🚨Rasmi Simba yaachana na Fred Michael kubra,Ahmedally Athibitisha,kampisha Ateba.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • #ahmedally #alikamwe #football #simba #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube #simbaislive

ความคิดเห็น • 21

  • @gatsonmatiko8000
    @gatsonmatiko8000 23 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana musemaji wet

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 23 วันที่ผ่านมา +2

    Leo semaji letu umeongea ukweli tupuuu

  • @mwanangusana
    @mwanangusana 23 วันที่ผ่านมา +4

    Kwa usajili wa kutoka jobe , Fred , onana na mukwala.... Yanga wapo vzr habar za GSM, sijui wanatoka bahasha , Mara chama mzee ...... Ni kichaka tu

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 22 วันที่ผ่านมา

    Dundukas akili zao ni dundukas tu --- waliwaacha. Baleke na Moses Phiri wakawaleta Fredy Funga funga na Jobe --- sasa wanawaondoa na kuleta wengine " wasubiri miaka 10 "

  • @SouleHamadimfaoume
    @SouleHamadimfaoume 23 วันที่ผ่านมา

    Wachambuzi hawa changamoto sana wanamchambua kimaono sana kuliko uhalisia wa mchezaji

  • @SaidiWamwibakuli-j1d
    @SaidiWamwibakuli-j1d 23 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa anajua sana kuchambua wachezaji

  • @Juma-vk6kp
    @Juma-vk6kp 23 วันที่ผ่านมา +2

    Simba wako na mihemuko, wanaenda bila plans kwa kuskiza mashabiki bila mpango!

    • @bili-films
      @bili-films 23 วันที่ผ่านมา

      Tulia dgo hujuw kitu

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 23 วันที่ผ่านมา

      sisi wenye mihemko ni WA 7 Africa nzima.. nyie wangapi?? .😂😂😂😂😂😂😂..

    • @yunusimchala6569
      @yunusimchala6569 23 วันที่ผ่านมา

      Tanzania miaka mitatu unashika nafasi ya ngapi? Na utaendelea kushuka kiwango ndani ya miaka mitano. Ijayo​@@ibrahimally8073

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 22 วันที่ผ่านมา

      @@bili-films Kweli hamna plan.

  • @ip_header
    @ip_header 23 วันที่ผ่านมา

    Fungafunga, ameshindwa kufunga 😂😂😂

  • @mgendihdellicy6210
    @mgendihdellicy6210 23 วันที่ผ่านมา

    Dah Fred wang

  • @SouleHamadimfaoume
    @SouleHamadimfaoume 23 วันที่ผ่านมา

    Tumekaa nae mwaka mmoja tumeona uwezo wako hauridhishi lazima ilituladhimu lazima tupate mchezaji mwengine

  • @Abuu-gs1yi
    @Abuu-gs1yi 23 วันที่ผ่านมา

    Kispika ni Comedian

  • @user-fi6hb3lp5y
    @user-fi6hb3lp5y 23 วันที่ผ่านมา

    Hivi nyinyi waandishi hapa Tanzania timu iloacha wachezaji ni Simba tu? au ndio mko katika kuipaka matope Simba ? Hem wacheni uchawa huo kueni wanahabari mnapotoa habari namkienda kwenye uchawa kaeni mbali na taarifa

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 22 วันที่ผ่านมา

      Usinune uwo ndio ukweli ulivyo.
      Uyo Ateba mechi 16,goli 1.
      Fred mechi 8, magoli 7, nani zaidi.

    • @user-fi6hb3lp5y
      @user-fi6hb3lp5y 22 วันที่ผ่านมา

      @@mussammanga7791 haha mwanamme mzima et "usinune" hii si ndo sawa na "wee huogopi" kauli za kishoga shoga tu sawa sinuni shot

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 22 วันที่ผ่านมา

      @@user-fi6hb3lp5y Umekimbia hoja.

  • @fabianbenardngatunga2713
    @fabianbenardngatunga2713 23 วันที่ผ่านมา

    Tutamkumbuka tu

  • @saidingumbo-is2oe
    @saidingumbo-is2oe 23 วันที่ผ่านมา

    Huyu ni pendekezo la drogba na bahari itamwagika na mawigi yatapeperuka na Kuna mungine waaa anaekekea kushindwa ni vijimambo ya komedolian anaevumiliwa pale ukoloni