HAKUNA JAMBO [Official Audio]

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ต.ค. 2024
  • Hii ni nyimbo ambayo inakujenga kiimani na kukutia moyo unapopitia majaribu\wakati mgumu pale ambapo akili yako imefika mwisho
    linakuja neno la faraja kuwa hakuna jambo la kumshinda Mungu.
    1Samweli 1:1-28 inaeleza habari ya mwanamke Hana ambaye hakupata
    mtoto akamlilia Bwana na Bwana akamtokea akaamini hakuna jambo la kumshinda Bwana.
    Danieli 6:16, tunaona daniel alipotupwa kwenye tundu la simba aliamini kuwa MUNGU atamuokoa na wale simba na akaweza kushinda .
    Songwriter & composer: Nathaniel Levo
    Audio: Mobby Production
    CONNECT WITH US:
    Instagram: Ebenezer choir fpct airport Dsm
    Facebook: Ebenezer choir fpct airport Dsm
    Tiktok: Ebenezer choir fpct airport Dsm
    contact us:
    whatsapp: +255 745 793 004
    Email:ebenezerchoirfpct@gmail.com

ความคิดเห็น • 5