Kurasini SDA Choir - ELOI (Official Music Video 2023)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 288

  • @margretmoraa7747
    @margretmoraa7747 ปีที่แล้ว

    Kurasini SDA choir tajika afrika mashariki na kati.. mbarikiwe na Mungu aliyeziumba mbingu na nchi

  • @faithtelevision202
    @faithtelevision202 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe sana, fanyeni kazi yake hata ajapo, *nyuma kamwe*

  • @annasadiki-kf6st
    @annasadiki-kf6st ปีที่แล้ว +1

    Asante Mungu kuruhisu wimbo Eloi urudi tena kuwabariki watu.kurasini songa mbele vita niya Bwana

  • @emanueljoseph3887
    @emanueljoseph3887 ปีที่แล้ว +4

    Nimejihc kama niko mbinguni ,eeh Mungu wangu ,nishike mkono nifike .

  • @titusmunjalu593
    @titusmunjalu593 ปีที่แล้ว +1

    Namshukuru Mungu kwa wana Kurasini.Atukuzwe Mungu kwa kazi muifanyayo.Asante

  • @ayubumtwena
    @ayubumtwena ปีที่แล้ว +2

    Mbarikiwe wapendwa

  • @modesterjoseph9504
    @modesterjoseph9504 ปีที่แล้ว +2

    Mnaimba vizuri sana, nimebarikiwa kupitia uimbaji wenu

  • @simonmchilo1032
    @simonmchilo1032 ปีที่แล้ว +2

    Amina

  • @purityruwa6554
    @purityruwa6554 ปีที่แล้ว +2

    Sura ngeni ngeni hongereni watu wa Mungu keep on going. Be strong and move on, Ninyi ni Kurasini wateuwa wa Mungu endeleeni kulitangaza neno kupitia uimbaji munabariki na endeleeni kutumika katika yeye aliyewaita. I'm blessed and be blessed

  • @brianokeyo1024
    @brianokeyo1024 ปีที่แล้ว +2

    Amina mbarikiwe Sana

  • @georgegabriel9180
    @georgegabriel9180 ปีที่แล้ว +2

    Jamani nyie kurasini kwaya mi mapigo ya moyo yanaenda mbio,nimesikikiza huu wimbo mara zaidi ya kusikiliza. Hii ni zaidi ya kwaya mnaimba as if mko mbinguni!!!!

    • @adv.benedictpius
      @adv.benedictpius ปีที่แล้ว

      Endelea kubarikiwa na utuombee Mungu aendelee kutupatia nguvu na uwezo wa kumtumikia kwa vipaji alivyotupatia

  • @gideonkuria8365
    @gideonkuria8365 ปีที่แล้ว +2

    si ajabu mwabariki kwa nyimbo zenu

  • @jonathanmativo5959
    @jonathanmativo5959 ปีที่แล้ว

    Hizi nyimbo zinanirundisha miguuni pa Yesu🙏🙏🙏🙏🙏

  • @sab311
    @sab311 ปีที่แล้ว +1

    Amina. Barikiwa sana

  • @jameschengwali1051
    @jameschengwali1051 ปีที่แล้ว

    Only God knows how weary i am. 😢😢😢 safari ni Ngumu sana, Mungu nishike mkono😢😢😢

  • @reginantabo3348
    @reginantabo3348 ปีที่แล้ว

    Indeed Jesus Christ died for me that in judgement i may Stand and be saved.

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio ปีที่แล้ว +2

    Bwana Yesu sina pa kukimbilia isipokuwa kwako; Uwe karibu nami🙏

  • @samuelmuhindosivamwanza4988
    @samuelmuhindosivamwanza4988 ปีที่แล้ว +2

    Amina kubwa. Naufuata wimbo huu nikiwa GOMA-DRC.

  • @Obeidkazimili
    @Obeidkazimili ปีที่แล้ว +2

    Eloi Eloi nabarikiwa sana na kwaya hii bado niko mdogo enzi hizo hadi leo ni chaguo langu Bwana awabariki

  • @zuuyonah-mk8xr
    @zuuyonah-mk8xr ปีที่แล้ว +4

    Nimeusikía Leo mkiimba live kanisani...machozi yamenitokaa..huu wimbo unanisogeza karibu na msalaba

  • @wycliffmokoraoimeke9982
    @wycliffmokoraoimeke9982 ปีที่แล้ว

    Kila heri kurasini SDA choir....a blessing to me and My family 🙏🙏 continue serving our Lord 👍👍

  • @user-wl7dl7ik2j
    @user-wl7dl7ik2j ปีที่แล้ว

    Nishike Safari ni ngumu kwangu
    Nimezama dhambini
    Please God
    AMEN

  • @emillyalego1016
    @emillyalego1016 ปีที่แล้ว +2

    Thanks to this choir, may God continue blessing you.
    I'm just requesting the song;
    "Vumilia usirudi nyuma kasa mwendo jipe moyo, .... Pambazuko Iko karibu

  • @georgegabriel9180
    @georgegabriel9180 ปีที่แล้ว +2

    Now you make it. This is a kind of video quality. Hongereni sana sana wapendwa.

