Sauti za UWAPE| Kipindi cha Mashairi| Redio Jamii Mkoani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @malengawapemba2963
    @malengawapemba2963 ปีที่แล้ว +2

    Sauti za UWAPE ni mwanana hakika munatukonga nyoyo zetu hakika munatufurahisha hakika -- kazi zipo juu Mungu awape nguvu watunzi waghani na wanaredio jamii hususan Khatibu Juma Nahdoa na Mkei P na Msegeju ...🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @ARAFAMZEE
    @ARAFAMZEE ปีที่แล้ว +1

    Mlezi shukran watunzi afwa Redio Jamiii nawapa HEKO UWAPE kama UWAPE naunga mkono juhudi ziendelee - Big up waghani kwa kuyaweka hai mashairi

  • @saidmauly
    @saidmauly ปีที่แล้ว +2

    UWAPE kama UWAPE asante sana Bwana Khatibu Juma Nahoda kipindi kipo mwanana nasikitika kwanini hatukipati live huko Chake Chake na Wetu wadau fanyeni mambo

  • @UssiUssi-j3d
    @UssiUssi-j3d ปีที่แล้ว +1

    Vitu vya pwani jamani asanteni sana kwa kutupa vitu hivi hiki kipindi hakisikiki makunduchi

  • @mohamedsaid3313
    @mohamedsaid3313 ปีที่แล้ว +4

    Hahhaa Kamzore jamani hapana wapo wengi Alkhaqeer acha maneno yako hayo.. Kwa kweli UWAPE ahsanteni sana Mungu atawalipa kwa burudani zenu mambo ni bambam!

  • @massoudhamad-l8h
    @massoudhamad-l8h ปีที่แล้ว

    Mashallah uwape tuongezeeeni mashairi tunarudia haya haya

  • @arafaamour7952
    @arafaamour7952 ปีที่แล้ว

    Mambo yamekua mziri, sasa kipindi tukikikosa radioni tunakipata mtandaoni. Ahsanteni sana waandaaji.

  • @alkhaqeer
    @alkhaqeer ปีที่แล้ว

    Kipindi kizuri, tungo mwanana, sauti nyororo waendeshaji mahiri na redio bomba

  • @user-ie8ld3bw5m
    @user-ie8ld3bw5m ปีที่แล้ว

    Mashallah uwape mupo vizuri😊

  • @salehealhami9511
    @salehealhami9511 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah 😊

  • @arafaamour7952
    @arafaamour7952 ปีที่แล้ว

    MashaAllah MashaAllah, sauti vinanda, maudhui MashaAllah, 😘 watangazaji moto, na kipindi kimetulia. Hongereni sana , waandaaji wa kipindi. Munaupiga mwingi, chukueni mauwa yenu.

  • @ashamahmoud8599
    @ashamahmoud8599 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kipindi k8zuri

  • @burudanizamashairi1328
    @burudanizamashairi1328 ปีที่แล้ว +2

    Alkhaqeer acha maneno yako hayo 😃😃😃😃 wametajwa wengi hapo umeniona mimi tu Kamzore sebu tajwa jamani

    • @alkhaqeer
      @alkhaqeer ปีที่แล้ว

      Ila wewe ndo mlengwa haswaaa

  • @HajraMohamed
    @HajraMohamed ปีที่แล้ว +1

    Wallahi natamani na mimi niwe naweza kughani lakini sauti langu hahaha zegeee hahahahah 😝😝😝😝😝 Hongereni watunzi waghani na waendesha kipindi - wazo kipindi kisike kote tupate na sisi kuchangia kwa sms simu ama barua 🤣🤣🤣🤣 na Kidani Kamzore kipeleke haraka sana please.. utauwa

  • @umojawashairiwapemba
    @umojawashairiwapemba ปีที่แล้ว

    Sisi kama UWAPE tunapeleka shukurani kwa REDIO jamii kwa kwa waendesha kipindi watunzi wenzetu wanajumiya washabiki na wadau wote kwa namna moja ama nyengine tunaowamba muzidi kutupa nguvu ya kufanya hizi kazi ifikie siku moja tunakuwa na vitu vya kujivunia vya UWAPE - kwa kweli hii platfom ni ya mfano kabisa na iendelezwe

  • @alyhamad852
    @alyhamad852 ปีที่แล้ว

    Kidani hahaha umeuwa kidani Nahoda nakukubali sana mtu mmoja na nusu -- UWAPE congole congole zenu mupo juu maghani naupenda sana huu uchambuzi unapata angalau kuelewa maudhui na kujiongeza zaidi kwa hakika hapo tungo zipo zinapaa sana asanteni wana uwape

  • @alkhaqeer
    @alkhaqeer ปีที่แล้ว +1

    Kamzore apeleke kidani cha watu

    • @burudanizamashairi1328
      @burudanizamashairi1328 ปีที่แล้ว +1

      aah wapi sio rahisi

    • @alkhaqeer
      @alkhaqeer ปีที่แล้ว

      @@burudanizamashairi1328
      Ifanye iwe rahisi miaka 30 sio mchezo nkongwe

  • @RayyanMohamed-df7bl
    @RayyanMohamed-df7bl ปีที่แล้ว +1

    Kuna kitu naikona hapa Redio Jamii kiwekeni sawa Gender Balance - tusikie na sauti za kiume pia itapendeza sana pamoja na yote haya nawapongeza sana Bi Arafa Bi Salma Bi Fatma na Bi Saade --- kwa kweli mupo juu sana mupo juu jamani I wish na mimi niweze kughani lakini naweza hhahahahahaha

    • @alkhaqeer
      @alkhaqeer ปีที่แล้ว

      Hili wazo ni zuri sana, jitahidini mlifanyie kazi, tunataka ladha za upande wa pili

    • @arafaamour7952
      @arafaamour7952 ปีที่แล้ว

      Umesema kweli kaka.