NENO LITAENDELEA LA RUDI HEWANI KBC RADIO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
- #tbthursday
Je Wakumbuka ?
♪♫ Nenoo
♪♫ Ni Idhaa yangu, Tena Mwangaza uuuh
♪♫ Wa njia yangu, Mwongozo Wangu
♪♫ Hili neno ♪♫
Neno Litaendelea is back home KBC Radio Taifa, Sauti Ya Mkenya.
Ungana Mchungaji Geoffrey Wanjala Munialo na dada Pamela Omwodo kila Jumatatu hadi Ijumaa saa kumi na Moja asubuhi
Naipenda sana injili ya mchungaji huyu, Geoffrey Wanjala Munialo, imenikuza sana tangu utotoni na ninaposikia sauti yake popote, m hujua imetumwa kwajili yangu. Barikiwa sana, mchungaji🙌
From kilimanjaro nakumbuka saut ya mchg gidombe maina neno litaendelea 😁😁miaka zaid y 28
I remember this since I was a child ..Pastor Geoffrey Wanjala Munialo NA NENO LITAENDELEA
Habari nimefungulia tangu juzi Saa kumi na moja from Tanzania siwapati jaman
wow! such humbing and nostaligic memories of them days...
I was a child being brought in church by my grandmother ❤
Twawaombea mwezeshwe kuingia hata tv pia.
❤Those days nikiwa primary school
I miss this
Safi
I remember these days
Nilikuwa namsikiliza nikiwa mdogo
Na bado yuko hewani na Neno Litaendelea
@@TWRKENYA Nakipenda sana kilikuwa kinanisaidia kukuwa kiroho
I also loved listening to him
Tafadhali ninaomba kwa moyo safi rudini hewani
Nakupenda injili yenu, ni kweli
Asante sana Na Neno Litaendelea
Kindly someone to guide me where I get this documentaries of neno litaendelea ....
Can someone help me.. I need the name of the song please
Kwanzia saa ngapi? Na nisiku gani ?
Aki hiki kipindi mbona siku hizi hakipo?
Kipo KBC Idhaa ya Taifa saa kumi na moja Asubuhi kila Jumatatu hadi Ijumaa
@@TWRKENYA Okay Nashukuru kwa kunifahamisha ila hayo masaa ni mapema sana huwa bado twalala
Mmeondoa kipindi KBC. Kinapatikana wapi kwingine sasa?