Full Video Diamond Atoa Magari yote na Rolls Royce Msafara mtaa kwa mtaa akiwa na ulinzi mkali

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 422

  • @masundelwa
    @masundelwa 3 ปีที่แล้ว +24

    Mara paaap BODABODA kachubua Rolls-Royce

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 3 ปีที่แล้ว +4

      Huyo bodaboda ashindwe na alegee!

    • @credo7837
      @credo7837 3 ปีที่แล้ว +1

      @@subirajohn728 mmmh

    • @latifasharon8054
      @latifasharon8054 3 ปีที่แล้ว +2

      Tobaaa.. 😂 😂 mchawi wewe

    • @heritier5119
      @heritier5119 3 ปีที่แล้ว

      Gari za bei mbaya huwa azichubuliwi

    • @ibrahimkhamis7356
      @ibrahimkhamis7356 2 ปีที่แล้ว

      Safi sanah 🌟🦁💫

  • @dieudonnebigirimana8083
    @dieudonnebigirimana8083 3 ปีที่แล้ว +45

    Neematullah,ALLAH akuongezee zaidi huna roho yakukunja
    #diamond
    #wcb 4life
    #NLM
    #IYO 🎶
    Generale dangote, Simba bin raden....
    ALLAH akubariki
    ALLAHUMMA amin🙏

    • @patimabilali7820
      @patimabilali7820 3 ปีที่แล้ว +1

      Hamna kitu apo ayo n mapambo ya dunia kajipangaje n akhera

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 3 ปีที่แล้ว +1

      Amina

    • @dieudonnebigirimana8083
      @dieudonnebigirimana8083 3 ปีที่แล้ว +1

      @@patimabilali7820 tunajua niyampito! rakini kufurahi sio dhambi.Allah kaumba dunia na viliomo kwajili yetu binadamu.M/mungu akikuruzuku ukafurahi sio dhambi

  • @mpelajohn2681
    @mpelajohn2681 3 ปีที่แล้ว +4

    Mimi mshabiki wako mkubwa sana nakukubali sana Diamond nakuombea sana kwa mwenyezi Mungu akupe maisha marefu na mafanikio zaidi ya hapo❤️❤️

  • @welcometoeat165
    @welcometoeat165 3 ปีที่แล้ว +44

    Jaman tufanye kazi kwa bidii afu tuombe mungu atujaalie mana daaaah si mchezo pia vijana tusikate tamaa! Pia tusikubal kukatshwa tamaa!

  • @mikythechef
    @mikythechef 3 ปีที่แล้ว +48

    This life is not about pride .. yesterday he didn't have and no one cared,today he has and that's why he has to tell us everything is possible

    • @salmamganga6584
      @salmamganga6584 3 ปีที่แล้ว +1

      Nimekupenda

    • @ashakasikile2698
      @ashakasikile2698 3 ปีที่แล้ว

      🙏 Amen

    • @mikythechef
      @mikythechef 3 ปีที่แล้ว

      @@salmamganga6584 nashukuru

    • @takidmaster01
      @takidmaster01 3 ปีที่แล้ว

      Jealousy kills!! he's not showing you plzzzzzzzzzzz!!! you've just felt it important to follow n watch everything about him! He's got it all!If i were you,i would have just ask myself how he did it to be where he is today but not talk jealously!! Let's learn to appreciate others when they make it not call everything pride.

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

      Did said salim bakressa do that or he has no money?

  • @seifchembela4346
    @seifchembela4346 3 ปีที่แล้ว +57

    Maskin tupunguze husda ndomana atufanikiwi ebwana mondi fulai ndugu ata ningekuwa mm ningefulai

  • @sophiaabubakary527
    @sophiaabubakary527 3 ปีที่แล้ว +28

    Kutimiza ndoto kuna raha yake jaman. Hongera bro

  • @chrismwanakwetu3677
    @chrismwanakwetu3677 3 ปีที่แล้ว +18

    Kwa Mara ya kwanza naiona gari kari naomben japo like zangu

  • @phiylismoraa7549
    @phiylismoraa7549 3 ปีที่แล้ว +22

    Huyu jamaaa mnyama kwa kweli 🦁🦁🦁🦁🦁💯

  • @takidmaster01
    @takidmaster01 3 ปีที่แล้ว +2

    Wenye wivu Sasa wajinyongeee!!SIMBA SIYO PAKAAAA!!!BIDII YAKE HIYO!! Always proud of this African 🦁🦁 PLATINUMZ you're the best wapende wasipendeee

