Na ahmedi aliy alimsababishia msongo wa mawazo pacome na kumdhalilisha kuwa amechoka kuchoma sindano kama anazuia mimba huu ni uzalilishaji mkubwa sanaa aongeze b.2..😂😂😂
Da! Usiongee hivyo, faini hiz zinazosemwa ni brand ya mtu na na timu, timu nyingine ikitafuta kosa utaona mwenye hela ndogo anatoa faini ya zaidi ya hiyo. Chamsingi tusifurahi hili tuwashauri wawaonye na wawaache.
Cha mhimu wale wote wasiokuwa na uvumilivu wa kutengeneza bidhaa za vilabu vya yanga na simba wasichukue tender, watanzania tunataka football siyo malumbano.
1.Faini aliyopigwa yanga ni kwa ajili ya nini? 2.Maji waliyokuwa wanarusha uwanjani kule Azam yalikuwa ya nini? 3.Ufagizi wa uwanja wa kinondoni na umwagaji wa maji ulioongozwa na Ali kamwe unadhani haukuwa ulozi? Hiyo hailipwi......
Na niborahivowao wameanza mana imebaki kwasimbasasa kumpiga ALY KAMWE fainitena mana nayeye kunamaneno ya kashfa anayaongeaga kuusu simba ndotuonekama tutafika.
Huyu muimba taarabu wenu alishawahi kusema mashabiki wa Yanga ni maiti.Hamkuhoji chochote.Ulivyo na akili kama za kuku,unashabikia upumbavu.Amezoea huyo punguani wenu.
😢😢😢😢wakati ally ametymiwa barua hakuna alieongea ila wameona Hemedi tu redio zoote zimeongea kwaiyo watu walikuwa wamefrahi Ally kupew kesi wengii waoo walifrahi tu 😢😢
Mimi niulize tu, Ivi SIMBA wakifatilia baadhi ya maneno ya ALLY KAMWE kuhusu usemaji wake juu ya timu hiyo hamna kosa?... Asa hapa tuangalie yawezekana kukomoana kukawepo. Ila nishauri tu wawaonye hawa wasemaji na wawaache waendelee na Kazi zao.
KITENGE NI MCHOCHEZI SANA WEWE CY MCHAMBUZI AHMED ALI HAKUONGELEA MASWALA YA UCHAWI. ALI KAMWE NDY ALIYESEMA KUHUSU UCHAWI PALE ALIPOENDA KUFAGIA UWANJA WA KMC REJEA MANENO YAKE.
nyie chokoeni moto mje muone hizo kilipu za sindano ni cha mtoto watu wana hadi kilipu za video wamewatunzia siri mkihalibu mtakuja umbuka nawambia hii yanga mnataka kuipoteza kwenye ulimwengu wa soka endeleeni mje muone kitakacho wakuta
Kaka ambangile hujawahi kukosea mkuu,kunawachambuzi walikua wazuri kweli kutulisha madini ya mpira lakin kwasasa wamekua wanasiasa wa mpira,tunawaona kaka na nyie ndo wakubadilika mkuu na kunasiku ahemed ally aliwahi kusema yanga wametoa madera ya wanawake xo turudi kwenye mpira kaka huyu sanda kama hawezi vumilia atoke akauze hata mashuka ndo ameanzisha haya mambo ya kipuuz!
Hata ukinipa Mimi hiyo Kesi asbh tu nashinda,suala la uchawi kweli Yanga ni Wachawi kwa sababu TFF waliipiga faini ya Tsh Ml 13 kwa tuhuma za uchawi,so shahidi ni TFF
Nashauri waseji wapewe elemu ya usemaji na isiwe ni mtu tu akijisikia kusema anasema bila kufata tamaduni na desturi za usemaji wa timu na hatimae kuvuka mipaka.
Ambangile upo sahihi kabisa ni nyinyi wachambuzi na waandishi wa habari za michezo ndio mnaofikisha hali hiyo kwa sababu mnaleta unazi na ushabiki wenu katika kazi kuhoji maswali ya kinazi na kishabiki na kufurahia maneno yenu ukitazama kwa undani jezi mnazikomalia kila kukicha hizi vile na hizi vile
Sasa hapo Msifananishe Kampuni na Timu, Simba na Yanga ni watani na tuna haki ya kutaniana.. Lkn Ally Kamwe na Sanda sio watani.. Kwa hiyo Ahmed Ally kuwatania Yanga hajakosea. Msifananishe mambo..