  • @ayukeokal5363
    @ayukeokal5363 ปีที่แล้ว +7

    Kurasini Sda choir Mungu awabariki Sana kwa nyimbo zenu hakika zinagusa mioyo ya watu wengii duniani kwa ujumla Mungu wa mbinguni aendelee kuwatumia vyema awape nguvu ya kumtumikia hata arudipoo kwa hakika

  • @lisajohn236
    @lisajohn236 ปีที่แล้ว

    Eloi Eloi🔥🔥🔥

  • @yohanakanuda
    @yohanakanuda ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki kwa wimbo mzuri

  • @danielnyika4023
    @danielnyika4023 ปีที่แล้ว +2

    Mnavyoimba Kwa uchungu mm huku naangua kilio🥲🥲🥲 mbarikiwe sanaa

  • @mosesngugi-cg5rz
    @mosesngugi-cg5rz ปีที่แล้ว +2

    AMEN

  • @brownwell959
    @brownwell959 ปีที่แล้ว +33

    Am not an Adventist but Kurasini SDA Choir has been a blessing to me since 1990s.Your songs are always on point.When am down your songs uplift me.I miss Mariam Sasi in this choir.

  • @oruchoduncan9073
    @oruchoduncan9073 ปีที่แล้ว +2

    Baada ya siku mingi hakika meweza kubarikiwa na kibao kingine cha wana kurasini. Zidi kubarikiwa wana na wapenzi wa Mungu. Hakika tutazidi kubarikiwa na Makambi hata ya mwaka huu nataraji kuwaona wapendwa nchini Kenya Karib wadau

  • @wilsontoo8023
    @wilsontoo8023 ปีที่แล้ว +3

    Kurasini always the best, God bless and keep you

  • @dorcasmusau1790
    @dorcasmusau1790 ปีที่แล้ว +2

    Aminaa🙏 Aminaaa 🙏Nishike mkono Bwana siku zote, very important message, Asanteni Kurasini SDA choir, Mungu awe nanyi as you serve Him 🙏

  • @edwinkhisa
    @edwinkhisa ปีที่แล้ว +5

    The most disciplined choir in East and Central Africa. Much love from Kenya.

  • @mwendadavid
    @mwendadavid ปีที่แล้ว +2

    reminds us of Samson Kibaso

  • @sospeterojowaoloo
    @sospeterojowaoloo ปีที่แล้ว +1

    Kurasini your are still the best gospel choir that has the Best Musicianship Masters in that category in the World.

  • @fredyj5909
    @fredyj5909 ปีที่แล้ว +4

    NaBarikiwa sana na kwaya hiii

  • @marymokaya1047
    @marymokaya1047 ปีที่แล้ว

    I love this choir. I wish I could be part of you. GOD bless you❤

  • @mush337
    @mush337 ปีที่แล้ว +3

    Our church choir back at home used to be a very nice choir but most people who used to sing some got married,some changed the church and the choir was no more,but today as we speak the church has a new choir more powerful with new people, where those people came from we even don't know,God himself took charge. Choir is not the people in it but the Christ in it,when Christ is in choir even if all of you go,the Choir will be there. All in all you sing Godly ,may God preserve you

  • @lucasgimonal2702
    @lucasgimonal2702 ปีที่แล้ว +2

    Wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya, watapaa kama tai. Ni furaha kwangu kuwaona Tena baada ya mda. Mmbarikiwe mno

  • @barakageorge1300
    @barakageorge1300 ปีที่แล้ว +2

    Amina Amina sana

  • @antonymachogu3051
    @antonymachogu3051 ปีที่แล้ว +21

    Remain united wa kutoka atoke my prayer 🙏 always kurasini you portray the real music 🎶 ever, wageni naona wengi barikiwa saana.

    • @kurasinisdachoir
      @kurasinisdachoir  ปีที่แล้ว +2

      Barikiwa pia..

    • @mercylineosumo4116
      @mercylineosumo4116 ปีที่แล้ว +1

      My choir u always inspire me,nawapenda,yaani nikama nawajua personally ,Mungu awalinde ndugu zangu

    • @brysonkaale3003
      @brysonkaale3003 ปีที่แล้ว

      Wageni Ni wengi but tonerlity remain the same and super!

