Hii interview imenifunza mengi mno na imebadilisha mtazamo wangu. Hongereni magwiji wangu ambapo sikosi kumsikiliza punde tu muwapo hewani, niko nyuma yenu naja kwa uweza wake Mola nitafika hapo na zaidi mlipo. 105.1 Tuko mbele pamoja
Waah mwashumbe umenibadilisha pia mm nilisomea utangazaji but fee nilikosa Sasa mm ni Boda Boda but Sasa nmejua kwann mwashumbe kila asubuhi lazima uongelee maroot za matatu.
Kiswahili Cha coast dah❤..kizuri
Kazi nzuri Ndugu Hassani
Alhamudulilahi, mahojiano mazuri.....Mungu akubariki na kukuepua na kila ovu....nimekamata mawali matatu katika safari ya utangazaji.
Hii interview imenifunza mengi mno na imebadilisha mtazamo wangu.
Hongereni magwiji wangu ambapo sikosi kumsikiliza punde tu muwapo hewani, niko nyuma yenu naja kwa uweza wake Mola nitafika hapo na zaidi mlipo. 105.1 Tuko mbele pamoja
Hasan twakupenda sana
Waah mwashumbe umenibadilisha pia mm nilisomea utangazaji but fee nilikosa Sasa mm ni Boda Boda but Sasa nmejua kwann mwashumbe kila asubuhi lazima uongelee maroot za matatu.
Mdawida wa mzedu, highschool schoolmate 💪💪💪
Papa manuu, sauti ya Ninga. Combination yake na sugar boy niliipeda sana hiyo miaka akiwa pale Rmaisha
Aki Hasan nakusihi nisaidie mm Ni mwandishi muchekeshaji na muigizaji
Mimi tangu niwe shule ya msingi hadi shule ya upili nilipenda fani ya utangazaji. Ingawaje sikuendelea na masomo bado napenda.
Nakubali kaka
Sauti nzito ya Mzee wa kazi
captain Emmanuel mwashumbe🤣
Papa manu
Manu Emanuela aka mtu mkubwa
At least I know why mwashumbe is always mentioning jamia shuttle,etc