  • @zakiasirya4077
    @zakiasirya4077 3 ปีที่แล้ว +28

    Wenye roho za kitu Bado waseme ni ushamba...washamba ni wao ..Simba Fanya kwa Raha zako

    • @michaelvicem6323
      @michaelvicem6323 3 ปีที่แล้ว +2

      Ushamba tupu yan bado bado wasanii wetu awakui umaalufu wake tu unatosha ASA magali kama ndo nin anapambana na hamo ndo ushamba

    • @humphreynduye7573
      @humphreynduye7573 3 ปีที่แล้ว

      Anapiga misele jaman ,,,,
      Magari si yake

    • @svt3
      @svt3 3 ปีที่แล้ว +2

      @@humphreynduye7573 ni za baba yako? Au zako? Fanya kazi kwa nguvu na wewe utapata na kuna watu wa roho chafu kama wewe hawata amini ni vyako

    • @issabinmaryam7450
      @issabinmaryam7450 3 ปีที่แล้ว +1

      Ulimbukeni kuna watu wana miwe wametulia

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

      Ni ushamba kweli

  • @amrimwingwa994
    @amrimwingwa994 3 ปีที่แล้ว +20

    Uyo mpuuuzi mwenye boda anajipitisha kando ya hiyo gari wacha aichubue halafu ajue maaana ya RR

  • @jimyjastini9995
    @jimyjastini9995 3 ปีที่แล้ว +7

    Diamond kwenye uborawake 💎💎💎💎❤❤❤💪💪💪🙏🙏🙏🇹🇿🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @tariqhassan1385
    @tariqhassan1385 3 ปีที่แล้ว +4

    Vijana wenzangu tumuombe sana mungu, kama kusoma tusome kwa bidii na tufanye kazi kwa bidii na tusiwachukie waliofanikiwa

  • @TEN10TV.
    @TEN10TV. 3 ปีที่แล้ว +10

    Kuna watu roho zinawauma hapo ... Big up mond

    • @issabinmaryam7450
      @issabinmaryam7450 3 ปีที่แล้ว

      Na wao wajiunge free nation tu..majuto mjukuu

  • @salumulongwa9461
    @salumulongwa9461 3 ปีที่แล้ว +4

    Nomasana chibu🦁🦁👍

  • @willsontv7424
    @willsontv7424 3 ปีที่แล้ว +6

    Kama umesikia harmonize chupi tuu tipia like hpa

  • @lexq-sm6lq
    @lexq-sm6lq 3 ปีที่แล้ว +7

    Nimesikia harmonize mfupi tu😂😂😂😂
    Ila watu

  • @TheRock-wo6mx
    @TheRock-wo6mx 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo sasa simba watakoma huu mwaka niwetu bado private jet tuwazime kabisa WCB for life more love from Doha Qatar 💖💖🇶🇦🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @lennoxshimanyula845
    @lennoxshimanyula845 3 ปีที่แล้ว +1

    Simba wa ukweli🥲🤑🤗....hongera platinumz

  • @samsunggalax8258
    @samsunggalax8258 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah mwenyezi mungu akuzidishiye zaidi na zaidi ameen🥰

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 3 ปีที่แล้ว +2

    These cars with those Africa roads🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @mussamwamoto8231
    @mussamwamoto8231 3 ปีที่แล้ว +8

    SIO SIFA ILA NI KUONYESHA VIJANA UKITAKA KUTAFUTA UTAPATA MUHIMU NI MALENGO,TUTAFUTE PESA NA SI MAJUNGU

  • @bashiruhassan7310
    @bashiruhassan7310 3 ปีที่แล้ว +8

    Half kuna watu wanadai ni feki kwan haya magari wachina wameshea kuunda au😆😃

  • @mgasa_tz5527
    @mgasa_tz5527 3 ปีที่แล้ว +4

    Platinum umetisha Brother.!
    Daah! Sijui hawa akina H-Mama sura zao watazificha wapi 🤣🤣🤣

  • @sebastianeverlund8526
    @sebastianeverlund8526 3 ปีที่แล้ว +1

    Daimondi I would like to advise you that you should bay a two big motorcycle to your bodyguard so they can protect you side by side sometime when you are driving your car. 👌🏾🙏❤️🥰

  • @alexlingwendu6780
    @alexlingwendu6780 3 ปีที่แล้ว

    Hizi ndo Kiki ambazo mburukutu hawatoweza iga kirahisi rahisi labda tu wakaazime kwa mondi .Much Respect kwa Mtoto wa Tandale

  • @thehunter5920
    @thehunter5920 3 ปีที่แล้ว

    Is this Ginimbi?

