Poleeeeeeeeeeee, kwa usumbufu sema ivi, Kwenye Msafala wa Mamba na Kenge wamo , Tuvumiliane na Kusameheana, Mungu akufute maumivu Akufariji, Akufanyie wepesi
Odemba Odemba wewe n mtu mkini sana huwaga nakufuatilia ktk vipindivyenu kusema ukweli wewe Odemba pamoja Mgas mmesama elimu ikaingia kichwani sio waandishi wengine wamesoma elimu ikaingia tumboni Sasa mmeiva mda wa kutupa alichowajalia mungu umefika msiogope mungu Yuko nyumba yenu
Inafikirisha sana. Hadi. nawaza. Inawezekana. Tunachama 1 bila kujua tulio wengi.bali Mungu atupe hekima na.hofu ya Mungu iwe nasi sote na viongozi wakwel. na wasimamia haki. Hasa Kwa wanyonge. Idadi yao iongezeke. Mungu. Aseme na viongozi. Awaonyesh lipi nisawa na lipi sio sawa kwa faida ya taifa vinginevyo ningummmm sasa.... Nk👁️👁️🙏☝️
Pole sana. Mwanzo mara nyingi huwa ni mgumu ila naamini huu ni mwanzo mzuri sanaa. Sisi tulipoandaa Zanzibar mdahalo wa Wagombea Urais mwaka 2015 licha ya wagombea wengine kama Maalim Seif na Dr. Sheni kutopatikana tuliendelea na wagombea wengine akiwemo Mhe. Hamad Rashid ilimradi tuwe tumeanza. Ni jambo zuri sana kwa demokrasia ya Nchi yetu na ipo siku litasimama vyema.
Ubalikiwe sana mwandishi wetu ndo mjue kwamba sisiemu haina njema na taifa hili inamana unajiamlia wenyewe mambo ya kufanya chumbani kwao na wake zao au wanaume zao sio kwa kujadiliana kama taifa moja hu ni uhuni wa sisiemu wazi wazi tutumie fulusa hi watz tuilani ccm na vitoto vyao ambavyo vinandaliwa uhuni hu😢😢 na ikiwezekana iwe basi
Polen ndugu yangu kwakweli ulikuwa na nia njema kabisa kwa taifa letu siku moja ugombee urais utapita kwa huruma zako kubwa ijapokuwa Ccm imetaa kushiliki kwenye mjadala huo mungu akubariki sana na kukusaidia kusonga mbelem
Daah! Pole sn Kaka Odemba kwa Wakati Mgumu uliyotokea...Watanzania Wote tunajua Wewe ni Mzalendo Sana,,, lkn usijali kbs ata Mm natamani Mkutano Ungefanyika Vzr Kabisa
Unajua kukutana na matokeo ya kitoto ambayo mtuzima alikuahidi kutekeleza halafu amekaa mahali anakunyw chai anacheka kwasababu hajaja mnatuumiza vijana ambao hatutaki kuandamana bali kujibizana kwa hoja tu mngekuja hata mtudanganye tu si wote tunataka kuandamana Lakin mtupe hata heshima basi mnapo tupa ahadi zilizo fanyika kwa nia njema pole kaka Odemba
Inauma sana aisee... si mmeona CCM WALIVYO WASHENZI...? maswala ya utekaji wao ndo wanayaongoza na serikal yao. ALafu kuja kuhojiwa hawatak. Watasababisha taharuki kubwa Ndani ya taifa hili kwa mambo ya kipumbavu kama yanayotokea katika utekaji
Maswaala ya utekaji ni mpango wa chadema hapo ndyo mmepigwa upofu na genge hilo linaongozwa na Lema ili kuichafua serikali hilo tunalijua. Mbinu zenu zimefeli kabisa
Tumepiga hatua mdogo mdogo tutafika. Hongera sana kwa hatua hii, safari moja huanzisha nyingine naomba tujipe moyo na tusonge mbele huko tutaupata mwanga na kutoka gizani tulimo.
