RPC Katavi abanwa kuhusu kikundi cha DAMU CHAFU kinachofanya matukio Katavi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @user-cd1ww3ny9b
    @user-cd1ww3ny9b 6 หลายเดือนก่อน +2

    Rpc wa mkoa wa katavi anajitahidi sana utendaji kazi wake kwenye idara ya ulinzi tatizo binadamu hatuna shukrani mpeni maua yakee huyu dada......tuwe na desturi pale mtu anapotakiwa kupewa sifa zake tumpee tuu

  • @ibrahimmaroa1894
    @ibrahimmaroa1894 6 หลายเดือนก่อน

    wewe makonda wewe ni Kama makufuli tu Kaka wewe ni kiwongozi Pola Sana mungu atakubaliki Sana Kaka mungu akubaliki uendelee kufaya kazi yako Kaka wewe ndie kiwongozi mwaka wa 2025 Mimi natoka kenya lakini Mimi ni mkuriya si unajua kua sisi wakurya tumetoka Tanzania 🙏🙏

  • @sadikidaudi460
    @sadikidaudi460 6 หลายเดือนก่อน

    Kiukweli Mhe Rais kafanya Jambo kubwa saana kwenye ile familia Mungu akuongoze vyema Mhe Makonda

  • @user-kf6tz1px6f
    @user-kf6tz1px6f 6 หลายเดือนก่อน

    Samia nilimju kabla 2020,kuwa atakuja kuwa rais,naendelea kumpongeza kwa kuwa anaendela kuongoza nchi yetu vizuri kwa namna yatofauti,mwenezi anapiga kazi,mama anashudia gemu kwa mbali,shughuli zina kwenda mama anatumia akili hatumii nguvu,excellent mama.

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 6 หลายเดือนก่อน

    Hili jambo la gender kwenye nafasi za uongozi bila kuzingatia uwezo ni tatizo kubwa kwa taifa. Mikoa inayoongozwa na RPC wanawake mingi imefeli pakubwa.

  • @OswardMadege-gd7yo
    @OswardMadege-gd7yo 6 หลายเดือนก่อน

    Polisi ni WA mhimu sana Mimi siyo polisi lakini wanasaidia sana

  • @Luganoamos-jv5in
    @Luganoamos-jv5in 6 หลายเดือนก่อน

    Akiondoka tu makonda ole wenu yaani munamzomea mkuu wa bunduki oohoooo

  • @user-yu1xi7dh4o
    @user-yu1xi7dh4o 6 หลายเดือนก่อน

    Mnamzomea p mkubwa ngoja makonda aondoke mtajua hamjui

  • @maharagendondo
    @maharagendondo 6 หลายเดือนก่อน

    RPC HUNA MPANGO MTU ANAFANYA UHALIFU UNASEMA WATOTO S, KWELI

    • @omarnicesang5507
      @omarnicesang5507 6 หลายเดือนก่อน

      Watoto wanasheria zao namba ya kudeal nao na pia jamii yenyewe ndio sisi tunaoishi nao