nyie ndio wale ambao mnakaa kuhukumu tuu kwa vitu very minor mbele za Mbungu... Mungu hajali una suruali au chupi wala kanzu ... ni moyo waake ... hata ukiwa uchi wewe abudu tu.. ila kisiwe kikwazo ...
Kuna changamoto kubwa katika mavazi kwa sisi wadada huyo dada alievaa suruali alipendeza ila haikuwa sehemu ya kuvaa hivyo, maana ni kama bongo fleva kabisa vile, mbona huyo sister mwingine amedress fresh!!
NIPE MSTARI WA BIBLIA UNASEMA HAISTAHILI... MBELE ZA MUNGU UNAOSTAHILI NI MOYO ULIOPONDEKA WALA SIO GAUNI WALA KANZU... Mimi naona suruali aliyo vaaa iko vizuri tu
this is a nice song, i wish Clement to produce and release this song officially. Powerful words there...
yan kiukweli nyimbo hiii huwasichoki kuiskiza paul ubaruikiweee
Unaimba vizuri sana kaka his concerts za nyimbo za dini zinafanyika wapi jamani?mwenyekujua naomba anijuze
Nyimbo nzuri barikiwa paul clemeng
NYIMBO NIMZURI LAKINI .WAPIGA VYOMBO WANA PIGA HARAKA HARAKA SANA ,tunataka utulivu mzur you tuweze kutafakari vizur
Tumtumikie Mfalme Yesu huku tuhakikishe majina yetu yapo kwenye kitabu cha uzima
The Bible says ni chukizo mbele za Mungu kwa mwanamke kuvaa mavazi ya mpasayo mwanaume na mwanaume yampasayo mwanamke...
Ameni UTAKATIFU mbele Za MUNGU
Bwana matendo yako ni kweli
toa album bro...very talented
vocal ni balaa... next level
Love ths song 😍😍😍😍
Biblia inasema tuwe kielelezo.
ikiwa tumeamua kumfuata Yesu tukubali kua kielezo
nyie ndio wale ambao mnakaa kuhukumu tuu kwa vitu very minor mbele za Mbungu... Mungu hajali una suruali au chupi wala kanzu ... ni moyo waake ... hata ukiwa uchi wewe abudu tu.. ila kisiwe kikwazo ...
Jaman huu wimbo naupenda jaman lakin youtube download haupo why
I'm blessed
Nice one be blessed man
nice
May god blessed u a lot and a lot I wish in this year you will not be the same as now you a.....
ameen😍
nice god bles u
daaah My God bless u
thanks Martin
vema sana
Kuna changamoto kubwa katika mavazi kwa sisi wadada huyo dada alievaa suruali alipendeza ila haikuwa sehemu ya kuvaa hivyo, maana ni kama bongo fleva kabisa vile, mbona huyo sister mwingine amedress fresh!!
Hii mada ni pana sanaaa hahahah asante kwa mchango wako God bless You
Surulia sio vazi baya ila sehemu ya kumsifu Mungu aistahili kuvaliwa.
NIPE MSTARI WA BIBLIA UNASEMA HAISTAHILI... MBELE ZA MUNGU UNAOSTAHILI NI MOYO ULIOPONDEKA WALA SIO GAUNI WALA KANZU... Mimi naona suruali aliyo vaaa iko vizuri tu
Suruari ni mbaya according to mtazamo wako
Jfine Isaac exactly