Kwani angekuja machimbo halafu mmoja wa wapinzani asije wengine wangachanmdahalo!? Nadhani ni imaturity Fulani. What is CCM kwenye mahalo huo, kwamba asipokuwepo wengine waache? Very sad. Tuna safari ndefu Sana bado.
Daaa pole kk tupo kuzimu hii inchi ni ya watu frani kwa sababu wanajipenda wenyewe makatibu wa vyama vya siasa kutoshiliki ni machungu ya dharau ya CCM
Tunajua lengo lako ni zuri sana ila maccm washaona hii nchi yao daima milele hawataki kushindanishwa na vyama vyovyote vile hata kwenye Sanduku la kula wanaiba kura hawataki kushindwa hata iweje hata goli la mkono ni ujinga tu maccm
Ila hata awo wengine wamejikosesha hadhi why usiudhulie kisa mwengine tu tena moja wangesimama nafasi zao ili kuthibitisha wote ni wa ovyo wala ludhuku tu waoga wa maswali uyo jamaa ni nomaaa
Kama ninkulia kwa uchungu utalia kwa sababu ukweli unadhihiri na pwnyw ukweli uongo ujitenga, watu wanaogopa kupata aibu kwa kuulizwa maaswali dhahiri kutokana na umma kupata mwamko na uwelewa na kujua haki zao.
Wazalendo wengi hawalipwi mazuri,,Odemba tunajua kazi yako nzuri,,inaumiza sana ila tuko na ww kaka,,Aluta continua
Hongera sana Dr. Odemba umethubutu, Mungu akulinde na kukutunza, kazi yako ni njema sana. Mungu mwamuzi wa Haki hatimaye atasimama juu ya nchi.
Hongera ya nn? Kulia au! Mungu yupo pamoja na tz tangu mwanzo hata mlipomwangamiza magu bado tupo vizuri tu
Pole sana kaka Mungu akutie nguvu ni dhaili kua Uzalendo wakwer umo moyoni mwako wewe ni mzalendo wa kwer
Poleeeeeeeeeeee, kwa usumbufu sema ivi, Kwenye Msafala wa Mamba na Kenge wamo , Tuvumiliane na Kusameheana, Mungu akufute maumivu Akufariji, Akufanyie wepesi
Odemba Odemba wewe n mtu mkini sana huwaga nakufuatilia ktk vipindivyenu kusema ukweli wewe Odemba pamoja Mgas mmesama elimu ikaingia kichwani sio waandishi wengine wamesoma elimu ikaingia tumboni Sasa mmeiva mda wa kutupa alichowajalia mungu umefika msiogope mungu Yuko nyumba yenu
Usiogope chief odemba Mungu yupo pamoja nasi
😂 aogope nn sasa? Muulizeni analia nn? Au ni sehemu ya wapambe wa manyan'gau?
@@ndogoroedson199 NCHI HII INA MAIGIZO KILA PAHALA
HONGERA ODEMBA MUNGU AKUTIE NGUVU SANAAAA WATANZANIA TUNAIELEWA KAZI YAKO
Pole sana kaka ODEMBA mambo yatakua sawa. Kwa pamoja tusimame kulitetea taifahili
Jitetee mwenyewe! Taifa waachie wazalendo na c wasaka madaraka
Pole sana Chief Odemba...nia yako ni njema
Inafikirisha sana. Hadi. nawaza. Inawezekana. Tunachama 1 bila kujua tulio wengi.bali Mungu atupe hekima na.hofu ya Mungu iwe nasi sote na viongozi wakwel. na wasimamia haki. Hasa Kwa wanyonge. Idadi yao iongezeke. Mungu. Aseme na viongozi. Awaonyesh lipi nisawa na lipi sio sawa kwa faida ya taifa vinginevyo ningummmm sasa.... Nk👁️👁️🙏☝️
Pole sana. Mwanzo mara nyingi huwa ni mgumu ila naamini huu ni mwanzo mzuri sanaa. Sisi tulipoandaa Zanzibar mdahalo wa Wagombea Urais mwaka 2015 licha ya wagombea wengine kama Maalim Seif na Dr. Sheni kutopatikana tuliendelea na wagombea wengine akiwemo Mhe. Hamad Rashid ilimradi tuwe tumeanza. Ni jambo zuri sana kwa demokrasia ya Nchi yetu na ipo siku litasimama vyema.