Ahmed katania na tusi juu kumamae Kuna utani wa matusi alafu kuzusha kashfa ya uchawi sijui pacome anachomasindano kama anazuia mimba tumia akili kabla ya coment
Hivi tukileta clip zote za awa wasemaji mtafunga kipidi. Pia vyombo vya michezo mnachangia sana mnawezaje kuita mtu kama Shetani wa Yanga au Mtu kama mzee wa utopolo mnampatia Airtime ya kutosha wanatufundisha nini kwenye mpira
Utajua muda sio mrefu inaguvu au Haina vp kusema kumamae inaruhusiwa hyo kwenye michezo na hapo kusema anachoma sindano kama anazuia mimba sio kosa hapa chuma kwa chuma ataelezs tu na uchawi unaupeleka mahakama gani
huu mpira wa bongo mnako upeleka watu watakuja uwana na hii kama utani umewashinda achene kabikieni wake zenu ally kamwe kahalibu biashala ya mtu sio ya simba ahamedi kawaponda watani wake ivi hamuoni ni mbingu na alidhi lini sandarend kawa na utani GSM au kamwe iweje yeye kamwe atukane biashala ya mtu asiye na utani nae nyinyi wasomi mbona. naona kunawasomi wajinga
Ww huoni ahemed ally kavuka mipaka ya utani eti kumamae uo utani Aya vp kumwambia pacome kamaliza mkataba na yanga na wataangalia kama Bado unauwezo wamsajili Simba uku akimwambia anachoma sindano kama anazuia mimba uo utani au matusi na yy anajua habari za ndani za yanga adi aseme mkataba wa pacome umeisha
huo ni utani wa simba na yanga nasio amed na mtu naswala la ushirikina waokama wanalikataa waende TFF wakaulize ile faini ya milioni 10 walipigwa yanini?
Vp kuusu kusema hapo mwisho kumamae sio kesi nakama yanga wachawi hiyo inawahisu nn Simba Kwan wao bod ya ligi je Ahmed ally msemaji wa bod ya ligi au msemaji wa simba
Mimi ninachoona kwa hawa wasemaji wa timu zote mbili wanatengeneza uhasama tu. Hayo si maneno waliyotumwa na waajili wao wayasema. Hapo wanaandaa uhasama kwa washabiki na chuki ambayo italeta mahusiano yawe mabaya kwa mashabiki. Ushauri wangu wakemewe na viongozi wa tff
Tangu yanga imeanza kufungiwa kusajili umewahi kuona kuna dirisha limepita bila yanga kufanya usajili au ww ni mgeni maeneo haya😂😂😂😂 ndio maana sisi wala hatushtuki tukiambiwa tumefungiwa kwa maana tunajua tutasajili tu kenge madoa ww
Pakome nae amfungulie kesi Ahmed Ally kwa kumwambia anachoma sindano kama anazuia mimba huo ni udhalilishaji mwanaume anabeba mimba?
sisi Smba tukiwapiga faini mtafilisika hatuna muda huo Simba ni Brand kubwa
Brandy ndo mlipe hizo ela sasa mnyooke
Iyo inaitwa piga nikupge.yanga bingwa 😂😂😂
Bingwa wa kuhama viwanja
Alafu Ahamedi Ali no wa kwanza kusema hayo na Ahamedi Ali siyo mara moja mimi nina clip nyingi za Ahamedi Ali ambazo zinakashifu Yanga
Na ahmedi aliy alimsababishia msongo wa mawazo pacome na kumdhalilisha kuwa amechoka kuchoma sindano kama anazuia mimba huu ni uzalilishaji mkubwa sanaa aongeze b.2..😂😂😂
Hapa sindano imefika ndaaaaaaaani kabisa billion 10 ukitoa billion 3 faida ni billion 7 tutamsajiri Hadi mesi yanga
Ugonjwa😊😊😊😊
Da! Usiongee hivyo, faini hiz zinazosemwa ni brand ya mtu na na timu, timu nyingine ikitafuta kosa utaona mwenye hela ndogo anatoa faini ya zaidi ya hiyo. Chamsingi tusifurahi hili tuwashauri wawaonye na wawaache.
