Mwamposa kudhamini mpira tutegemee KARIBUNI utadhamini UKAHABA AU ULEVI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 62

  • @StevenMutale-xt9yj
    @StevenMutale-xt9yj 2 หลายเดือนก่อน

    Amen baba Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu uwasomee zabur 92-67

  • @VictoriaPaschal-ve5hr
    @VictoriaPaschal-ve5hr 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman tumuache Mungu afanye kaz yake amna sehemu wakozuia mpira wala kusema mpira ni dhambi tukasome vzr biblia yako vzr

  • @VictoriaPaschal-ve5hr
    @VictoriaPaschal-ve5hr 2 หลายเดือนก่อน

    Yesu amekuja kwaajiri ya watenda dhambi yesu akuja kwa watakatifu bali amekuja kuwaokoa watenda dhambi ili wawe watakativu kwahy amna mkamilifu kama wote tutajua hilo atuta mchaji mtu please jaman tupendane kwa sasa babu yesu amekuja kwa ajili yangu na wewe tushikilie iman yetu na kuhubiria kutenda matendo mema

  • @DanielYusuph-071
    @DanielYusuph-071 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli mze,mpira umetufanya tukubaliane na uonevu wa kila rangi.....

  • @Mapitoyazamani-y7n
    @Mapitoyazamani-y7n 2 หลายเดือนก่อน +2

    kwa wenye akili sawasawa hapa wanaelewa vizuri sana.

  • @danielmwampeta3338
    @danielmwampeta3338 2 หลายเดือนก่อน +3

    😮😮
    Mwamposa hii elimu inakujia wewe hivyo achana na injili inayo zidi kuwapotosha watu wa Mungu zaidi.

  • @HekimaSalama
    @HekimaSalama 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ila mbarikiwa ww ni mtu wa mungu

  • @AnaniaKyando
    @AnaniaKyando 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mm Kwa Akili yanguu hi ndogo navojua mm hakuna wokovu nampila mpila ni ushetani mtupu

    • @JosefuSwai
      @JosefuSwai 2 หลายเดือนก่อน +3

      Iko wazi ni ushetani mtupu

    • @mestonisimzosha203
      @mestonisimzosha203 2 หลายเดือนก่อน +1

      Niushetani haswaaaa

    • @MfiriFulgensi
      @MfiriFulgensi 2 หลายเดือนก่อน

      Kwahio unataka kuniambia sisi wakatoliki ni mashetani?

    • @MfiriFulgensi
      @MfiriFulgensi 2 หลายเดือนก่อน

      Hatamuhimbili usiende tutibiwe kiasili?mbona unakubali kuvuliwa nguo na daktari tena wajukuu zako?

  • @LameckNyamsenda
    @LameckNyamsenda 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kiukweli tungepata watu wa Mungu 10 Tanzania kama wewe hakika taifa hili lingefika mbali sana, ila Mungu aendelee kukutunza kwaajili ya kizazi hiki kiovu

  • @JestinaMdemu
    @JestinaMdemu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli baba.ilo ni sawa.

  • @bernardmushi4869
    @bernardmushi4869 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ataudhamini mpira na sehemu ya hiyo pesa itakwenda kwa MGANGA WA TIMU BAGAMOYO.

  • @SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr
    @SaimonmsimbegeMwakajonga-wt6rr 2 หลายเดือนก่อน

    Emungu tusaidie hii nihatari kubwa Kwa kanisa MUNGU atufumbue macho

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hubili injili acha kusema watu

    • @MartineJames-t1f
      @MartineJames-t1f 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani wewe kucomment hapa ndo unahubiri injili?
      Huyu unayemwambia ahubiri injili ni kuku,bata,mbwa,mti,jiwe,ng'ombe,Au ni mtu?,
      Au wewe unajua injili ni kunyamaza pindi mwinzi anapokuibia au kukuvamia nyumbani kwako??ama mwanao,ndugu yako,mzazi wako anapoonewa??kwamba ukae kimywa kwa sababu ndo injili?
      Acha unyumbu we mtu.

    • @BonifasNtibarahila-ee4ih
      @BonifasNtibarahila-ee4ih 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani injili inahubiriwa wakinanani wenyumbhu? ,Nainahubiriwakwalengolipi? ,Nakamanikwalengohilo, yapasakuwambia wakinanani wenyumbhu ww, nalonyumbu nijinalamtu ,Piaastajwe?

  • @isakamnkondya
    @isakamnkondya 2 หลายเดือนก่อน +2

    tupo pamoja baba wa antoni mwakasyka

  • @HekimaSalama
    @HekimaSalama 2 หลายเดือนก่อน +2

    Injiri original

  • @charlesnyanhanga4382
    @charlesnyanhanga4382 2 หลายเดือนก่อน +1

    Upo sahihi masihi wa bwana songa mbele tupo na wewe

  • @simonIbrahim-hc8vm
    @simonIbrahim-hc8vm 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika

  • @LameckNyamsenda
    @LameckNyamsenda 2 หลายเดือนก่อน +1

    Umenifurahisha baba eti umemuona akicharaza kabumbu😂😂😂

  • @AlexGervs
    @AlexGervs หลายเดือนก่อน

    Mbona watizama kibanzi kilichopo ndani ya jicho la mwenzio wakati............

