Pata MKOPO wa NMB kupitia simu ya mkononi paka 500,000 hapo hapo bila dhamana (Mshiko fasta)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ก.ย. 2024
  • katika video hii utajifunza jinsi ya kupata mkopo kutoka NMB BANK kupitia huduma ya NMB mkononi itakayo kuwezesha kupata mkopo kwa simu kwa haraka, mkopo bila dhamana mkopo wenye riba nafuu
    Ni katika mfululizo wa visldeo za kupata mikopo rahisi kupitia simu yako kirahisi, video ilio pita nilizungumzia app 10 bora za mikopo waweza tazama,
    app hozo ni kama, premier cash, cashx app, tala Tanzania, Brach, onepesa, pesax, umoja loan

ความคิดเห็น • 12

  • @BonnyMwajombe-iu7hb
    @BonnyMwajombe-iu7hb 5 หลายเดือนก่อน

    NMB ndo maisha yangu! Mmenitoa chini mmenipeleka juu

  • @zigasasu295
    @zigasasu295 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nina mkopo wa salary advance lkn nikiomba mshiko mnazingua

  • @HusseinOmary-so1cx
    @HusseinOmary-so1cx 4 หลายเดือนก่อน

    Hata Mimi pia naitaji mkopo huu Ila sijaelewa mpaka Sasa Nini nifanye ili nipate mkopo Ila naitajikujua mfano 1,000,000/= libayake ipoje na kwamdagani itanilazimu kuilipa?

  • @GwessaJrMahoyange-pk5xl
    @GwessaJrMahoyange-pk5xl 8 หลายเดือนก่อน

    mm naona NMB mgetoa mikopo iyo midogo midogo bila mashariti yasiyokuwa na msingi ikiwa tu muombaji ana akaunti ya NMB , sababu haileti maana nitumie kwanza NMB mkononi Mara kwa mara ndo nije nipate huo mkopo wenu wakati pesa sina nataka kuongezea mkopo kwny biashara yangu angalau halafu nyinyi tena mnadai mpaka niwe natumia Nmb mkononi pesa napata wapi sasa ?? Apo mfikirie upya bhana haina maana

  • @AshrafAbdul-i3u
    @AshrafAbdul-i3u หลายเดือนก่อน

    Ukibonyeza huoni neno mkopo

  • @GwessaJrMahoyange-pk5xl
    @GwessaJrMahoyange-pk5xl 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa mtu anahitaji mkopo fasta ili aongeze biashara mnamwambia kupata mkopo mpk awe anatumia NMB mkononi mara kwa mara sasa apo mnatusaidia kweli ?? niuongo tupu

  • @AshrafAbdul-i3u
    @AshrafAbdul-i3u หลายเดือนก่อน

    Hamna neno mkopo

  • @jamilaHamiss-u3s
    @jamilaHamiss-u3s 7 หลายเดือนก่อน

    Njia ya kupata huu mkopo ni Bos

  • @KasimuTwahil
    @KasimuTwahil 4 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji mkopo sasa

  • @SophiaCharles-m2q
    @SophiaCharles-m2q 9 หลายเดือนก่อน

    Naitaji mkopo

  • @angelmkunda9765
    @angelmkunda9765 9 หลายเดือนก่อน

    500000 riba ni ngap