ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
MashaAllah kulia Kwa ajili ya hofu ya Allah (s w) nijambo kubwa sana Allah atupe hofu kubwa na maneno yake
Allah tujaalie chembe yaiman kwahuruma yke
SubhanAllah ni kweli dhulma imeenea dunia hii
Allah atujaze iiman. Waislam wote tufate haki kwauwezowake yaraaby🤲
Sheria ya Allah ikifuatwa dunia nzima ita nyooka wallahi haswa kwa wazinifu kusingekuwa na ukimwi kamwe
Subhanallah
Mashallah nafsi kwa nafsi
Kila muumini anahamu na shauku ya sheria za Allah zitumike
Hakika
kaka mm nataman tupewe amri ya kitali tu waone jinsi waimin wakweli walivyokuw na nguvu kushinda dola zote za dunia masahaba walinufaika na amri ya kitali
@@khamisswalehe amri tayar ipo sasa ni sisi wenyewe tu ndio bado hatujawa tayar
Kwieli kabisa bora sheria za Allah zitumike
ALLAH ATUNUSURU NAQTUPW TAUBAN NAAUHA NA MWIAHO MWEMA
Aaaamina ya Rabbyinasikitisha
Tunamkosea sana Allah wallah turudi kwa Allah ndugu zangu ili tupate manusura 😢
Waume kam hawa wamepotea wenye iman mungu n8jalie mme mwenye khofu kam huyu yarabiiy hata akiw na wake 3 niko radhi
Assalam aleykum, waallahi nina khofu ya Allah hebu nitafute tuongee
Huyo kaka yupo single ww tu nitafute km upo serious
Zanzibar moja hio, Innalillah wainna ilayh rajiuun
Bismillah 😭
Kwakweli tunahuzunika wakina mama kwa dhulma ya wtt wetu.. Alla atujalie mwisho mwema
Aamina
Allah atunusuru na atupe khatma njema.
ALLAHUMMA AMEEN WA JAZAKALLAHU KHAIRAN.
Amin yarabbih
Mama mrezi wa tz ujumbe ufanyie kz
Ata mm nimezulumiwa
Kweli kabisa
Mungu ataletaa heri yakea
ingetumika hukmu ya Allah basi aya matendo yasingeendelea
Hakika kaka😢
Kiukweli mauwaji ime inea kila fasi 😭😭😭
Sahihi yani ukiyaangalia mambo lazima utowe machozi watu kama wanyama
Kabsa wallah ni mtihan
Yani nnapomskiliza huyu sheikh ata mimi mwili wangu unasisimka.
wazungu wametuletea eti haki za binadamu hukumu ya kifo imekua kifungo cha maisha dhulma haitoisha
Hata mimi naungamkono tunaiomba tu serikali lipitishwe mauaji huenda yataisha
Mungu anasema alieua mtu nayeye auwawe nafai uwezikuilipa
Kwakweli kishiki anasema maneno yaukweli ndomaana shehe akalia
Nikweli sii TZ TUY INJE YA NCHI UARABUN SAUDIA HUKO AMEPAFIKIRIA VIBAYA MNO
Naomba kujua ofisi yake ilipo ndugu zangu au mwenye namba zake
Nani uyo?
@@samirhumud7408 shekhe kishk
Kaka upo sahihi hata alie kata mwenzie mikono nae akatwe naona yangeisha yote hayo
Shekh pia tunaomba tufanye madua wezetu plestina wankufa km wadudu dua jaman inauma jaman
Mmh, 😅😅 Lilia nchi Yako achana na hao wengine 😊
Watu wanataka khilafah....

Aaaamina ya Rabby
inasikitisha