Pole sana Mungu akufunike usije ukaitwa mwana harakati wakuteke😭😭
Mzarendo utamjua tupo p1never giveup✌️💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤛👊🤛👊🤛👊
Aliyekimbia mdahalo huu anajua udhaifu wao
Daah pole dr odemba mpk unanitoa machozi
Hakika odemba pole sana najua nyuma ya pazia kuna jambo duuuuh
Pole sana odemba ,maumivu n makbwa
Pole sana odemba Mungu akupe Subra
Pole sana wetu wa kuhoji! Usiogope hawa watu Mungu anawaona
Pole sana mate hii ni moja ya changamoto kuu kwa sources wetu hakika kazi yetu ni ngumu mno
Pole sana kaka Odemba. Mungu atakulipa.
Ubalikiwe sana mwandishi wetu ndo mjue kwamba sisiemu haina njema na taifa hili inamana unajiamlia wenyewe mambo ya kufanya chumbani kwao na wake zao au wanaume zao sio kwa kujadiliana kama taifa moja hu ni uhuni wa sisiemu wazi wazi tutumie fulusa hi watz tuilani ccm na vitoto vyao ambavyo vinandaliwa uhuni hu😢😢 na ikiwezekana iwe basi
Polen ndugu yangu kwakweli ulikuwa na nia njema kabisa kwa taifa letu siku moja ugombee urais utapita kwa huruma zako kubwa ijapokuwa Ccm imetaa kushiliki kwenye mjadala huo mungu akubariki sana na kukusaidia kusonga mbelem
MZALENDO ODEMBAA❤❤❤❤
Maandalizi hayakuwa sawa sana.Jifunze zaidi .Pole
Kazi nzuri way Forward lazima waje hapo kujibu maswali, wanaogopa nini??? God Bless You Brother!!!!
Pole sana kijana. Usikate tamaa. Nasi wananchi tumelaami kabisa.
Umelaani nn?
@@ndogoroedson199kuma wew
Pole Sana Kaka
Hope wakati mwingine watajifunza Viongozi wasiogope Midahalo
Daah! Pole sn Kaka Odemba kwa Wakati Mgumu uliyotokea...Watanzania Wote tunajua Wewe ni Mzalendo Sana,,, lkn usijali kbs ata Mm natamani Mkutano Ungefanyika Vzr Kabisa
Mzee anawakaanga sanaa.. nani anapenda kuzalilika
Pole sana kaka mtangazaji
Pole sana mwanangu, inaumiza sana
Poleeee sana My, Pole sana Odemba, Poleeeeeeeeeeeeeee tupo pamoja Poleeeeeee sana
Unajua kukutana na matokeo ya kitoto ambayo mtuzima alikuahidi kutekeleza halafu amekaa mahali anakunyw chai anacheka kwasababu hajaja mnatuumiza vijana ambao hatutaki kuandamana bali kujibizana kwa hoja tu mngekuja hata mtudanganye tu si wote tunataka kuandamana Lakin mtupe hata heshima basi mnapo tupa ahadi zilizo fanyika kwa nia njema pole kaka Odemba
Odemba,,pole sana,,kaka
Inauma sana aisee... si mmeona CCM WALIVYO WASHENZI...? maswala ya utekaji wao ndo wanayaongoza na serikal yao. ALafu kuja kuhojiwa hawatak. Watasababisha taharuki kubwa Ndani ya taifa hili kwa mambo ya kipumbavu kama yanayotokea katika utekaji
Maswaala ya utekaji ni mpango wa chadema hapo ndyo mmepigwa upofu na genge hilo linaongozwa na Lema ili kuichafua serikali hilo tunalijua. Mbinu zenu zimefeli kabisa
Mungu akutie nguvu imeniuma Sana
Hiyo ndo Tanzania , pia nakuombea ulinzi wa MUNGU BRO MAANA MMMM HII TZ
Pole sana mkuu
Pole sana najua Nia yenu ni njema
Pole Sanaa kichwa ww jamaaa Daaa ila inauma sanaaaa
Tumepiga hatua mdogo mdogo tutafika. Hongera sana kwa hatua hii, safari moja huanzisha nyingine naomba tujipe moyo na tusonge mbele huko tutaupata mwanga na kutoka gizani tulimo.