Tumesikia na tumeelewa kama.amewatukania.had.mama zao sasa kuish ni kuchagua itoke bilion 3 na itoke.biloon 10 mamaaaeeeee😂😂😂😂
Yanga oyeeeeeeeeee😂😂😂😂😂😂😂
oyeeeeeeeeee mwaka huu watanena kihindi
Bac mwaka huu kutakua na mambo wao walisema Azam walifanyia mauzauza kwenye uwaja wao
Dawa ya moto siyo maji, bali dawa ya moto ni moto.
Hiyo pia ni moja ya tafasiri kubwa ya maana ya neno "UBAYA UBWELA"
Vita ya jadi
Huyu alikimbia yanga ilipofungwa 2 bila
Mie ni shabiki wa yanga lkn rage yupo smart sana
Cha mhimu wale wote wasiokuwa na uvumilivu wa kutengeneza bidhaa za vilabu vya yanga na simba wasichukue tender, watanzania tunataka football siyo malumbano.
Hicho kiredio cha utopwinyo
Iyo ndo inaitwa wee uogop
1.Faini aliyopigwa yanga ni kwa ajili ya nini?
2.Maji waliyokuwa wanarusha uwanjani kule Azam yalikuwa ya nini?
3.Ufagizi wa uwanja wa kinondoni na umwagaji wa maji ulioongozwa na Ali kamwe unadhani haukuwa ulozi?
Hiyo hailipwi......
Hakuna huruma 10-3 =7 ili yaishe
Na niborahivowao wameanza mana imebaki kwasimbasasa kumpiga ALY KAMWE fainitena mana nayeye kunamaneno ya kashfa anayaongeaga kuusu simba ndotuonekama tutafika.
Mashagaaa nini wakati nyinyi mnashabikia sana
WANATAFUTA KIKI TU. WAJINGA SANA HAO
😂😂😂😂😂
Haya yote hayahusiki na mpira wa miguu, kwa hiyo Yanga na Simba zibaharibu mpira wa Tanzania
Kwaiyo kwa alikamwe mlikuwa mnan,gta meno leo midomo yenu inalopoka kama paka shume mnafiki mkubwa sana wew
Acha makasiriko
Stress😂😂😂😂
Acha stress chukua Mirinda ushushe presha 😂😂
Huyu muimba taarabu wenu alishawahi kusema mashabiki wa Yanga ni maiti.Hamkuhoji chochote.Ulivyo na akili kama za kuku,unashabikia upumbavu.Amezoea huyo punguani wenu.
Huyu alikimbia wakati yanga imefungwa na wasudani siku mbili hakuwepo
Angetukana Ali Kamwe tungeamka na Bodi ya ligi mapema sana Tff na bodi wanausika kualibu mpira wapo kindundu sana
Yanga hajawahi kushinda kesi
😢😢😢😢wakati ally ametymiwa barua hakuna alieongea ila wameona Hemedi tu redio zoote zimeongea kwaiyo watu walikuwa wamefrahi Ally kupew kesi wengii waoo walifrahi tu 😢😢
Mimi niulize tu, Ivi SIMBA wakifatilia baadhi ya maneno ya ALLY KAMWE kuhusu usemaji wake juu ya timu hiyo hamna kosa?... Asa hapa tuangalie yawezekana kukomoana kukawepo. Ila nishauri tu wawaonye hawa wasemaji na wawaache waendelee na Kazi zao.
Mamaee sio TUSI!
KITENGE NI MCHOCHEZI SANA WEWE CY MCHAMBUZI
AHMED ALI HAKUONGELEA MASWALA YA UCHAWI. ALI KAMWE NDY ALIYESEMA KUHUSU UCHAWI PALE ALIPOENDA KUFAGIA UWANJA WA KMC REJEA MANENO YAKE.
Ambangile Anastahili kua kiongozi wa mpira nchi hii siku zijazo namuona juuzaidi
TFF WACHEZAJI WAWE WANAPIMWA KM NI KWELI WANATUMIA MADAWA BASI WAFUNGIWE MBONA TIMU ZA WENZETU ZINAFANYA HIVYO.
Nyooo nyie wenyewe wanafiki nie watangazaji ndo mnakuza mambo hasa we kitenge
WANDISHI WA HABARI NA WACHAMBUZI WA MICHEZO NDY WANAOHARIBU MPIRA WETU WA NCHI YETU
UTAKUTA MTU ANAULIZWA SWALI TOFAUTI NA UHALISIA. WA KITU CHENYEWE.
