NIMEVUNJA MKATABA NA SHETANI (OFFICIAL VIDEO) - Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Download or listen online: mdundo.com/son...
Performers: Kwaya Kuu Mt. Cesilia Arusha, Tanzania
Publisher: Verony Productions Ltd.
Copyright ©Verony Productions Ltd.
MTUNZI: Victor Murishiwa
Lo! Kumbe ni wewe shetani umeniletea matatizo yote haya
Ondoka kwangu haraka kwa jina la Yesu ondoka kwangu
Lo! kumbe ni wewe shetani ulisababisha nikamsahau Mungu
Ondoka kwangu haraka kwa jina la Yesu ondoka kwangu
{ Nimevunja mkataba na wewe (shetani)
Ondoka, ondoka nasema
Namkaribisha Yesu moyoni mwangu }*2
Lo! kumbe ni wewe shetani ulisababisha nikafungwa gerezani
Lo! kumbe ni wewe shetani nikaipokea rushwa
Lo! kumbe ni wewe shetani ulinipeleka katika nguvu za giza
Lo! kumbe ni wewe shetani uliniongoza katika njia ya dhambi
Lo! kumbe ni wewe shetani unakosanisha ndugu nao majirani
Lo kumbe ni wewe shetani unasababisha vifo vinakuwa vingi.
Hakika shetani Hana nafasi ndani ya nafasi zetu
My ever best song i used to listen this back in 2009 untill now it's by God grace may God protect me and my family despite all the difficulty we may go through God has been there for us thank you God ❤❤
God will see you through.
Mimi Ni mmoja wa Yesu. Ondoka we shetani
Ondoka kwangu shetani, karibu yesu moyoni mwangu
Loooooh kumbe niwewe shetani,ulisababisha mimi nikakuwa siiiiiiiingle,,,😅
@@lemain1361 yooh 😂😂😂 have come to read this today 😂😂😂,
@@PatriciaNyatichi I see you can relate,,🤣
Napenda Sana Gaspar cecilia
Chenga ya mwili❤️❤️❤️
Kweli hakika
God bless you all.
Très belle chanson
Que Dieu vous bénisse.
Love everything 😍
Amen
I love the song
❤❤
NZur
I love this song may God bless you all.
Weeeeee mwalimu hapo 2:38,,,pananikumbusha clip ingine sisemi,,ahahahahaaaa,,akh wachawi watatuonyesha mambo
Nice song
❤
Nice 👌
Thank you! Cheers!
Amazing song 😍
Waiting for kalacha parish..... God bless you
Leo utapata Kalacha. God bless you too
@@VeronyProductions thank you and be blessed
👌👌
ohhh my God i love this song could someone tell me the meaning please
Briyan, the song talks of a person who has broken all the covenants he has with the devil because the devil has led him astray in all ways. Instead he has chosen to welcome Jesus Christ into his life.
@@VeronyProductions thank you so much