KINGWENDU AKICHAFUA ,AMTAJA DIAMOND KUHUSIKA NA RICH MAVOKO TAZAMA HAPA POVU LAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024
  • #bongo24 #harmonize #diamondplutnumz

ความคิดเห็น • 77

  • @imrizzy9668
    @imrizzy9668 ปีที่แล้ว +10

    Diamond is always the talk of the day in Tz. Wow! guys give him a break.

  • @mrben227
    @mrben227 ปีที่แล้ว +3

    Ni jambo zuri sana,shida ya baadhi ya mastaa wa kibongo huwa wanasahau walipotoka na hii si nzuri kiuhalisia

  • @demolenebooysen2085
    @demolenebooysen2085 ปีที่แล้ว

    Legend Kingwendu u the best

  • @saimonmizingo7485
    @saimonmizingo7485 ปีที่แล้ว

    Oy wanatutenga sana hao mastaa japo nishabiki wao sisi

  • @BoscoBTCFASHION
    @BoscoBTCFASHION 11 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwakuongeya ukweli ❤

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 ปีที่แล้ว +3

    Wawoo nakukubali kingwe umeonge jambo zuri sanaa wasanii wakubwa wasiwazarau mashabiki wao wa vjijin nao wanaitaji burudani hao viewers mnaowapata wengenie wa chaka to chaka kwaiyo wafateni kwai kiwango cha hari zao

  • @EdwardTendawaya
    @EdwardTendawaya ปีที่แล้ว +1

    Tin hongera xana Hilo wazo coz Kuna xehem nyingne wananch wanataman burudan lakin wasanii hawaji hvyo kwa Hilo mmetisha mkojan na tin njooni na swax mtoe burudan

  • @baldwinkitungwa1527
    @baldwinkitungwa1527 ปีที่แล้ว

    Bien dit mon père kingwendu des puis 👉👉👉👉RDC

  • @omardaudi2928
    @omardaudi2928 ปีที่แล้ว +1

    Mm 2020 nilienda kahama kuna sehem inaitwa uroa , namba 5 huko, watu hawamjui diamond ila wanamjua kingwendu

  • @omanmwajabumbeguoman8642
    @omanmwajabumbeguoman8642 ปีที่แล้ว

    🎉🎉🎉point baba ni kawaida tuu❤ tuna wakaribisha kwetu masaki sungwi msanga ngongele😅😅😅😅

  • @achilemtela3846
    @achilemtela3846 ปีที่แล้ว +1

    Karibu mfanye Chaka tu Chaka Mbeya vijijin,ni msimu wa pareto kata ya Ilembo

  • @nestorkingjohnqueen8265
    @nestorkingjohnqueen8265 ปีที่แล้ว

    Kingwendo umeongea ukweriii ❤

  • @nickalreadyknows
    @nickalreadyknows ปีที่แล้ว +1

    Kingwendu mbona unanongwa sana 😅😅😅

  • @francissamson2207
    @francissamson2207 ปีที่แล้ว +18

    Diamond alifanya shoo chaka kwa chaka zamani akiwa anajitafuta siyo sasa, gharama ya yy kufanya shoo ni ngumu kwa promota kumlipa afanye hizo shoo atarudishaje pesa yake. Makampuni pekee ndiyo yanaweza kumlipa diamond kufanya shoo hizo maana ndiyo wanapesa kuwalipa wasanii wakubwa,

    • @mpondajumbe
      @mpondajumbe ปีที่แล้ว +1

      Ila ulaya wanaenda kufanya Chaka to chaka

    • @francissamson2207
      @francissamson2207 ปีที่แล้ว

      @@mpondajumbe Europe hakuna chaka to chaka bali huwezi fanya show bila kuwa na kibali na muda wa kazi ukiwa hiyo Nchi, watu wapo bize na kazi kuliko TZ na muda ni pesa siyo story na tickets zinaweza kuisha lkn wasije wote kwa sababu ya ubize wa watu.

    • @charlesmashauri3704
      @charlesmashauri3704 ปีที่แล้ว

      Kwani yeye hawezi kufanya kwa ajili ya mashabiki...?

