ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Dah Wakongwe wa lugha swahihi ya Kiswahili ndio Hawa Thumbs up!!!
Nimekubali mswahili c mwaarabi
Rest in peace...hii dunia huwezi jua unamgusa nani... Ken ulinigusa sana kwa uandishi wako
Mungu Amrehemu Ken na twamuomba bayana ya Kifochake Ameen
Nimependa sana mzee alivyo jieleza
ni alivyojieleza sio alivyo jieleza (ni jina moja)
@@patrickchinookzwafula lugha ni maongeze kuandika ni sehemu ya pili ambayo inarekebishika Kama ulivyorekebisha
Kweli. Ila sehemu zote mbili ni muhimu. Ikiwa utaijua sehemu moja na ukose kuijua sehemu nyingine basi hujaijua lugha kikamilifu
@@patrickchinookzwafula ujue lugha ilianza kuzungumzwa ndio ikaandikwa
@@patrickchinookzwafula namaanisha alietaka kuihifadhi lugha ndie Alie kuja na kalamu kwa mwalimu wake asiejua kuandika
Mashaallah tutawapata wapi waswail siku izi. Big upp Mzeee
Mimi ni mngozi yaani mswahili.
Ken am here for you
Very interesting
Sawa mzee uko fiti kabisa swadakta
Ww wata urogo
Good lesson
Ken umenifanya nimeingia Kwa channel yako . RIP
kindly share me link ya marehemu ken
Bssi aetwe mtoto wa mama
Tutakukosa kwa sana Walibora.
Mzee aleta ugunya hicho si kiswahili
Mgunya ni m2 gan akhy
Mgunya ni Mswahili pia.
Lugha ina wenyewe hao kina wallah ni mbwembwe tu
Pimzika na amani Ken walibora
Asili ytokea kwa baba,ukiandikiwa ktk passport utaandikiwa africa arab,huwezi kuandikiwa africa pk yke lzma kabila iweko hpo
(Dahasi) pia ni kiarabu tena maarufu katika nchi za kiarabu lau utalitaamka utafahamika
Dahasi kwa kiarabu lina maana ya kukanyaga asili yake DAHASA
Umesibu
@@abukhalilkhalfan8184 mashallah shukran, but mzee pia hakuwa shuwa nalo coz uchafuzi ni mwingi sana thanx
Huyu anataka kukana lugha ya Kiarabu kwenye kiswahili. Anajidanganya
Yeye mwenyewe mwarabu , mswahili gani aitwa Bakathir
Wewe ndio unajidanganya
@@suddykigamba1802 true haja kataa hili, kindly nenda kwa youtube yetu for update version ya risach ya mzee. na bado!!
Ukienda kuchukua information kwa waswahili asilia na sio mijikenda ndoutajua kiswahili hakihitaji ukamilifu wa lugha ya kiarabu
@@saleejuma2352 katika jibu lako tu, maneno uliyotumia kama kiswahili,asilia, hitaji, ukamilifu,lugha , yote haya ni ya kiarabu.