Matokeo ya Aliyeita Jini Sal Sal

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 69

  • @Asiamohammed1317
    @Asiamohammed1317 5 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani hapo nazimia nakuja kuamkia kwako maalimu barikiwe sana naelewa nami nitakuwa jasiri hivo siku moja❤

  • @sjkilua9168
    @sjkilua9168 5 หลายเดือนก่อน +1

    Naam insha Allah Allah Akujaalie kher nyingi mwalimu na Akuhifadhi kwa utukufu wake mola wa utukufu na ukarim wee mwalimu na wake wenye kufuta hekima hii

  • @doctamachaku8372
    @doctamachaku8372 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana kaka jipange kwa wakati mwingine in shaa Allah Mungu atafanya wepesi

  • @MagrethMrutu
    @MagrethMrutu 5 หลายเดือนก่อน +1

    Waoo hongera sanaa 🎉

  • @RazakiYusuph
    @RazakiYusuph 5 หลายเดือนก่อน +1

    Shukrani sana Mwalimu,, Je uliulizwa swali Kama Hilo utapatia nini unapaswa ujibu vipi Mwalimu @rakimsspitira

  • @SangaliPower
    @SangaliPower 5 หลายเดือนก่อน +3

    Rakims spiritual hii ni zaidi ya channel elimu zinazotoka hapa huwezi zipata skuli yoyote ile nchini be bliessed Sir

  • @mariamuharubu6577
    @mariamuharubu6577 3 หลายเดือนก่อน

    Ungeli mujibu hivi nitakuombea Kwa m/Mungu akugufurie mazambi yako

  • @saidfadhil399
    @saidfadhil399 5 หลายเดือนก่อน +2

    Thanks mwalim

  • @ibrahjokes5055
    @ibrahjokes5055 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mm naomba kuuliza ukihitaji akuponye ugonjwa ulionao Kwa muda mrefu atafanya maana naitahij uponyaji tu niwe mzima rizki Mwenyezi Mungu atanipatia katika shughul nazofanya naomba kujua pia jibu gan twapaswa kumrejeshea akihitaji cha kufanyiwa ila mm ningemwambia sitaacha kukuombea Dua Kwa mwenyezi Mungu

  • @saidfadhil399
    @saidfadhil399 5 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran ❤

  • @EllyCantonaCantona
    @EllyCantonaCantona 5 หลายเดือนก่อน

    Hongela kaka unatutia moyo nasisi tuliofanya tukaferi

  • @TedyMeni-yv9cw
    @TedyMeni-yv9cw 5 หลายเดือนก่อน +3

    Jibu la swali, unaweza kumjibu kwamba nakuruhusu utumie aura yangu. au nitakupa pakiti za tende and so on

    • @Nailaty564
      @Nailaty564 5 หลายเดือนก่อน

      @@TedyMeni-yv9cw aura ni nini na hizo pakti za tende unampeje

    • @TedyMeni-yv9cw
      @TedyMeni-yv9cw 5 หลายเดือนก่อน

      @@Nailaty564 aura ni nishati ya nafsi yako inayo kuzunguka muda wote ikielezea haiba yako na hisia uniyonayo katika wakati husika.

    • @Nailaty564
      @Nailaty564 5 หลายเดือนก่อน

      @@TedyMeni-yv9cw nimekuelewa shukraan

    • @TedyMeni-yv9cw
      @TedyMeni-yv9cw 5 หลายเดือนก่อน

      @@Nailaty564 ok

    • @TheDeeHerself
      @TheDeeHerself 5 หลายเดือนก่อน

      Lakini tuliambiwa sio vizuri kumpa aura yako.. maana ile ni nuru yako, so angalia kingine

  • @lydiamoraa_ke
    @lydiamoraa_ke 5 หลายเดือนก่อน

    Ansanteni Mwalimu kwa somo la hekima....

  • @SongaFataki-iu7gy
    @SongaFataki-iu7gy 5 หลายเดือนก่อน

    ONGERA KAKA NI MR DELAN HAPA MWENYEZI MUNGU AENDELEE KUMPA MAHARIFA MWALIMU RAKIM

  • @DulaSila
    @DulaSila 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera kaka ukipata mali usitusahau

  • @SULTANIDUATV
    @SULTANIDUATV 5 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana

  • @MetodMakungu
    @MetodMakungu 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mkuu

  • @Asiamohammed1317
    @Asiamohammed1317 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa ushuhuda kaka umetutia moyo na pesa ukiletewa tushare pia😂

  • @user-hn3cx2db1n
    @user-hn3cx2db1n 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani yeye si kasema. Akikwambia. Utanipa nini. Umwambie. Sina. Cha. Kukulipa ila nitakuombea kwa Allah akute pepo yake na rehma zake

  • @AbdulllMuhammad
    @AbdulllMuhammad 5 หลายเดือนก่อน +1

    Good

  • @PatrickMusakajeje
    @PatrickMusakajeje 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @Asiyedjali
    @Asiyedjali 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana

  • @HamisiKachongo
    @HamisiKachongo 5 หลายเดือนก่อน +1

    🥇🥇🥇🥇🙏

  • @FatmaAhmed-xu5ho
    @FatmaAhmed-xu5ho 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mwalimu tukijibu hivi tutakuwa tunakosea : Mimi nitakuombea Kwa mungu akuhufirie na akufanyie wepesi katika mambo yangu : , mwalimu tunakuwa tunakosea..,