Kwani faini ya m 10 ya bodi ya ligi ilikua ya Nini kwa yanganga
Fungua kesi siyo maneno kama ni hayo tuta
Ni kweli chama alimaliza mkataba na ndiyo maana walimsajiri.
Mbona hizo tuhuma zingine za ahmed hamjaleta audio zake??????????????
Sio.audio mpaka video zipo
Mbona nyie mnashindwa kucheza sauti muda mwingi wa Ally komwe
Paccome nae amshambulie amlipe Billion 40
Mpira kweli ni biashara! sasa naona dalili za kuanza kulipa! 😢
Wewr kitenge ndiyo pakome
Pameanza kuchangamka na bado tutaona mengi sijui,Vita Baridi ndoo hii
Azam washamshtaki ally kamwe tayari duuuuuh😢😢😢
Rage yuko sahihi kabisa, kwa kweli hawa wasemaji wetu wamezidi wamekuwa na mambo ya hovyo sana kiasi kwamba imekuwa ni chuki na si utani tena
Kitenge kuhusu uchawi unayumba mtampa shida ally kamwe
Wapi Ahmed alisema Yanga
Pakome ndo kamshitaki
Waandishi wa taarifa toeni taarifa zenu Kwa usahihi. Kwa mfano Ahmed Ally atawalipa Bilioni 10 kutoka Yanga.Je sentenso hiyo ni sahihi, mnijuvye
Hao sio wanasheria ni watangazaji
Na walivyosema jezi ya yanga ina manyokanyoka. Tulinyamaza
Hakuna kes kwa kamwe ila ahmad aly anayo case ya kujibu
GG
Awajapogwq faini ya uchawi
makosa ya Utopolo ni mengi tukiamua kuwapiga faini mtafilisika mf.mlibandika Bango ambayo ni brand ya simba
Tupigane faini tu tuone nani stafilisika billion tatu kwa kumi nani atanuooka umelianzisha tumemaliza
nyie chokoeni moto mje muone hizo kilipu za sindano ni cha mtoto watu wana hadi kilipu za video wamewatunzia siri mkihalibu mtakuja umbuka nawambia hii yanga mnataka kuipoteza kwenye ulimwengu wa soka endeleeni mje muone kitakacho wakuta
Jemedar alishasema hata wakimtuna vipi ilimladi anapata maokoto.
Utani wa simba na yanga uishe kabisa
10B-3B = 7B Faida.
hahahahaha
Faida hiyo mtaipatia wapi kwani zile Sindano
kule Chamazi ilikuwaje?😂😂😂😂😂😂
Kaka ambangile hujawahi kukosea mkuu,kunawachambuzi walikua wazuri kweli kutulisha madini ya mpira lakin kwasasa wamekua wanasiasa wa mpira,tunawaona kaka na nyie ndo wakubadilika mkuu na kunasiku ahemed ally aliwahi kusema yanga wametoa madera ya wanawake xo turudi kwenye mpira kaka huyu sanda kama hawezi vumilia atoke akauze hata mashuka ndo ameanzisha haya mambo ya kipuuz!
Yanga mnazidi kukopi ata hili mnakopi tafuteni jambo jipya tumeshawachoka washamba nyie, hata kushtakiwa mnakopy mnatuaibisha
Kosa la billion kumi liko wap wameshitakiwa yanga ikatafuta na yenyewe crip
Hii redio imekuwa ya mambo ya mtandaoni.na kushabikia ujinga.kuweni weledi na Kaz
Mchongo😊😊
Hata ukinipa Mimi hiyo Kesi asbh tu nashinda,suala la uchawi kweli Yanga ni Wachawi kwa sababu TFF waliipiga faini ya Tsh Ml 13 kwa tuhuma za uchawi,so shahidi ni TFF
Inaijua Sheria ww vizuri huchawi mahakamani Haina nafasi
Kesi iko wp hapo.Mnataka kuua kesi Ali kamwe lkn si stahili hiyo.
Wala kamwe hana kesi kwa sandaland,aende mahakamani ndio vizuri utani wa jadi ufe,huu ni upuuzi sasa.