  • @hekimaisaya8255
    @hekimaisaya8255 3 ปีที่แล้ว

    Chuma zinatembea bila plate namba anii 🙌🙌 pesa nomaa

  • @innobugobola1694
    @innobugobola1694 3 ปีที่แล้ว +3

    Hyo ndo matumiz ya Pesa !! Ukizpata fanya kwel 🙏🏼,sio kukalia maneno ya h.baba na mwijaku 😜😜😜!!

  • @venturejackson6357
    @venturejackson6357 3 ปีที่แล้ว +14

    Lazima wanyooke shenz type 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @saniakisinga3645
    @saniakisinga3645 3 ปีที่แล้ว +6

    Escarade ndani ina taa kwa ajili ya kupunguza mawazo hatari ...

    • @faridhamad3678
      @faridhamad3678 ปีที่แล้ว

      Et taa ya kupunguza Mawazo😂😂😂😂

  • @bhaleeali8459
    @bhaleeali8459 3 ปีที่แล้ว +10

    sasa PLATNUMZ anaenda wap na foleni ya DSM 😁😁😁

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 3 ปีที่แล้ว +1

      Furaha ndugu yangu hata ningekuwa Mimi ningefanya zaidi ya hivi wabaya wangu wote waungue

    • @delahflora2479
      @delahflora2479 3 ปีที่แล้ว

      Ushamba tu 😤😏

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 3 ปีที่แล้ว +1

    Diamond naomba unipe mie like gari ya zamani

  • @kevindominion4666
    @kevindominion4666 3 ปีที่แล้ว +2

    The cars seems to have no number plates 🙄🙄🙄

  • @kabrahu_no_1665
    @kabrahu_no_1665 3 ปีที่แล้ว +1

    Mash,Allah mungu akuzidishie vyahalali amn

  • @antoinebakevya8911
    @antoinebakevya8911 3 ปีที่แล้ว +6

    Nakubaliiii, kiwasheeeeeeee

  • @احمدالخروصي-ل8ك
    @احمدالخروصي-ل8ك 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallh mungu akuzindishie amiin

  • @samoragoodwin7309
    @samoragoodwin7309 3 ปีที่แล้ว

    Ungetenga muda wakushukuru mungu kuliko kuwaonyesha binadamu ungekuwa nazo tu wala hakuna shida ila ongera uko vizuri kijana umepewa na muumba wako

  • @saydimtepende1704
    @saydimtepende1704 3 ปีที่แล้ว +6

    MOD 🤝🤝🤝🇹🇿🔥🔥

  • @vero57
    @vero57 3 ปีที่แล้ว

    Jamani fanyeni kazi kwa bidiii, hongera sana 🎊 mondi

  • @yusuphsege7495
    @yusuphsege7495 3 ปีที่แล้ว

    Ni sawa tu kuwa na magari, ya kifahari majumba ya kifahari. Ila hizo zote ni mapambo ya hapa hapa Duniana. Hishu kubwa na fahari kubwa nikumuogopa Mwenyezi Mungu na kuijenga nafsi ili akutengenezee Janatu Firdaus.

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 3 ปีที่แล้ว +1

    Hata kazi jameni wengine wanatembea kwenye gari we wakimbizana nagari kwa miguu mondi anazarau sana jameni

  • @msukumaone
    @msukumaone 2 ปีที่แล้ว

    Mbona hayo magari mnayosema ni ya kifahari hayana vibao vya namba? au mkimalizia show mnayarudisha dukani?
    Sheria zetu Zina semaje kuhusu kuendesha gari barabarani bila ya kuwa na "registration number "

  • @senjiyunvankunzimana9474
    @senjiyunvankunzimana9474 3 ปีที่แล้ว +1

    Alafu mjiulize kwanini zo gari hajaziwekea plate number?