😅kumbe mpo gizani ee hii kali
@@ndogoroedson199 WAWASHE TAA
Inauma sana
Pole Sana chief odemba 😢😢😢
Pole sanaa kaka duuuh
Kwani angekuja machimbo halafu mmoja wa wapinzani asije wengine wangachanmdahalo!? Nadhani ni imaturity Fulani. What is CCM kwenye mahalo huo, kwamba asipokuwepo wengine waache? Very sad. Tuna safari ndefu Sana bado.
Kazi unaijuwa mungu akuongoze mdogo wangu
Daaa pole kk tupo kuzimu hii inchi ni ya watu frani kwa sababu wanajipenda wenyewe makatibu wa vyama vya siasa kutoshiliki ni machungu ya dharau ya CCM
Vizur san kaka 🎉
Makonda akiwa mwenezi aliwahi kuomba mdahalo mbona hukuandaa,Leo Kuna Nini mpaka unalia
Mmh sio bure inatafakarisha.
Makonda umuandalie mdahalo aongee nini, kwa uwezo upi alio nao
Mwenezi Na katibu mkuu Wapi Na Wapi?
inaumiza sana watu kujitaidi kujenga democracy afu wanakatishwa tamaa na watu kama Dr Nchimbi
Inauma sana Pole chifu odemba ulitenga muda wako kama mzalendo mjinga mmoja wa ccm akakufelisha
Bravo Odemba usikate tamaa tupo pamoj
Daaah polee Kakaa ila WAMEZINGUA
Acha uchoko we Odemba
Odemba u are among of patriotism.
Yaani kuna vitu vinaumiza sana dah!!
Odemba umeniumiza sana kaka
Hongera sana
Pole sana
Pole kaka
Pole kaka,
Pole sana chief
Pole sana odemba
Unafaa hakika unauchungu na wanyonge pole Yako O. Kijana usivunjike moyo ..!!pambanàaa..!!
Mwiz unamleta kwenye mjadala wa azii afu unategemea afikeee😂😂😂
Kwani makatibu wengine si walikuwepo mngeendelea tu na mdaharoooo wenu,sa unalia nini😮
Hakuna kukata tamaa kama kunahasala yakukodi jengo tuchangie usilie mwamba mungu yupo pamoja nawe toa namba tuchangie jengo
Ccm wabaya sana - kwanini Nchimbi asingesema haji?
Kwan hao waliokuja kwa nn wasiendelee? Mlikuwa na ajenda gani mpaka mnajiliza? Ni ujinga tu huo ndyo ubaya wa usaliti matokeo yake ni kulia lia tu
@@ndogoroedson199 UBAYA UBWELA SIO
@@ndogoroedson199watu wanatumia gharama kuandaa hizi contents zote. Kutokuhudhuria ni Usaliti
Ningeshangaa sana ccm na mdaro wapi na wapi.
Tunajua lengo lako ni zuri sana ila maccm washaona hii nchi yao daima milele hawataki kushindanishwa na vyama vyovyote vile hata kwenye Sanduku la kula wanaiba kura hawataki kushindwa hata iweje hata goli la mkono ni ujinga tu maccm
Polen sana inaumiza sana kuandaa mudaharo gharama kubwa viongozi tunaowategemea hawajatokea
Ila hata awo wengine wamejikosesha hadhi why usiudhulie kisa mwengine tu tena moja wangesimama nafasi zao ili kuthibitisha wote ni wa ovyo wala ludhuku tu waoga wa maswali uyo jamaa ni nomaaa
Nchimbi hawezi, angekuwa Makonda au Polepole hii Ngoma wangeimudu. Polepole na Makonda walikuwa wanatamani sana hii midahalo
Pole sana kaka
Inatakiwa tulie wote kizazi chetu kitatuhukumu kwahaya yanayo fanyika kwenye nchi yetu.