@@aminaomari2312usihangaike kutafuta kesi ilipo coz ww sio mwanasheria tusubiri tuone kama tulivyokua tunasubiri ya Ally Kamwe tusiumize vichwa wanasheria wanajua
Kamwe analo. Hapo semaji la CAF hana kosa lolote 😂
@@nashirkamugisha9425semaji la caf mmekuwa semaji la ndondo kesi anayo anatamba nayo uwezi sema mtu anachoma sindano kama anataka kuzuia mimba yanga wachawi sijui wanaroga yy anaouwezo wa kusibitisha
Kwani wao hawaongopi
Wachonganishi sana
Tunaomba mamlaka husika zilifuatilie suala la sindano na dawa zinazotuhumiwa kutumiwa na baadhi ya timu ili hatua stahiki zichukuliwe
Wanaoongoza kuandika vichwa vya habari vya ajabu ni East Africa Radio.Wapuuzi sana hao jamaa.
Ally Kamwe hajataja Sandaland bali amesema Sanda. Sijui huyo Sandaland amehusikaje
Upo vizuri sana
Sandaland sio kichaaa mwanzo alisema Sandland baadae akasema Sanda
Nashauri waseji wapewe elemu ya usemaji na isiwe ni mtu tu akijisikia kusema anasema bila kufata tamaduni na desturi za usemaji wa timu na hatimae kuvuka mipaka.
Hamna shule nyinyi.Anasema anamaliza mkataba sio kashamaliza.kupiga sindano ni za maumivu tu.pana shida hapo
Ambangile upo sahihi kabisa ni nyinyi wachambuzi na waandishi wa habari za michezo ndio mnaofikisha hali hiyo kwa sababu mnaleta unazi na ushabiki wenu katika kazi kuhoji maswali ya kinazi na kishabiki na kufurahia maneno yenu ukitazama kwa undani jezi mnazikomalia kila kukicha hizi vile na hizi vile
Sasa hapo Msifananishe Kampuni na Timu, Simba na Yanga ni watani na tuna haki ya kutaniana.. Lkn Ally Kamwe na Sanda sio watani.. Kwa hiyo Ahmed Ally kuwatania Yanga hajakosea. Msifananishe mambo..
Ahmed katania na tusi juu kumamae Kuna utani wa matusi alafu kuzusha kashfa ya uchawi sijui pacome anachomasindano kama anazuia mimba tumia akili kabla ya coment
Bado simba kumshitaki ally kamwe kwa billion 20
Yanga tunarudi Tena kumshitaki Simba itoe billion arubaini kwakuichafua yanga kumleta mazoki na kuichafua yanga kwakusema havai jezi za manyoka nyoka
Jama mbona sijasikia manara akimuobea msamaha msemaji wa simba
Manara si mnafki yule pimbi aliomba msamaha ili ionekane Ali kakosea na akawa kama anatuma ujumbe wa wavu coz nafasi yake ilichukuliwa na Ali
Pacome mfungurie kesi amedy ally akome cku nyingine
KWANI NYIE WANDISHI NA WACHAMBUZI HUWA HAMNA VIKAO VYA KUWEKANA SAWA?
ILA HII CHANEL KWELI NI YA UFITANISHI SANA TENA NI YA UCHOCHEZI SANA.
Wewe nani adi unaongelea au mchicha mwiba katafute mume akuowe
YANGA HAWANA HELA NDY MAANA WANAZITAKA HELA
Hivi tukileta clip zote za awa wasemaji mtafunga kipidi. Pia vyombo vya michezo mnachangia sana mnawezaje kuita mtu kama Shetani wa Yanga au Mtu kama mzee wa utopolo mnampatia Airtime ya kutosha wanatufundisha nini kwenye mpira
Yanga kweli gaanazzo
Basi tupgeni faini hadi tufilisike nyau nyie
Amida al
huyu anaonekana kaz imemshinda ya usemaji
Sina mda wa kusikiliza umbea😳
Kuchoma sindano hajamanisha za nn.vp nyie acheni mihemko.hapa kesi hapo.
