
Amen
Ameen man of God ninabarikiwa Sana na huduma yako❤❤❤🤝🙏
Hakuna anayebadilisha kama yeye ameni
Ameeeee,najua.mipago ya mungu kwangu ni mema
Hallelujah hallelujah 😢😢😢
Barikiwa tu sana pastor
Amen hakika mungu natamani kufika.waja mungu hawainue kwa viwango vingine🙏🙏🙏🙏
May GOD bless you
Akika mtumishi ubarikiwe nimeskia kwa gari nikienda kazi hadi nikaulizia dereva akaniambia nimepata ubarikiwe sana
Amen🙏🏾🙏🏾🙏🏾 so touching 🙏🏾 blessed
Wow what a worship
Amen amen mtumishi wa mungu wimbo safi sana amen amen barikiwa sana amen amen
Amen
Bwana naijua mawazo unayoniwazia ni mema,pastor nyimbo zako zabariki sana may the lord bless you and your team🙏🙏
Glory to God
The song carries the presence of God 🙏🙏🙏
Mungu atusaidie
Oh amen so blessing songs and lam blessed so much
Amen
Amen i receive in Jesus name please pray for me this morning i receive in Jesus name amen 🙏🙏🙏
Amen
I am so blessed. Blessings to you and your Ministry
I'm learning with age that my breath and entirety is dependent on Christ Jesus! 🙏
Hallelujah
Aki mungu akubariki sana mtumishi wa mungu, ok na mimi nabarikiwa nikiwa samburu County maralal🎉🎉🎉🎉🎉
Hakuna Mungu mwingine aliye kama wewe..Alleluya Alleluya 🙏🙏
Amen, nitangulie bwana kwa bidii yote ninayofanya kufungua maono yangu, bariki pia kazi ya mikono yangu, amen
Powerful worship
May our lord bless you brother 🙏
God’s plan❤
Amen, Amen Amen,ninasikiza nyimbo zako Kila wakati nikirudia Hadi naona mbingu zikifunguka,barikiwa sana
Am blessed. This is powerful 💪. More grace of God upon your life in Jesus name
Amen Amen