Chief Odemba,
Mungu wa mbinguni yupo pamoja nawe.
Acha usenge wewe, Mungu huyo unayemtaja hapa kwa ajili ya nini'?
@@Sahlomon-jp4jr ukifa utajua
@@conradsayi9179 unaacha kufanya ibada unaishia kumtaja Mungu mtukufu kwenye mambo ya ajabu ajabu kama huu uigizaji wa kiunaharakati. Pumbavu!
POLE SANA MR ODEMBA USIVUNJIKE MOYO
KILAKITU NA WASAA WAKE HUYU JAMAA NI MGONJWA WA AKILI KABISA
Kuto shiriki kwa ccm sio tatizo mbona chadema waligoma kushiriki vikao vingi vya vyama vya siasa lakini wengine hawakugoma
Unaelewa maana ya press na vikao???? Mawazo finyu
Vijana tuache ujinga Tuikatae Ccm nchi imewashinda
Na ccm kuna vijana werevu kuliko ww kibaraka mpango wenu umefeli
Nadhani watanzania wote wameshuhudia 😢😢
Kushuhudia nn sasa lijitu kujiliza au!
@@ndogoroedson199 🤣🤣 VITUKO SHOW
❤kaka odemba pole sana
Duh ! Ulikuwa umepania sanaaa duh !
Na hiyo tabia yao ya kuteka mtu akisema ukweli juu yao ...nasema watuteke wote watumalize wapo watoto wetu watalipa kisasi miaka ijayo
dah hii Ccm 😢😢😢😢😢😢 why why dah yan ni maskitiko makubwa sana
Huyu sasa ndiyo mzalendo wa kweli mwenye uchungu na nchi yake
Pole bro
Odemba usikate tamaa hiyo nichangamoto2
CCM duuuuuuu 🙆🙆🙆🙆🙆 chama kimezeheka kipumzike tuuuu
God may protect you
Pole kk utashindac
Silipendi li Ccm na kula sipigi ya aina yoyote😢
Kwan usipopiga kura unamkomoa nan? Hata ccm haikupendi pia
@@ndogoroedson199 comment yangu haihusu wajinga kama wewe
@@ndogoroedson199 kuma wew
. That's a "deadly Demon"
Big problem, Watanzania tusali sana. ~ 😂😂😂
Katibu ameonyesha uzaifu mkubwa je anaweza kukitetea chama chetu kweli ila sawa viongozi wetu wamefundishwa kusifu na sio kuwajibika
Nyie nao washenzi kwaiyo apo ndy ametoa machozi bila sababu kama hamna sababu mmepost vyann!!? 😢😢😢 @JAMBOTV @JAMBO TV
Mama kwa viongoz unaowachagua bado nafikili uwezo wao ni mdogo mtu kama kinana hawez kukimbia mdaharo
Kama ninkulia kwa uchungu utalia kwa sababu ukweli unadhihiri na pwnyw ukweli uongo ujitenga, watu wanaogopa kupata aibu kwa kuulizwa maaswali dhahiri kutokana na umma kupata mwamko na uwelewa na kujua haki zao.
Mungu uinusuru nchi yetu
Na jifunze kuhuliza maswali vizuri , ulipata approval,... kutoka wapi?
Ndio mara ya kwanza naona mwandishi anamwaga chozi hadharani 😳
Mnafiki tu! Muulizeni huu mdahalo ulikuwa na nn mpaka analia? Huyu achunguzwe
Achunguzwe na mama yako alie kuzaa wewe , je alikuzaa kwa baba wa ndoa au kawa mchepuko ?@@ndogoroedson199
@@ndogoroedson199unafiki wake ni nini mkuu?