Utani ni biashara
Asha uchochezi mamae sio tusi acheni unafki.
hata kama akifungua kesi hiyo kesi haina nguvu kwani alitaja kua anachoma sindano gani kunamtu hua hachomwi sindano akiumwa pakome alikua majeraha kwahiyo alipona billa kuchomwa sindano wanashelia wa yanga hamnahakili ote mwambieni afungue hiyo kesi muone kama kibao hakita mgeukia yeye kulipa mnakua wasomi wajinga shelia haiko hivyo
Utajua muda sio mrefu inaguvu au Haina vp kusema kumamae inaruhusiwa hyo kwenye michezo na hapo kusema anachoma sindano kama anazuia mimba sio kosa hapa chuma kwa chuma ataelezs tu na uchawi unaupeleka mahakama gani
Yanga haijawahikushinda kesiyoyote, hio nisababu yakutokua weledikstikakujenga hoja, hiikesi yanga atashindwa niko pale. Ushirikina nikweliyanga wame pigwa faini marakadhaa na tff, sindano kuna clip zilisambaa ziki ixungumzia yanga kutumia Ahmed anaweza kuwasilisha ushahidi wahio adhabu dhidi ya yanga, na hio clip alietoa hio clip atawajibika kuthibitisha. Yanga hawatoboi
Kaa kimia hujuwi sheria wewe Anae tamka ndie Anapaswa kuajibika katka hilo
huu mpira wa bongo mnako upeleka watu watakuja uwana na hii kama utani umewashinda achene kabikieni wake zenu ally kamwe kahalibu biashala ya mtu sio ya simba ahamedi kawaponda watani wake ivi hamuoni ni mbingu na alidhi lini sandarend kawa na utani GSM au kamwe iweje yeye kamwe atukane biashala ya mtu asiye na utani nae nyinyi wasomi mbona. naona kunawasomi wajinga
Ww huoni ahemed ally kavuka mipaka ya utani eti kumamae uo utani Aya vp kumwambia pacome kamaliza mkataba na yanga na wataangalia kama Bado unauwezo wamsajili Simba uku akimwambia anachoma sindano kama anazuia mimba uo utani au matusi na yy anajua habari za ndani za yanga adi aseme mkataba wa pacome umeisha
Mambo madoho kwakua na ahmed ally ameingia ktk jambo.la kulipa.bilion.kumi cha.msingi ishuniwe sirias na.ote wapelekwe mahakaman.maana rage mbona hakusema mambo.madogo wakat kamwe alipokua na tuhuma au.leo kwakua.baada ya kua msemaje wake yamekua.mambo madogo
Aliulizwa huyo Rage wakati huo au unaongelea ushabiki?
Wandishi wa mchongo
Ahamed ally anasema mamayee?, hayo ni matusi.
Kila akiongea ahmed ali yanga wanapaniki sn kwn uongo w hawachomi shindano?
Kwani jexi zenu nxuri ubaya ubwela
huo ni utani wa simba na yanga nasio amed na mtu naswala la ushirikina waokama wanalikataa waende TFF wakaulize ile faini ya milioni 10 walipigwa yanini?
Vp kuusu kusema hapo mwisho kumamae sio kesi nakama yanga wachawi hiyo inawahisu nn Simba Kwan wao bod ya ligi je Ahmed ally msemaji wa bod ya ligi au msemaji wa simba
Utani Tu ndo umefikia huko kwel
Mimi ninachoona kwa hawa wasemaji wa timu zote mbili wanatengeneza uhasama tu. Hayo si maneno waliyotumwa na waajili wao wayasema. Hapo wanaandaa uhasama kwa washabiki na chuki ambayo italeta mahusiano yawe mabaya kwa mashabiki. Ushauri wangu wakemewe na viongozi wa tff
Wameanza simba wanajidai hawahusiki na Sandaland,huyo sandaland anatengeneza jezi za nani?huo utani wa jadi ufe na marufuku kutaniana.
KWANI SHERIA INA VIFUNGU VYA UCHAWI ? DIRISHA DOGO LINAKUJA HAMNA KIBALI CHA KUSAJILI.., MIA 2 KAVU KAVU Kwenye Account ya Majiq !!!😀😀😀
Tangu yanga imeanza kufungiwa kusajili umewahi kuona kuna dirisha limepita bila yanga kufanya usajili au ww ni mgeni maeneo haya😂😂😂😂 ndio maana sisi wala hatushtuki tukiambiwa tumefungiwa kwa maana tunajua tutasajili tu kenge madoa ww
Wachambuzi wengi wapo kindundu