    • @AminaKabuka-dv7vn
      @AminaKabuka-dv7vn ปีที่แล้ว

      Bariikiwa sanaaaaa

  • @deborahmnzava3971
    @deborahmnzava3971 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri unanisogeza miguuni pa Yesu. Pia mnaonekana vizuri sana. Nawapenda sana kurasini siku moja mje Dorolosa.

  • @zithakusaya
    @zithakusaya ปีที่แล้ว +1

    Amina ujumbe mzuri, mungu azidi kuwabariki🙏🙏

  • @nyarkomala
    @nyarkomala ปีที่แล้ว +3

    VOP Kasulu SDA Choir and Kurasini SDA Choir doing the Lord's work literally.

  • @basakikiboye7759
    @basakikiboye7759 ปีที่แล้ว +2

    Bwana awabariki sana mnanibariki mnooo

  • @Temekesdachoirtanzania
    @Temekesdachoirtanzania ปีที่แล้ว +2

    Kurasini mbarikiwe sana, hii kitu imetulia sana.

  • @frednyandisi2375
    @frednyandisi2375 ปีที่แล้ว +2

    Sina pakukimbilia ila kwako Jehova 🙏🙏

  • @emmanuelmhina1983
    @emmanuelmhina1983 ปีที่แล้ว +4

    Wimbo mzur location nzur sare iko 🔥🔥🔥 mbarikiwe sana

  • @MagexaMaxxatu-wi4co
    @MagexaMaxxatu-wi4co ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzur

  • @stephenanyangara3554
    @stephenanyangara3554 ปีที่แล้ว

    Wow, What a blessing!!
    God continues to bless you still.

  • @maotolalumbe2411
    @maotolalumbe2411 ปีที่แล้ว +3

    Ameeeni

  • @onesmusopige5162
    @onesmusopige5162 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana kwaya yangu. Barikiweni

  • @AminaKabuka-dv7vn
    @AminaKabuka-dv7vn ปีที่แล้ว

    Amina nimebarikiwa mnooo na wimbo

  • @GomelliaNgoie
    @GomelliaNgoie 5 หลายเดือนก่อน

    Bwanaawabarikiwapedwa

  • @EsterYohana-wr4vk
    @EsterYohana-wr4vk ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sanaaaa

  • @fredrickotieno3934
    @fredrickotieno3934 ปีที่แล้ว +5

    This song reminds me of one the greatest camp meeting in mathare north,

  • @emmymjema8400
    @emmymjema8400 ปีที่แล้ว +1

    I'm blessed. The song I touching feelings. Be blessed Jesus soldiers. Your crown are many.

  • @rademaadema7595
    @rademaadema7595 ปีที่แล้ว +1

    Amen injili isonge mbele

  • @asiyoedward3511
    @asiyoedward3511 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🏿

  • @ayoubbajuta4427
    @ayoubbajuta4427 ปีที่แล้ว +5

    Nabarikiwa mpaka nashangaa huu ukuu wa Mungu

  • @mtegiwiga5707
    @mtegiwiga5707 ปีที่แล้ว +2

    Mubarikiwe

  • @efraimmichael1202
    @efraimmichael1202 ปีที่แล้ว +2

    Amen thank you so much

  • @michaellangi
    @michaellangi ปีที่แล้ว +1

    Am so happy to see you people continue praising Jehovah like never before

  • @lindalissi4646
    @lindalissi4646 ปีที่แล้ว +3

    such amazing song ever...Mungu uwe karibu peke yetu ni giza tutaangamia tunakuhitaji sana

  • @johnogora9082
    @johnogora9082 ปีที่แล้ว +4

    Bwana awabarikie kwa kazi safi hii ya injili.

  • @jemimaawuor4145
    @jemimaawuor4145 ปีที่แล้ว +1

    Amen!

  • @linetouma3901
    @linetouma3901 ปีที่แล้ว +2

    Am blessed this is kurasini i used to know

  • @MichaelKibula-yt2zu
    @MichaelKibula-yt2zu ปีที่แล้ว

    Kweli majaribu ni mengi Ila kwa damu ya Yesu yote hayatuwezi

  • @estermsuya-th7kx
    @estermsuya-th7kx ปีที่แล้ว +2

    Kurasini

  • @georginawashington2521
    @georginawashington2521 ปีที่แล้ว +3

    Mbarikiwe sana watu wa Mungu hakika mbarikiwe zaidi na zaidi mbarikiwe sana

  • @benoitkasanga6492
    @benoitkasanga6492 ปีที่แล้ว +6

    Merci beaucoup et que le Bon Dieu vous bénisse 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @harrietmusila8595
    @harrietmusila8595 ปีที่แล้ว +6