    • @oscarswai8456
      @oscarswai8456 3 ปีที่แล้ว

      Hamna haja, gari yenyewe inatosha kuwa kitambulisho bila namba.

  • @kaburaakbar4838
    @kaburaakbar4838 3 ปีที่แล้ว +7

    Simbaaa baba lao

  • @mejamiela1605
    @mejamiela1605 3 ปีที่แล้ว +5

    Aisee sasa sisi maskin dunian shida na mbingu tunsikosa Mungu akulinde sima

  • @vero57
    @vero57 3 ปีที่แล้ว

    Enjoy mondi, pesa yako mweyewe, why not, hongera sana, 🚘💎🎊💪👍👏👏👏👏

  • @christengeneza7975
    @christengeneza7975 3 ปีที่แล้ว +4

    Aisee bongo raha sana BET imekufa wala waandishi hawakumbuki kuhoji kilichotokea uko wamepumbazwa na magari sasa zimekua mbio za mwenge aisee mondi ana akili sana jambo la maana la kuwafundisha wasanii wenzie anagalau kutamka chochote hakuna badala yake katoa magari msafala na show off kwa watanzania na wasanii makapuku, but hongera ila nothing else zaidi ya ulimbukeni

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 3 ปีที่แล้ว +4

    Excellent 100%✓

  • @abelymembe2334
    @abelymembe2334 3 ปีที่แล้ว +7

    Jamani huyu mtoto haweze kani

  • @alesnema9596
    @alesnema9596 3 ปีที่แล้ว +6

    Nimependa iyo Kwa kweli luu

  • @mgallason...5686
    @mgallason...5686 3 ปีที่แล้ว

    Hili ni tatizo kubwa sana, sasa sijui ni ulimbukeni, Ushamba au jeuri?

  • @fababindawood8363
    @fababindawood8363 3 ปีที่แล้ว

    Hakuna ki2 kizur katika maisha yako ukawa na ndoto kubwa sana na ukakakamilisha ndoto yako kwakweli vijana tufanye kanye kaz kila k2 kinawezekana hongera sana Diamond wabongo tupunguze chuki diamond amewazid xana tena xana

  • @shomikhamis1931
    @shomikhamis1931 3 ปีที่แล้ว +6

    Da! mwamba anajeuri Kwa kweli

  • @mbigokabwere5251
    @mbigokabwere5251 3 ปีที่แล้ว

    Nakubali boss wetu diamond sasa wanafiki waongee sasa kina Hbaba na mwijaku

  • @saidsuleiman7690
    @saidsuleiman7690 3 ปีที่แล้ว +5

    Nasibu unaidhulumu nafsi yako unajifaharisha kwa pesa dhambi mziki mrejee muumba wako kuna kurejea kwa Allah ipo siku

    • @johnmagambo9231
      @johnmagambo9231 3 ปีที่แล้ว

      Mkundu wako,ww ulierejea kwa mungu unanini acha roho ya wivu mwishowe utakua mchawi

  • @phillipmatola6964
    @phillipmatola6964 3 ปีที่แล้ว +1

    Barabara zenyewe ziko wapi za kuendeshea hayo magari

  • @gynae8407
    @gynae8407 3 ปีที่แล้ว

    Bingo mnatisha kwa kazi nzuri

  • @bigbossmanbossman6946
    @bigbossmanbossman6946 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow! The guy has money

  • @mbarakamlawa7249
    @mbarakamlawa7249 3 ปีที่แล้ว +6

    Mtangazi muongo kwa mfano kataja “location ya masaki” while sio thn akasema “Diamond yupo ndani ya Escalade” while yupo ndani ya rolls royce. Lastly aifanyie kazi pronunciation yke

    • @nyangigelucas3050
      @nyangigelucas3050 3 ปีที่แล้ว +1

      Shida iko wp au wivu tu c ushaelewa yupo kweny rolls msenge nn

    • @ashellyshadrack8897
      @ashellyshadrack8897 3 ปีที่แล้ว

      Wivuuu tuu

    • @venturejackson6357
      @venturejackson6357 3 ปีที่แล้ว +2

      Ulimi hauna mfupa ndo mana hata ww umetuandkia pronunciation axa cjui ndo kirundi .🤣🤣🤣

