HILI HAPA SHAIRI LA YANGA KUMFUNGA RIVERS/MAYELE NI BENZEMA WA CONGO/TUNAITAFUTA NUSU FAINALI/NABI..
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 22 เม.ย. 2023
- Leo Aprili 23 2023,Mashabiki na Wanachama wa Yanga SC, wamekusanyika Makao makuu ya Klabu yao kutizama mchezo wa mkondo wa kwanza Robo Fainali kombe la Shirikisho Afrika kati ya Rivers united ya Nigeria na Yanga SC,Uliochezwa Uwanja wa Godswill Akpabio Nigeria.
Yanga SC wameibuka na Ushindi wa Magoli 2-0 dhidi ya Rivers United,yaliyofungwa na Fiston Mayele - กีฬา
ALLAH AKUPE MWISHO MWEMA NDUGU YANGU INSHAALLAH
Huyo kaka wa kulia yake alivyotulia hatii neno au wa Simba
Yes yes ww ni noma mashallah daima mbele nyuma mwiko naomba upewe kitengo katika ofisi yetu pendwa ya yanga
kijana una akili timam sana, unafikiri kila mda Mungu akujalie ujana wako uwe mwema na uwe tunu kwa taifa, upate mke mwema atakaye kuwa mbeba maono yako na kuyafanikisha pia, wewe siyo kama wale vijana wenzetu walevi na wanaotukana mitandaoni, wewe ni kijana smart, tunza afya ya mwili wako na akili yako kwa kula vizr na kutojihusisha na ulevi na sigara, Nakuombea mdogo wangu hii ni dua yangu kwako, keep it up bro
Huyu kijana yupo talented sana kikubwa ajitambue atapiga pesa hasa awavamie wanasiasa kwenye kampeni za uchaguzi atapiga pesa
Huyu kijana anakipaji anatakiwa kuenziwa. Tunu ya Kiswahili. Nashauri taasisi za elimu na Kiswahili zimpe tnzo maalum.
kweli kabisa kijana anajituma sana watanzania tumsapoti
Hum...kitoko saana kwa kweli...Tanzania na Congo ndiyo Africa...Tookos. Muwaponde.
Vizur sana Shangaz yang M,mungu akupe njia ya kher ktk mafanikio yako inshaallah
Utulivu wa Mwamnyeto eneo la mwisho la mpinzani Kama De Bruyne
Shusha LIKE zako km w ni
Yanga !
Nice poem for young African.
Yanga wanakuona💛💛💛💛💛💛💛💛
Sema lile goal la pili mwamnyeto mungu anamuona alivo mtoa maboya kipa 😂😂😂😂
huyo jamaa nomaa namkubali from 🇹🇿🇨🇩
Safi san Daima mbele nyuma mwiko
Allaah Akbar
Ongera kijana unatufuraisha shairi safi
Bwana mdogo unakipaji kikubwa sana kitumie vizuri kikulipe zaidi
Huyu kijana rais wetu yanga muwe mnampa motisha kumchukuwa mechi za nje
kweli kabisa naunga mkono dogo atembee na timu safari zote apate motisha na maono zaidi ya kipaji chake, huu uwe mwanzo wa kumtoa kimaisha huyu kijana, siyo kama vijana wavuta bangi wa hovyo walevi, huyu ana adabu hata nuo i akiwa amenyo ahovyo hovyo sijui vidugku na nini vile ujinga hana huyu mtoto tumsapoti
Daaah,mashairi yamekaa poa mzee Yusuf
Mshairi umetishaa..🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
talent!!!💥💥💥💥💥
"Furaha ni tunda la upendo "feel alright
Yanga raha sana jamani
Talante za kweli
🔰🔰💪 Daima Mbele Nyuma Mwiko
umetisha Kaka.
Fumau apewe maua yke 🎉🎉
Hatarii sanaaaaa 🔰💚💛🙌🙌🙌🙌
Nakukubali sana kijana
yanga rahaaaaaaaa
Wakija Tanzania lazima wajuwe mchezo kwao hutunzwa ushindi ni WA yanga tena
Yanga wamecheza vizuri sana
Wameona vumbiiiiiiiiiii💛💚💛💚
Nzuri sana hii
Mashaallah
Maa shaa allah
Marrrrhabaaaaaaa💚💛
Jmn yanga raha
Umetisha....!!! Yanga oyeeeeee
Kuna Mwamba kala kofia white ana enjoy mnoo yaniii 😅😅😅😅
Nimemuona 😂😂😂😂😂😂
Yaani anafurahi balaa😂😂😂
Ile gem ya dabi madunduka yalimroga Pro Nabi 😀😀😀
Weweweweweeeeeeeeeeeeee💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
Nashauri uongozi huyu kijana umuajiri
Hongera sana kaka
Siku ya mwananchi day kaka wa kupe maiki
😂😂😂😂😂 yanga moja hyo!!!
Unajua sana ww mzee baba
Safii
KDB Mwamnyeto
Swadaktaa💛💚💛💚💛💚💛💚
Nice nice
huyu kijana kwani hakuna media wakampa Ajira anajua mashairi
❤❤
Yanga Raha
💚💚💚💚💚💯
Ila jamaa anajua kutunga mashaili
Fumao wewe ni hazina ya taifa na yanga yetu chukua maua
Santaaa
💚💚💚💛💛💛🔰🔰🔰
Ety woza wozo😂😂😂😂
Mpe kahawa muongeze kahawaaaaa kichupa kizima mm ntalipa kesho asubuhi
Haaaaahaaaaa
Kwaiyo waibanji utenzi wote wapo utopolo 😅😅😅
Jaribu nawe Kama utaweza jibu la swali lako ni ndiyo na tuna bahati kuwa nae
Don't be complacent, please. Remember what happened to Simba some years back with Galaxy?
Tell me I don't know broh for real
@@amaniomar1755 Simba walifungwa kwa Mkapa na Galaxy 3-1. Simba iliifunga Galaxy 2-0 nyumbani kwao. I love Yanga; the win against Rivers is fantastic, but the match is not over yet.
We're not like makolo...don't ever compare us with them
So what
Vvv
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂💚💛💚💛
Huyu Jamaa hatali sana
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yanga rahaaaaa saana kwakweli
🤣🤣🤣🤣🤣