    • @francissamson2207
      @francissamson2207 ปีที่แล้ว

      @@charlesmashauri3704 ipo wasafi festival

    • @tanstoretz
      @tanstoretz ปีที่แล้ว

      😅😅😅 Acha uongo Diamond mwezi wa 6 alikua Lupa tingatinga unapajua wewe

  • @AlexanderNimbona-lj4ln
    @AlexanderNimbona-lj4ln ปีที่แล้ว +1

    gwendu ngwendu 👑💪💪

  • @-ex5ig
    @-ex5ig ปีที่แล้ว +1

    Sana nikwel ulio sema nikama richi mavoko alivyo pgi sho kijijini sasa uyo ndomsani

  • @mtz5582
    @mtz5582 ปีที่แล้ว

    For real Kingwendu...mi nipo UK na ninajua kila ulilosema ni kweli....Nipo David Lloyd Chelsea hapa na repair AC..Stormzy kaja Gym...kaja mwenyewe ana drive bila msafara

  • @mustapherabel8471
    @mustapherabel8471 ปีที่แล้ว +1

    Kingwendu umeongea ukweli😂😂😂😂 mtupu

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 ปีที่แล้ว +4

    Hawawezi kuongea kitu chochote bila kumtaja diamond! Yaani haiwezekani kabisaa

    • @tabiangonyani3526
      @tabiangonyani3526 ปีที่แล้ว +1

      😂😂umeonaeee watu wanamuwaza sana mondi ucku na mchana ili aanguke lakin wap mpambanaji yule hawamwezi wataishia kusema2 anakata nyota watu😅

    • @sultansallah8772
      @sultansallah8772 ปีที่แล้ว

      Haiwezekan mtu kuhubir bila kumtaja shetani

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no ปีที่แล้ว

      ​@@sultansallah8772utawezaje kuhubiri bila kumtaja Mungu?😂😂

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk ปีที่แล้ว +1

    Kingwendu bwana kwa msimuui

  • @NadharAbdalla
    @NadharAbdalla ปีที่แล้ว

    Naombeni namba ya mkojani mwenye nayo

  • @omanmwajabumbeguoman8642
    @omanmwajabumbeguoman8642 ปีที่แล้ว

    Hauna baya miyangu

  • @SelemaniKabeya-ew3tc
    @SelemaniKabeya-ew3tc ปีที่แล้ว +1

    Ushauli wangu nendeni kwenye mavuno kwa Sasa sizani

  • @husseinwemmar6217
    @husseinwemmar6217 ปีที่แล้ว

    Diamond kila kitu Diamond duh 😅😅

  • @lulendabikyeombe3990
    @lulendabikyeombe3990 ปีที่แล้ว

    Hata USA kwani wanapiga wapi pa ajabu mzee hupo sawa hasilimia nyingi watu wanaowaleta ni wa Nigeria na wa congo drc kutoka Uganda

  • @claudesimukoko1436
    @claudesimukoko1436 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda chakatuchaka karibuni apo kataa ya Nzovwe Mbeya Mjini hi ndoo kataa alipo zaliwa rayvanny na kusoma hapa hapa...

  • @experymassawe3521
    @experymassawe3521 ปีที่แล้ว

    Mnaumia Dai akitajwa hahaha dvkwrsp

  • @jumahaji207
    @jumahaji207 ปีที่แล้ว +1

    Kingwendu alitaka kuongea kuhsu kiingilio 😀wamemkatisha

  • @Stephaneruge
    @Stephaneruge ปีที่แล้ว

    Nikweli sisi ndio tunao ishi Uku tunaona show zao ni sisi wa Africa tu ndio tunao endaga kwenye show zao

  • @markkayuni9775
    @markkayuni9775 ปีที่แล้ว +1

    Chaka to chaka ya ulaya😂😂😂

  • @JumaShimende
    @JumaShimende ปีที่แล้ว

    Ukiona huongelewi huna jambo lakin mtu maarufu au mpambanaji yeyote lazima utasemwa semws tu ujue unakitu unamafanikio unajitambua unajielewa

  • @zachaamaster5378
    @zachaamaster5378 ปีที่แล้ว

    #nakubal waukae umeua san

  • @SAYUKI513
    @SAYUKI513 ปีที่แล้ว +1

    Bongo tuanzie DODOMA

  • @pierrebigirindavyi4378
    @pierrebigirindavyi4378 ปีที่แล้ว +1

    Sasa Diamond anaingiaje uko????