  • @stiviemshuza446
    @stiviemshuza446 3 ปีที่แล้ว +2

    Yani uje nakigar chako ugonge hiyo RR tunakiuza kwanza ili tupate hela yakufungulia jalada

  • @mishiabdullahsalma7872
    @mishiabdullahsalma7872 3 ปีที่แล้ว +1

    Simbaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥

  • @kotboylikoti6737
    @kotboylikoti6737 3 ปีที่แล้ว +9

    Hiyo ndo kz kijana

  • @timelessdaddy.2542
    @timelessdaddy.2542 3 ปีที่แล้ว +12

    Watanyooka tu

  • @carrenjaber3519
    @carrenjaber3519 3 ปีที่แล้ว +2

    This show off is on another level nkt

  • @TibaTito
    @TibaTito 7 หลายเดือนก่อน

    Baraza litengeneze bendera yao wampatie mond kokote anakoenda aweke kwa gar yake! Kaufanya mziki uende mbali sanaaaaa! He is talented man

  • @emmanueldaud8371
    @emmanueldaud8371 3 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja simba never give up

  • @magdalenaisrael3432
    @magdalenaisrael3432 3 ปีที่แล้ว +1

    Msasani imekua masaki?

  • @zakiasirya4077
    @zakiasirya4077 3 ปีที่แล้ว +10

    Minshar hasidin idha hasad

  • @bobchanda2460
    @bobchanda2460 3 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂 Sasa anaenda wapi na magari yake

  • @khadijamsinzi4959
    @khadijamsinzi4959 3 ปีที่แล้ว +1

    Minalia kwafuraha jmn 😂😂😍😍

  • @nancykwendo1041
    @nancykwendo1041 3 ปีที่แล้ว +3

    Naomba tu mchango wa wheelbarrow ya kubeba maji , kichwa kime Choka kubeba na Nina toa mbali maji yenyewe

  • @wahidasalim5070
    @wahidasalim5070 3 ปีที่แล้ว +2

    Alikuwa aende kwa mwijakuu😂😂😂😂😂

    • @stevenngakonda6483
      @stevenngakonda6483 3 ปีที่แล้ว

      Hayo yote ni maisha na yatapita mungu ibarik tanzania na watu wake amina

  • @IddyAbdul-gw2ju
    @IddyAbdul-gw2ju ปีที่แล้ว

    Simbaaaaaaaa💥💥💥

  • @amanikillo640
    @amanikillo640 3 ปีที่แล้ว +1

    #mwijaku hapo veepe? Mbona hutembei uchi?

  • @mnyampaa_kisasa
    @mnyampaa_kisasa 3 ปีที่แล้ว

    Tufanye sana kaz wanetu wasifany kazi ya kukimbiza roll royce ya boss isichubuliwe na bodaboda

  • @dan_platnumz8790
    @dan_platnumz8790 3 ปีที่แล้ว +1

    Mkali wao, Simba 🦁

  • @jamesmasero5642
    @jamesmasero5642 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku sema Sasa Domo kubwa H.MANYAU SEMA NA WEWE FARA ACHA SIMBA AITWE SIMBA

  • @ashuuyusuf3978
    @ashuuyusuf3978 3 ปีที่แล้ว

    Big up mond...mwiteni mwijaku jamen 😁

  • @jeniferlaswai8873
    @jeniferlaswai8873 3 ปีที่แล้ว

    Unazid kunipa nguvu ya kufanya Kaz usiku na mchana. Majungu pemben sasa

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 ปีที่แล้ว +12

    Msafara wa rais ee?????😳😳😳

  • @henryhassan597
    @henryhassan597 3 ปีที่แล้ว

    Brother big up

  • @eugenetai2764
    @eugenetai2764 3 ปีที่แล้ว

    Were will diamond drive the car with all this motorcycle and tuktuk......😁😁😁😁😁 it's just sucks to drive with all this unlience drivers

  • @chifuthedoni8889
    @chifuthedoni8889 2 ปีที่แล้ว

    Magari ya watu hayo ya kukodi kwenye shoruumu! Hakuna mtu anaeweza kutembea na gari mwezi hata mmoja bila usajiri! Na hio sio tanzania tu, ni duniani kote, Hizo gari diamondi huwa anazikodi shoruumu na kuomba kibali cha muda polisi ili azugie! Nadhani wengi mnatembea sana tu na mnaelewa, Hizo gari kama ni za kwake ni mwaka sasa! Mwambie aonyeshe pleti namba!

