Hizi hapa Simu 5 bora zenye bei chini ya Laki 3!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • Wengi wetu tunapenda simu nzuri lakini kutokana na aina ya soko simu moja unaweza kuipata kwa bei mbali mbali hazina bei moja maalumu… Hivyo watu wengi hapa huumizwa kwa kuuziwa simu zisizo na uwezo mkubwa kwa bei ghali sana! Kwasababu tu hawazifahamu.
    Leo nimekuandalia list ya simu nzuri zenye uwezo mkubwa (High-end na Middle high) unazoweza kuzipata kwa bei ya chini kabisa,
    (Tsh 150,000 mpaka 300,000)
    Fuatilia video hii kufahamu simu hizo,sifa zake na bei zake!
    Possible keywords
    • Simu za bei ndogo
    • Simu bora kwa bei nafuu
    . Samsung, iPhone, Tecno, Sonny, infinix, oppo kwa bei ndogo
    #kiswahili #simu #kariakoo #Ai #Yanga #millardayo #iphone #samsung #tecno #infinix

ความคิดเห็น • 24