UMEGEUKAJE KUWA MZABIBU MWITU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 มิ.ย. 2022
- Kila mtu ndani yake kuna ambacho Mungu amekipanda, kitu chema sana, kusudi jema sana. Adui anachofanya ni kumtoa mtu kwenye njia sahihi na kumuhamishia kwenye kusudi ambalo sio lake. Leo hii ni rahisi sana kumkuta ambaye ameumbwa kuwa mpishi(chef) amefungua duka la nguo, lazima atakutana na ugumu kwenye biashara kwa sababu sipo alipoitiwa. Mungu akupe neema ya kujua kusudi lako na kuishi humo.
#PastorSunbella #MzabibuMwitu#Umegeukaje
Kila kigugu kilichopo kwenye maisha yangu ninakiondoa kwa damu ya yesu kristo wanazaleti Alie hai Amen
Amen mtumishi barikiwa sana
Baba ninakulewaga sana naomba niombee na Mimi hayo magugu yaondoke nimefuatilia mahubili yako kwa muda mrefu nakila nikisikiliza unavyo hubili naona kuna nguvu ya kiMungu inaingia ndani yangu ila majaribu ninayopitia ni makubwa naomba uniombee iliniendelee kukua katika imani
Amen
LORD HAVE MERCY ON ME 🙏
Aminaa
Amen🙏 man of God may my dreams come true 🙌🙌🙌in the mighty name of God 🙏I rebuke spirit of confusions against my plans 🙏be blessed 🙌🙌
Amen.Thanks man of God for the Word of God
kila kigugu katika Maisha yngu ninaya clear kwa Jina la Yesu
Mungu ni mkuu sn
Amen pastor
Amina
So powerful and heartfelt, wish lingemalizika.
Amen baba
nakuelewa sana pastor nataman kuokoka
Utakua umefanya uhamuzi wa busara sana auna majuto
Hongera sana karibu Kanisani if upo Dar, upate msaada na ushauri zaidi
NIMETOA SADAKA YANGU MUNGU NAOMBA UNIJIBU MAHITAJI YANGU ...NDOA NA KAZ
Amen
Amen