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  หลายเดือนก่อน

      Hilo boriti liko wapi? Au umekalili andiko bila hata ya kujua maana yake?

  • @lawrenceshekinyashi8243
    @lawrenceshekinyashi8243 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wajinga ni wengi kuliko waelevu, mchungaji kama kuna malipo bas utalipwa kwa hayo ufanyayo.

  • @ephraimkabeya9648
    @ephraimkabeya9648 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe wewe ni msikilizaji na mfuatiliaji mzuri sana wa MWAMPOSA?!!. Endelea baba. Tuonyeshe matendo mema na Mahubiri matakatifu tujifunze.

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 2 หลายเดือนก่อน

    Kwahio we we ni nabii unatabiri yajayo?

  • @AberiPetro
    @AberiPetro 2 หลายเดือนก่อน

    Yani bludani nyingi kwa Sasa shetani ameweka nguvu kubwa ili kuwa sahaulisha binadam uelekeo ndiomana anae kumbuka uelekeo anakuwa ni kiumbe wa ajabu kwa ulimwengu huu

  • @GeofreyKalo-ot3we
    @GeofreyKalo-ot3we 2 หลายเดือนก่อน +1

    Leo umeongea ujinga babu hapo mwamposa Hana kosa Kwa hapo!

    • @Mapitoyazamani-y7n
      @Mapitoyazamani-y7n 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna siku aliyoongea ukampongeza kuwa ameongea vizuri, kwahiyo wewe tulia sindano ikuingie vizuri.

  • @meshackpatrick6981
    @meshackpatrick6981 2 หลายเดือนก่อน

    Pesa ikiwa nyingi irudishwe kwa wananchi

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  2 หลายเดือนก่อน

      Ndio. Ila njia za kurudi isiwe kusimamisha shughuli za uzalishaji mali.

    • @KelvinSimango
      @KelvinSimango 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna mtu anae jua usajiri ni wa mungu usingekuwa unabisha kila jambo inawezekana hujui neno ila unachuki na huchanganui kwanini mkristo anashindwa kumiliki mali, ability zako anae miliki mali ni shetani peke yake.

    • @Mbarikiwa_Mwakipesile
      @Mbarikiwa_Mwakipesile  2 หลายเดือนก่อน

      @@KelvinSimango Mkristo aliye na akili timamu ni rahisi sana kumiliki mali. Ila hahangaikii hiyo ila mali ipitayo utajiri wote (wema).

    • @MartineJames-t1f
      @MartineJames-t1f 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@KelvinSimangonjia ya mkristo kumiliki mali,au mtu yeyote ni kufanya kazi,hakuna njia nyingine,hiyo unayoijua wewe kuwa ndiyo njia sahihi,"ndiyo anayoipinga hapa",yaani lazima njia za mkristo ama mpagani kufanikiwa ama kuwa na mali lazima ziwe tofauti sana,au wewe hujaelewa nini hapa ndugu,
      Kwani WAAFRIKA jamani mtaamka lini usingizini,ili hali mmeamushwa kwa kiwango hiki?duuu😢
      MATHAYO5:13-16,ucha Mungu ama mkristo anakanuni zake anazotakiwa aenende kwazo kwenye jamii tofauti na wasiomjua Mungu.hii ndiyo raha ya kuujua wokovu haswa aliokuja kuuleta Yesu Kristo.nafikiri utaelewa kama unasikio la kupona.

    • @MfiriFulgensi
      @MfiriFulgensi 2 หลายเดือนก่อน

      @@Mbarikiwa_Mwakipesile mbarikiwa kama unadhani wenzio wanajaza watu kwakutumia nguvu za giza wewe okoa watu kwAkuomba uchawi wao ufee waaibike

  • @JUSTNEMITOMINGI
    @JUSTNEMITOMINGI 2 หลายเดือนก่อน

    Nyie wanyakyusa mnajuana aise

    • @MartineJames-t1f
      @MartineJames-t1f 2 หลายเดือนก่อน

      Tatizo siyo ukabila,shida ni "samaki mkuje angali mbichi"akikauka hakunjiki"
      Umuonapo mtu mbaya anafanya ubaya usimuonye,mtu yule akifa kwenye ubaya wake damu yake nitaitaka mikononi mwako.EZEKIELI 3:17-19.
      Fahamu tu pia,dunia imeharibika na kufika hapa ilipofika kwa sababu ya kukosekana mtu aliyekuwa anamfes anayeharibu fizkari bila kujalisha kabila lake,au kwamba ni ndugu yake ama dini yake.
      Hivyo uwe makini sana,fikili kabla ya kucomment,asante

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nchi ya Israel walijenga viwanja vya mpira MUNGU akawapa adhabu.
    Kwahiyo Mpira kwa MUNGU ni Ushetani Mtupu.
    Au
    Kwa Lugha nyingine mpira mbele za MUNGU ni Ushetani.

