ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

FUMAU MSHAIRI AWAKOSHA MASHABIKI WA YANGA NA SHAIRI KUIVAA RIVERS UNITED/"WAMEYAKANYAGA KWA MKAPA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 เม.ย. 2023
  • Hamasa za Wananchi Young Africans kuelekea Mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya Robo Fainali dhidi ya Rivers ambao utapigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.
    Hamasa hizi zimefanyika maeneo ya Temeke Mwembe Yanga zikiongozwa na Meneja Habari na Mawasilino wa Yanga Ally Kamwe pamoja na Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki Haji Mfikirwa.

ความคิดเห็น • 15

  • @Aishajafari23
    @Aishajafari23 ปีที่แล้ว +2

    Waoooooo daima mbele nyuma mwikoooooo💛💛💛💚💚💚💚🖤🖤🖤🖤🖤

  • @user-yf4wr1tq5t
    @user-yf4wr1tq5t ปีที่แล้ว

    Kaka hongela Sanaa uko vyema yanga oyeeeee

  • @abdallahahmed8728
    @abdallahahmed8728 ปีที่แล้ว +4

    Huyu kijana ni tunu ya Kiswahili anastahiki kutnukiwa nishani ya kiswahili

  • @rashidiramadhani7885
    @rashidiramadhani7885 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @Ba63828
    @Ba63828 ปีที่แล้ว +1

    WOW wa kwe2 Wananchi huyu

  • @leyyzmkenda3584
    @leyyzmkenda3584 ปีที่แล้ว +2

    💚🖤💚💚🖤🖤🖤💛💛💛💛💛💛💛💛

  • @AllanAluma-ss8lb
    @AllanAluma-ss8lb ปีที่แล้ว +1

    Jamani, Yanga tamu 🥰🥰

  • @zeyanaalhabsi8636
    @zeyanaalhabsi8636 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤❤❤

  • @emyziba4612
    @emyziba4612 ปีที่แล้ว +1

    Hatar sana kijana

  • @saidmbarouk3553
    @saidmbarouk3553 ปีที่แล้ว

    HONGERA SANA YANGA AFRICANS KILA LA KHERI

  • @Hamisi-zn1pr
    @Hamisi-zn1pr ปีที่แล้ว

    Yanga tamu.

  • @ahmadsalim4417
    @ahmadsalim4417 ปีที่แล้ว

    Hii yanga itatuuwa kwa rahaaa

  • @user-nn5sq8ol4g
    @user-nn5sq8ol4g ปีที่แล้ว +1

    💚💚💛

  • @omega-gl9wt
    @omega-gl9wt ปีที่แล้ว +1

    Yanga wanapaswa kushambulia na kudefend wote na keeper acheze corner na mipira yote kwenye Box

  • @biashamohamed1033
    @biashamohamed1033 ปีที่แล้ว +1

    Waooooooo