  • @tayt4086
    @tayt4086 3 ปีที่แล้ว +6

    Kwel simba gar ata nmba hazina na unatembea road

  • @nancymohamedy7672
    @nancymohamedy7672 3 ปีที่แล้ว

    Kula maisha mwanangu umehangaika sana nani asie jua watu wamekutukana sana kiukweli NAKUPENDA TUU SIJALI MATUSI YAO WANAFKI

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 3 ปีที่แล้ว

    Simbaaa hatareee Sana 🔥🔥🔥🔥

  • @ameedamilja7992
    @ameedamilja7992 3 ปีที่แล้ว

    Ushamba Mwingine Ni hatari sana. Mambo ya kukulia Mbagala hata mtu azeeke au awe na pesa still Ushamba hautoki.

  • @nancymohamedy7672
    @nancymohamedy7672 3 ปีที่แล้ว

    Alafu daimond akili yake ninavyo ifahamu mimi kwa upeo wangu Akijua unakelekwa Basi jua ndio atakukela zaidi hahaaaa sio mtu mzuri uyu namkubali sana MATUKIO YAKE

  • @lucasmsangalawe4254
    @lucasmsangalawe4254 3 ปีที่แล้ว +1

    This is SIMBAAA brother

  • @teddy7620
    @teddy7620 3 ปีที่แล้ว +1

    Respect to this guy

  • @jumaibrahim9773
    @jumaibrahim9773 3 ปีที่แล้ว +2

    Mnyama mnyama kweli achana na wapika majugu

  • @jogechi2105
    @jogechi2105 3 ปีที่แล้ว +3

    Why did he order a right hand drive yet Tanzania is left hand drive?

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 3 ปีที่แล้ว +1

      Wanasema hamna ya upande wa kulia sijui mpaka uifanyie customization.
      Afu gharama ina kuwa over the roof
      Sina uhakika though

    • @jogechi2105
      @jogechi2105 3 ปีที่แล้ว

      @@lexq-sm6lq Maybe huo ndo ukweli

    • @shackyllsavallah5364
      @shackyllsavallah5364 3 ปีที่แล้ว +1

      Have ever been in Tanzania

    • @jogechi2105
      @jogechi2105 3 ปีที่แล้ว

      @@shackyllsavallah5364 yes

    • @shackyllsavallah5364
      @shackyllsavallah5364 3 ปีที่แล้ว

      @@jogechi2105 why say there steering is on the left

  • @zachariakonyanza2259
    @zachariakonyanza2259 3 ปีที่แล้ว +1

    Arisistoteeeeeeee mamnyenyoooo 1k likes

  • @erickstevenericksteven6371
    @erickstevenericksteven6371 3 ปีที่แล้ว +6

    Mwamba bishoo kinyama namkubali saaana

  • @kensuccii
    @kensuccii 3 ปีที่แล้ว

    Mi naona tu magari matatu ya maana 1. RR 2. Cadillac Escalade 3. Cadillac Escalade hayo magari mengine ni nyumba ya mbwa tu🤣🤣 kula jasho lako Diamond una haki

  • @graceamadi2141
    @graceamadi2141 3 ปีที่แล้ว

    Thank God for the blessings, but remember God says what you have in the right hand never let the left hand know.

    • @jumbeink3173
      @jumbeink3173 3 ปีที่แล้ว +1

      Watajuaje?

    • @raphaelbravo8432
      @raphaelbravo8432 2 ปีที่แล้ว

      But these are luxurious and visible property that you can't hide.

  • @MwanaashaRSaid
    @MwanaashaRSaid 3 ปีที่แล้ว

    Hongera but sikuona haja yakufanya hivyo my bro mana hayo mambo wenzio wanafanya sana ulaya ila hawatembez barabaran hii hali inakuja kuku cost kwenye vitu vya maana mfano tunzo kuna baadhi tu ya watanzania waliacha kupiga au kukuchagua wakiamin ukishinda utaleta shida kubwa mtaani ,,,ni mpambanaj but badil huu mfumo my brother🔥

  • @pilatoonlinetv9660
    @pilatoonlinetv9660 3 ปีที่แล้ว

    Kwani siku hizi anauza magari?