    Favorite choir... blessings

    • @kurasinisdachoir
      @kurasinisdachoir  ปีที่แล้ว +1

      🙌🏽

    • @ntambaraenock1823
      @ntambaraenock1823 ปีที่แล้ว

      Kurasini SDA am watching from Rwanda, nawapenda sana bwana Yesu awawongoze kbs

  • @phelixnyadera7659
    @phelixnyadera7659 ปีที่แล้ว +5

    Am from Kenya and this choir is my best since child hood.Dressing code and hair style 👍

  • @johnnyange4367
    @johnnyange4367 ปีที่แล้ว

    Ameeen

  • @collinsotieno2643
    @collinsotieno2643 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri sana.
    Umenibariki

  • @ivanbusumbiro6429
    @ivanbusumbiro6429 ปีที่แล้ว +3

    Nishike safari ni ngumu

  • @joverdajoseph8841
    @joverdajoseph8841 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki

  • @chiatv119
    @chiatv119 ปีที่แล้ว +3

    May God bless you in all aspects

  • @lindalissi4646
    @lindalissi4646 ปีที่แล้ว

    EBENEZER

  • @nsibwenekaswaga6267
    @nsibwenekaswaga6267 ปีที่แล้ว +7

    Best of the best SDA choir! You maintain the SDA regulations on hair, all the best till HE comes

    • @kurasinisdachoir
      @kurasinisdachoir  ปีที่แล้ว

      🙏🏽

    • @junejao8047
      @junejao8047 ปีที่แล้ว

      Praise the Lord.

    • @mush337
      @mush337 ปีที่แล้ว

      Though according to the Bible,women are not supposed to cut their hair

    • @nsibwenekaswaga6267
      @nsibwenekaswaga6267 ปีที่แล้ว

      @@junejao8047 Amen

  • @philiphsijenyi14
    @philiphsijenyi14 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe Sana

  • @danielpius4009
    @danielpius4009 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awe pamoja nanyi

  • @luckysteve8450
    @luckysteve8450 ปีที่แล้ว +7

    Beautiful renditions that brings us closer to Christ
    Amen....
    Hakika hatuna pa kimbilio Ila kwake Mterehemezi.
    Sabato njema 🙏🏾

  • @evelijahkimani8152
    @evelijahkimani8152 ปีที่แล้ว +4

    Amina.. Wimbo mzuri unaotuleta karibu na msalaba.. Kurasini mbarikiwe sana na Bwana

  • @margaretwairigungángá
    @margaretwairigungángá ปีที่แล้ว

    nyimbo ya daudi nitapataje tafadhali

  • @BabjiMichael
    @BabjiMichael 9 หลายเดือนก่อน

    I just saw something like composed by Samson Kibaso.... indeed Teacher was great 😊🙏🙏

  • @purityruwa6554
    @purityruwa6554 ปีที่แล้ว +1

    Bila msaada wako nitaangamia.....safari ni ngumu ila najua nitashinda tu.

  • @kapeletv
    @kapeletv ปีที่แล้ว +3

    Viziwi wamesahaurika

  • @brendachepkorir2662
    @brendachepkorir2662 ปีที่แล้ว +7

    Am an proud adventist,, happy sabbath from Bahrain

  • @oscarkamanda3301
    @oscarkamanda3301 ปีที่แล้ว +9

    Am now approaching 40! Can't believe that you guys have been around since my childhood.. continue to be a blessing to the world 💪💪🙏🙏🙏

    • @junejao8047
      @junejao8047 ปีที่แล้ว

      Amen, give thanks to the Most High.

  • @christinesidi1738
    @christinesidi1738 ปีที่แล้ว +2

    Ameen Ameen

  • @mathiasmangwanya4112
    @mathiasmangwanya4112 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atukuzwe kwa wimbo huu; mbarikiwe waimbaji

  • @uriahlyala-ti1pg
    @uriahlyala-ti1pg ปีที่แล้ว +3

    My favorite choir?!!!

  • @amosojwang8474
    @amosojwang8474 ปีที่แล้ว +1

    Amina,Asante kwa Ujumbe ,mungu azidi kuwainua

  • @rwechunguraprosper8805
    @rwechunguraprosper8805 ปีที่แล้ว +3

    Nzuri sana MUNGU awabariki

  • @MukumbuChiefKatiwa
    @MukumbuChiefKatiwa ปีที่แล้ว +1

    Amina na Mungu awabariki sana

  • @FrancisOntomwa
    @FrancisOntomwa ปีที่แล้ว +8

    Forever in our thoughts Mwalimu Kibaso, powerful song !!!

  • @geffryndayi
    @geffryndayi ปีที่แล้ว +2

    Amina. Baraka tele

  • @berylochom44
    @berylochom44 ปีที่แล้ว +10

    I can see Kibaso living this is what happens when legends die....they replenish that means he inspired alot and people would want to carry out his dream. Congratulations