  • @aloycejohn6038
    @aloycejohn6038 ปีที่แล้ว +11

    Diamond ni msanii mkubwa sana naona kila mfano ni Diamond platnumz 😂

  • @emmanuelbarnabas2577
    @emmanuelbarnabas2577 ปีที่แล้ว

    Kingwendu 😂😂😂

  • @bongotrapaholix5746
    @bongotrapaholix5746 ปีที่แล้ว

    kingwendu kawachana hamna kitu apo

  • @joycenicodemus.2232
    @joycenicodemus.2232 ปีที่แล้ว

    Aliyepiga shoo ni mavoko Sasa lawama zote zinamwangukia diamond.😢😢😢😢Diamond na alikiba niwasanii wakubwa Sana Acheni kuwaongelea kwenye hayo machaka yenu

  • @selemanijapheti4051
    @selemanijapheti4051 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli bhana sijawahi kuona wazungu wanajazana wafilicka Sana

  • @KGONLINETV-i7z
    @KGONLINETV-i7z ปีที่แล้ว

    WASANII WAKUBWA WANAJISKIA NA WALITOKA CHAKA TO CHAKA

  • @matendoandrewmgeni1135
    @matendoandrewmgeni1135 ปีที่แล้ว

    Kisingizio tu point nikwamba huku mjini pesa haisomi

  • @sidebraizoy2070
    @sidebraizoy2070 ปีที่แล้ว +4

    Mbona festival ya daimond ruangwa kiingilio 2000 hd 5000 sawa tu Hawa hakina tini hamna tofauti

    • @jastinedaudi-qi9vr
      @jastinedaudi-qi9vr ปีที่แล้ว

      Duuh hv kwel ilkua buk mbil kk

    • @kinthermedia
      @kinthermedia ปีที่แล้ว

      Aya bhana

    • @dasproz50
      @dasproz50 ปีที่แล้ว

      Tazama mtangazo wazamini TV usiongee bure.

    • @OfficialMicky-nv4re
      @OfficialMicky-nv4re ปีที่แล้ว

      Ndio nisaw maana kule ni vijijin sana shida kinacho zingua steg

  • @PeterMichael-rh1hj
    @PeterMichael-rh1hj ปีที่แล้ว

    Mnataka mpeleke na diamond kwenye ujinga wenu uo nyie chezen nauyo aliefulia

  • @ikouwasi7644
    @ikouwasi7644 ปีที่แล้ว +2

    show gani umefanya ulaya bhana tuonyeshe video za hizo show ulizofanya ulaya

  • @allenbierra8841
    @allenbierra8841 ปีที่แล้ว

    Bayern Munich inahusikaje hapo

    • @DaressalaamTv-rb2io
      @DaressalaamTv-rb2io ปีที่แล้ว

      Anamaanisha ameenda nje lakini hana majivuno ana fanya show Kijiji na huko alipoenda alifanya show lakini hana kiburi kwa mashabiki wake anajigawa na yupo tayari kupokea Hela yoyote tokakana na mazingira ili mashabiki wake wafurahi

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no ปีที่แล้ว

    Yaani Tz bwana halifanyiwa jambo bila ya kumtaja DIAMOND WEEE mawazo yote yapo kwa SIMBAA😂😂😂

    • @MohamedJumanne-wn9ou
      @MohamedJumanne-wn9ou ปีที่แล้ว

      Diamond ndo mchawi mwenyewe anawapoteza wasanii wenzake mavoko alipo Toka wasafi akaekewa kamati ya watu ishirini Ngoma zake zisipigwe Kwa tv au redio we unamsikia asahivi mavoko kama sio mbaka uwuke frash

    • @MohamedJumanne-wn9ou
      @MohamedJumanne-wn9ou ปีที่แล้ว

      Diamond ndo mchawi mwenyewe anawapoteza wasanii wenzake mavoko alipo Toka wasafi akaekewa kamati ya watu ishirini Ngoma zake zisipigwe Kwa tv au redio we unamsikia asahivi mavoko kama sio mbaka uwuke frash

    • @MohamedJumanne-wn9ou
      @MohamedJumanne-wn9ou ปีที่แล้ว

      Diamond ndo mchawi mwenyewe anawapoteza wasanii wenzake mavoko alipo Toka wasafi akaekewa kamati ya watu ishirini Ngoma zake zisipigwe Kwa tv au redio we unamsikia asahivi mavoko kama sio mbaka uwuke frash

    • @MohamedJumanne-wn9ou
      @MohamedJumanne-wn9ou ปีที่แล้ว

      Sio kama atuwez kufanya jambo bila kumtaja diamond platinum ila ni hivi diamond ndie mchawi mwenyewe anawapoteza wasanii wenzake Ili wasimfikie anataka apige pesa peke yake ndyo mana ngona za mavoko azipigwi mana walimuwekea kamat ya kumpoteza mavoko Hilo tunajua watanzania

    • @emmalyanga3726
      @emmalyanga3726 ปีที่แล้ว

      ​@@MohamedJumanne-wn9ouwachawi mnajuana
      Mnakutana huko uchawini