MAKAMUA - Tulitoswa East Coast Team | Bifu Likaanza | Tukaanzisha Kundi Letu - Part 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Mkali kutoka Wakali Kwanza Analezea mwanzo kabisa wa kundi lao na jinsi walivyotaka kujiunga na East Coast Team wakati ule ya kina AY, GK, na FA. Amesimulia mengi humu pamoja na kutuimbia vibao vyake pendwa - Usikose hii
    #makamua #wakalikwanza #bongoproject #bongofleva #eastcoastteam
    Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
    --------------------
    WEBSITE
    --------------------
    bongoproject.org/
    --------------------
    SOCIAL MEDIA
    --------------------
    Instagram: / bongo_project
    Facebook: / bongo-project-10256641...
    TikTok: / bongoproject
    --------------------
    CONTACT
    --------------------
    Email: info@bongoproject.org

ความคิดเห็น • 2

  • @gudaguda2170
    @gudaguda2170 3 หลายเดือนก่อน +1

    Old is gold. Ninapenda kuona mnafanya mahojiano na ma Legend. Mnafanya kama jamaa kule Marekani N.O.R.E. & DJ EFN kwenye kipindi cha Drink Champs

    • @bongo_project
      @bongo_project  3 หลายเดือนก่อน

      Shukrani sana. Tutakicheki hiko kipindi