    • @ibrahimnyapi4208
      @ibrahimnyapi4208 5 หลายเดือนก่อน +1

      Na akufanyie wepesi katika Mambo yako

    • @TheDeeHerself
      @TheDeeHerself 5 หลายเดือนก่อน

      Yeye anakupa kitu na wewe mpe.. siyo kumuombea jamani

    • @FatmaAhmed-xu5ho
      @FatmaAhmed-xu5ho 5 หลายเดือนก่อน

      @@TheDeeHerself sawa ila hakuna kitu tunaweza kumfnyia hiki kiumbe sababu Kila kitu anacho Hana shidaa neno kukwambia utanifanyia Nini Kwao nikama kuona shukrani Yako ikoje...,

  • @HelenKemunto
    @HelenKemunto 5 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu salsal anapeana pesa hapohapo au unangoja

  • @TigerGabrielsaint
    @TigerGabrielsaint 4 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu tupo youtube tuagaliya majibu 🙏🙏🙏

  • @TheDeeHerself
    @TheDeeHerself 5 หลายเดือนก่อน +2

    Wow! Nimefurahi kama ndo mimi jamani,, nimependa zaidi ulivyosema akupe pesa 😊

    • @MbarukuMasokola
      @MbarukuMasokola 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @Nailaty564
      @Nailaty564 5 หลายเดือนก่อน

      Kimbembe hapo kwenye swali utanifanyia nini😂😂

    • @TheDeeHerself
      @TheDeeHerself 5 หลายเดือนก่อน

      @@Nailaty564 ntamwambia ntampa kuku

  • @hansramadhan8945
    @hansramadhan8945 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kaka unanipa nguvu na mimi kuendelea kufanya hivyooo,
    Ila hapo sasa kwenye hilo swali la ndugu yetu ,tunawezaje kujibu?!

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kimbembe swali hilo

  • @AdanGimbe
    @AdanGimbe 5 หลายเดือนก่อน

    ✊🏾✊🏽✊🏾

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu tuambie tukiulizwa swali hili tujibu vipi

  • @ashakhamis9093
    @ashakhamis9093 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn nigaiye na mm

  • @Tanturk_tz
    @Tanturk_tz 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuungwa kwenye group

  • @muksiniabdul7155
    @muksiniabdul7155 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mie naamin nikwely unaweza kumuita akaja sema hapo Kwenye kutaka kitu ndio pazito

  • @mohamedimuyugi6249
    @mohamedimuyugi6249 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu akikuuliza utanipa nn sasa hapo nina mjibu nn. Naomba jibu

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 5 หลายเดือนก่อน +3

    Maelezo yanasisimua mungu anipe ujasiri nisije nikakimbia😂😂

    • @nurudiniddy1512
      @nurudiniddy1512 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @DjemsiMeryEstery
    @DjemsiMeryEstery 5 หลายเดือนก่อน

    Jambo salamu langue liwafikie nyinyi nyote

  • @Abdoulmugisha-b1l
    @Abdoulmugisha-b1l 5 หลายเดือนก่อน

    Sante mwarimu kwamafunzo yako

  • @ChristinaMollel-s9p
    @ChristinaMollel-s9p 19 วันที่ผ่านมา

    Nilimuita niliumwa kichwa siku tatu adi nikaenda kusomewa ila sijui km alikuja

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  19 วันที่ผ่านมา

      Akija huja live, ukiwa uliexperience hili jambo basi ni mtu ambaye una kiumbe cha tofauti na hiki

    • @ChristinaMollel-s9p
      @ChristinaMollel-s9p 19 วันที่ผ่านมา

      @rakimsspiritual sasa nikifanya tena kichwa kikiuma nifanye nini

  • @Cutterose
    @Cutterose 5 หลายเดือนก่อน

    Kila nikijalibu kupiga cm namba yako siipati naomba namba ambayo Iko hewani shekhe wangu

  • @muhammadyusuph-i8e
    @muhammadyusuph-i8e 5 หลายเดือนก่อน

    Amna jini ambaye atakupa mali pasnaa ya kumpa chochoteee lazmaa kafaraa utowee ima mnyamaa hao viumbee nihataar

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  5 หลายเดือนก่อน

      Wewe ulishakutana nao mkaongea wakakwambia hivyo?

    • @TheDeeHerself
      @TheDeeHerself 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@rakimsspiritual 😂😂😂

  • @mohamedimuyugi6249
    @mohamedimuyugi6249 5 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu mm nata nijiunge na group nime faatilia masomo yako toka mwaka jana kwa makini sana.
    Sasa naomba nijifunze zaidi ili nipate elimu ya viumbe na maarifa zaidi

  • @AlikBalosa
    @AlikBalosa 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba plz bro

  • @IddiKhatibu
    @IddiKhatibu 5 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu mimi nimetafuta majani ya mtende nimekosa nitumie nini mbadala wa majani ya mtende

    • @rakimsspiritual
      @rakimsspiritual  5 หลายเดือนก่อน

      Angalia mahitaji tofauti na hayo kwenye video ya pili.

  • @ramadhanikivunde615
    @ramadhanikivunde615 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalim swali kama ilo tunajibu nini

    • @AbdulllMuhammad
      @AbdulllMuhammad 5 หลายเดือนก่อน

      Tupe majibu mwalimu

    • @nshimirimanahussein
      @nshimirimanahussein 20 วันที่ผ่านมา

      Jibu tu sina chakukupa lakini ALLAH atakulipa,maradufu kwalili utakalo nipa kwa uwezo wake kwakuwa yeye ndo mwenye uwezo wamalipo kwetu....majini huwa wanaheshimu sana neno la ALLAH zaidi kuliko tunavyo fikiri sisi