Zari anasoma anasikiliza yote wanayomesema. Akienda kusalimia anaambiwa haja move on kwa Diamond bado anajibebeleza. Sasa ameonyesha msimama kuwa bila familia ya Diamond anaweza kuishi. Anayosemwa yanamfikia jamaani.
Alishaondoka jana usiku hiyo hiyo na yuko Uganda sasa hivi na kesho ana shughuli ya mkesha wa mwaka mpya. Amemove on na nyie jitahidi mfanye hivyo. Aende kuwasalimia kama nani sasa?
Am proud to be a ugandan ❤❤❤❤❤
Zari anasoma anasikiliza yote wanayomesema.
Akienda kusalimia anaambiwa haja move on kwa Diamond bado anajibebeleza. Sasa ameonyesha msimama kuwa bila familia ya Diamond anaweza kuishi. Anayosemwa yanamfikia jamaani.
Nyie wahandishi wa habari wanafiki sana mnataka zari aende kule kwa daimond halafu mseme zari kagombana tena na mumewe kisa kaenda kwa daimond.
Undugu wa nini akionekana nao mnaanza kusema hajamove on lakini akiendelea na yake mnaanza kusema ana dharau, kwani mnataka awalambe mikundu?
Alishaondoka jana usiku hiyo hiyo na yuko Uganda sasa hivi na kesho ana shughuli ya mkesha wa mwaka mpya. Amemove on na nyie jitahidi mfanye hivyo. Aende kuwasalimia kama nani sasa?
Hivi utafutaga content Kwa issue za kijingaa mmjh