Ila naomba niwaulize swali Moja umesema kuwa hiyo Bomba ya urner hauiingizi kwenye 4 way kwasababu italeta haruf umeipeleka direct nje Sasa ikatokea nnye hapakuwekwa Gary trap unajuwa asaiv kunachemba za tee y alaf zinaenda Moja kwa moja kwenye shimo itakuwaje hiyo harufu yake? Humo ndani?
Hapo kweny mfumo wa jaccuzi mbona mfumo wa maji safi naomba kueleweshwa hapo je! Wanao weka mfumo wa jaccuzi ile mixer ipo kama tofari ya tatu kutoka chini wanakua sawa?? Au majaccuzi yanapishana?
Safi sana nimependa jins mnavopangilia kazi zenu nyie ndiobnamba moja Tanzania
You guys you are so talented Mungu azidi kuwapa ubunifu nimeangalia kazi zenu mko vizuri sana
Kazi safii kabxaa !!! Mpo vizuri asee
Noma sana kaka
Kazi nzuri ndugu zetu nasisi tunakuja kuwa Kama ninyi
Naomba kuungana na nyinyi na Mimi ni fundi Bomba
Ila naomba niwaulize swali Moja umesema kuwa hiyo Bomba ya urner hauiingizi kwenye 4 way kwasababu italeta haruf umeipeleka direct nje Sasa ikatokea nnye hapakuwekwa Gary trap unajuwa asaiv kunachemba za tee y alaf zinaenda Moja kwa moja kwenye shimo itakuwaje hiyo harufu yake? Humo ndani?
Kazi nzuri
Karibu sana dada agnes
Ujazingatia kuzipangilia izo pwent za maji Safi na yulino
Fafanua mkubwa watu wakuelewe
Hapo kweny mfumo wa jaccuzi mbona mfumo wa maji safi naomba kueleweshwa hapo je! Wanao weka mfumo wa jaccuzi ile mixer ipo kama tofari ya tatu kutoka chini wanakua sawa?? Au majaccuzi yanapishana?
Kazi ni nzur san hongereni kwa hilo!
Jacuzzi zote point ni moja mkuu hizo tofali tatu wanakua wrong
@@africanasplumbing8780 kwaiy Jacuzzi na bathlub ni kitu kimoja au vinatofautiana? Samahan lakin kwa maswal!
@@africanasplumbing8780 Na sijakuelewa tofari tatu wanakuw wrong kiaje kiaje? Au mfumo upo tofauti?
Unatakiwa uwe na vipimo usipende kusema tofali tatu sasa je ukikuta hakuna tofali
Naomba namba ya simu ya ofisi
0752783452 karibu sana dada
Mashaailaah
Karibu boss WhatsApp and call 0752783452
Mnapatikan wap??
Tunapatikana arusha ila tunafikanpopote 🇹🇿 Tanzania 0752783452 what's app and call
Gharama zenu ni kiais gani kwa kazi kama hiyo ya ghorofa moja?
Samahani kwa kuchelewa kukujibu boss naomba 0752783452 tuwasiliane mkuu tuweze kuyajenga naamini tutafikia muafaka mzuri
Hawa jamaa wako Safi aiseee
Nice
Thanks a lot
You are welcome
Kuiongezea ujuzi gharama zipoje boss nipo moshi
Kuniongezea ujuzi gharama zipoje brother
Good job
Karibu sana Elizabeth
Sf xana.. Ila naomba kujiunga na nyie mm pia ni fund