UJENZI KWA TEKNOLOJIA YA HYDRAFORM UNAVYOPUNGUZA GHARAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Ujenzi kwa kutumia matofali ya Hydrafom unapunguza matumizi ya saruji inayotumika kwenye ujenzi wa kuta za nyumba kwa sababu matofali hayo yanashikana yenyewe na kuondoa haja ya kuwepo saruji kati ya tofali na tofali.

ความคิดเห็น • 40

  • @chrispinerespicious1432
    @chrispinerespicious1432 4 หลายเดือนก่อน

    Tofali moja bei gan

  • @sashoright8213
    @sashoright8213 2 ปีที่แล้ว

    Sema kwa ghorofa sio nzuri Sanaa nahs Mana Kama znaleta Creek izo kwnye njia zake sema mwznon zinakua ngumu balaaa

  • @MwombekiJovitus
    @MwombekiJovitus 5 หลายเดือนก่อน

    Iko poa

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 3 ปีที่แล้ว

    Yes hii technology nzuri sana

  • @GeRbAnGUjUnGTiMuR
    @GeRbAnGUjUnGTiMuR 3 ปีที่แล้ว

    Nice 👍 Nice 👍

  • @juasokofa5921
    @juasokofa5921 6 ปีที่แล้ว +1

    Love it how do I buy one I'm ready to move there

  • @abdirahmanismail1191
    @abdirahmanismail1191 4 ปีที่แล้ว +1

    Quality ikoaje? Hamkutaja tofauti

  • @giantelectronics1839
    @giantelectronics1839 4 ปีที่แล้ว

    Habari! Je naweza kuipata wapi hiyo machine?

  • @sashoright8213
    @sashoright8213 2 ปีที่แล้ว

    Mmh sauz nyumba zao ziko ivyo karbu zote kwnye vijiji vyao

  • @dithardmgungile7759
    @dithardmgungile7759 2 ปีที่แล้ว

    Naipataje hiyo mashine

  • @sashoright8213
    @sashoright8213 2 ปีที่แล้ว

    Samahan lkn jaman tujitahidini serikali yetu kwnye mfumo was kuwka nyaya za umeme Mana daah hatar Sanaa mikunguru na Mambo ya nguzo kuanguka no hatar

    • @nazielmakuru9338
      @nazielmakuru9338 2 ปีที่แล้ว +1

      Nahitaji hiyo mashine ya Hydrofoam inauzwa Bei gani?

  • @xaverylibaba5371
    @xaverylibaba5371 4 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo nyumba za chini unatumia tofali ngapi?ni kiasi gani kwa tofali moja? Nyumba hizo zinaweza gharimu kiasi gani?

  • @josephemerusabe9687
    @josephemerusabe9687 4 ปีที่แล้ว +2

    mnapatikana wapi?

  • @dinahnyagosaima1259
    @dinahnyagosaima1259 2 ปีที่แล้ว

    Tunawapataje?

  • @mamababa8270
    @mamababa8270 5 ปีที่แล้ว

    Hizi tofali upatikanaji wake upoje na gharama zake

  • @alexloy5335
    @alexloy5335 3 ปีที่แล้ว

    Mahusa tofali

  • @abdallahyahyasaid9708
    @abdallahyahyasaid9708 6 ปีที่แล้ว +4

    Hayo matofali yanauzwa wapi? cost per block?
    Mimi nipo Dar es salaam

    • @leymansalim162
      @leymansalim162 6 ปีที่แล้ว

      Abdallah Yahya Said nipo nayo na mm nipo na matofali ya size ya kawaida hata ukitaka michine nitakuuzia bt ni michine ya manual si automatic bt pia ukitaka nitakuletea

    • @fathermore9772
      @fathermore9772 6 ปีที่แล้ว

      suleiman salim naweza kupata mawasiliano yako mimi Fadhili nipo Arusha 0746604038

  • @mujetuzimbefenatv9094
    @mujetuzimbefenatv9094 4 ปีที่แล้ว

    Looking for a brick laying machine for clay soil

  • @josephmwanadyogo5311
    @josephmwanadyogo5311 5 ปีที่แล้ว

    Mnapatikana wapi?

  • @selinalukwembe7363
    @selinalukwembe7363 3 ปีที่แล้ว

    Unaitaji kujuwa namba za sm tuweze kununu tofali

  • @bromichaelkairunjuguna8557
    @bromichaelkairunjuguna8557 2 ปีที่แล้ว

    Niko nchini Kenya nawezaje pata hiyo machine na nipesa ngapi?

    • @ShirikalaNyumbalaTaifa
      @ShirikalaNyumbalaTaifa  2 ปีที่แล้ว

      Hizi mashine Shirika lilizinunua kutoka nchini Afrika Kusini kwenye kiwanda cha Hydroform kwa bei ya sasa nadhani unaweza kuwasiliana na kiwanda.

  • @leymansalim162
    @leymansalim162 6 ปีที่แล้ว

    Nipo nayo mm kama wataka sema

    • @mamababa8270
      @mamababa8270 5 ปีที่แล้ว

      Unauzaje kwa tofali moja?

    • @mrwangxingcai6711
      @mrwangxingcai6711 2 ปีที่แล้ว

      Leyman Salim naomba namba yako tafadhali kama bado unafanya hii biashara

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 6 ปีที่แล้ว

    Kama unaitaji vipi nawataka

  • @MrPhinter
    @MrPhinter 4 ปีที่แล้ว

    Please what country is this?

  • @alexloy5335
    @alexloy5335 3 ปีที่แล้ว

    Mahusa tofali jb

  • @sinamohammed6938
    @sinamohammed6938 5 ปีที่แล้ว

    Hizo tofali naona maeneo ya uwongo ndio zinajengwa je hata kwenye kichanga inawezekana

  • @sinamohammed6938
    @sinamohammed6938 5 ปีที่แล้ว

    Sorry udongo

    • @rosemganga9677
      @rosemganga9677 4 ปีที่แล้ว +1

      Sina Mohammed napataje hiyo machine na bei gaming?

  • @MrPhinter
    @MrPhinter 4 ปีที่แล้ว

    Please which country is this?