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 2 หลายเดือนก่อน

    Unamatatizo ya ubongo

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 2 หลายเดือนก่อน

    Bodaboda siyo kazi ni umasikini mtupu na mpira ndio chanzo Cha ujinga mwingi

    • @MartineJames-t1f
      @MartineJames-t1f 2 หลายเดือนก่อน

      Heri kipi?bora kuwa bodaboda huku ukiwa unamcha Mungu,ama kucheza mpira ukiwa unasema umeokoka?,
      Fahamu lugha hii kuwa,"Heri nusu shari kuliko shari kamili"asante

    • @PastorAlex-wo2be
      @PastorAlex-wo2be 2 หลายเดือนก่อน

      Asante nashukuru kwa maonyo ,unayo yatoa,1wakoritho 12:4-5 kuna tofauti za uduma na tofauti ya kutenda kazi,Nina maanisha kila aliye tumwa na BWANA au kuchaguliwa na BWANA,Kuna kitu alichoagizwa kukifanya/wito wako nini? Ni bora urudi katika wito wako,na siku ya mwisho BWANA atakudai alicho kutuma,michezo/mpira siyo kosa na siyo dhambi,rudi ktk fundisho la Yesu kristo,(kwa mfano nini maana ya kumcha BWANA,=Ni kutii amri zake sheria zake na hukumu zake na maagizo yake,(kumbu kumbu la torati sura ya 10:12-14) kumpenda Yesu kristo ni kumshika amri zake (Yohana 15:10---)yohana 14:21--) mpira ni moja ya hajira mtumishi,unashida gani? Pamoja na hayo hakuna mwanadamu Yeyote atendae mema asitende dhambi (mhubiri 7:20) nitajie dhambi ya kucheza mpira, watumishi wa Mungu tuubiri Neno tuachane na porojo,Mtakatifu ni mmoja tu nae ni BWANA (Mungu wa mbinguni) hata watumishi wa Mungu tunakosea (Waebrania sura 5:1--5) ispokua tunabebwa vipawa na karama na Neema ya BWANA,na ndiyo maana wote wenye matumaini ya kutembea na BWANA na kukaa katika uwepo wake tunatakiwa tuwe tunaomba msamaha ili tumkaribie aliyemtakatifu.mpka tutakavyofunuliwa jinsi tutakavyokuwa (1wara wa Yohana sura 3) Hacha Mungu wa mbinguni atuesabie haki mwenyewe (Ayubu 1:7---10)😀😀😀

  • @ValentinLuísMualabo
    @ValentinLuísMualabo 2 หลายเดือนก่อน

    Ina maana wewe hufanyi mazoezi??

  • @rabiamenshoo1988
    @rabiamenshoo1988 2 หลายเดือนก่อน

    Nin wivu tu, wivu umekujaa,ni siku atadhamini hadi waumini wako pamoja na wewe.

    • @AnaniaKyando
      @AnaniaKyando 2 หลายเดือนก่อน

      Mm nakwambia ww mpila niushetani haya nifanyie Cha kunifanya😂😂

    • @ItikaWito
      @ItikaWito 2 หลายเดือนก่อน

      Nakutukana kwa niaba ya mwakipesile we ni msenge wa kiroho

    • @ItikaWito
      @ItikaWito 2 หลายเดือนก่อน +1

      Dah ninafurahi kuwa na KUHANI mwimbaji anae cheza namba zote dah ubarikiwe na MUNGU mbarikiwa

  • @GeofreyKalo-ot3we
    @GeofreyKalo-ot3we 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kama mpira ni sawa na ukahaba Kwa mtazamo wako basi na hakika wewe ni mjinga , au sio mwelevi Kwa mambo ya kiroho,

    • @lawrenceshekinyashi8243
      @lawrenceshekinyashi8243 2 หลายเดือนก่อน +3

      Bro kama hujui mambo tazama tu ujifunze au usitazame kabisa.

    • @JosefuSwai
      @JosefuSwai 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mjinga wa kwanza in huyu

    • @ombendaud5938
      @ombendaud5938 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@JosefuSwaiYupi ambae ndo mjinga wa kwanza.Mwamposa ndo mjinga wa kwanza duniani

    • @ombendaud5938
      @ombendaud5938 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kweli kabisa baba tuwavute watu.Watu wakishalewa kinachofuata ni ulevi na umalaya.Hakuna mtu anaejitambua utamuona ana hangaika na mipira

    • @Mapitoyazamani-y7n
      @Mapitoyazamani-y7n 2 หลายเดือนก่อน +3

      Mambo ya ki-Mungu hueleweka na watu wenye akili sawasawa, kwahiyo sio lazima ukomment, tafuta ya level yako.