Mchambuzi wangu bora kaka mkubwa Salehe Jembe huyu mara zote huwa namkubali sana kwanza sio mnafiki na pili anasimamia kile anachokiamini na anazungumza fact na sio propaganda za kwenye mpira wa miguu.
Nyie mnailalamikia tu simba mi nimeshaanza muelewa Kocha wa Fadru mwenzako, hataki team yake ikaliliwe, ndio maana anazunguka watu wasikalili uchezaji wa wachezaji wetu
Nakukubali kaka,safi sana
Fadlu lazima ajue first 11 yake .... sio Ateba aingie dakika za mwisho na balua..
Simba ndo tunapepea ivyo na tukichukua kombe mtasema Simba imechukuwa kombe haikuwa kwenye ubora
Mi nakubaliana nawe simba mbele akueleweki mtale na awo wengine
Nimekuelewa sana uchambuz wako
Nikweri mkuu
Jamhuri Julio au mgundua ni sawa na Fadlu
Na wao waende south wakafundishe Ili to prove haya unayoyasema
Kocha ndio changamoto bila ya kupepesa
Kaka unajua kuchambua
WATAMKUMBUKA SANA MZEE MAGOMA
Kaka unajua kuchambua mpira , binafsi nimekuelewa
Kwel simba inabid irud na point3 ilikujiwek imara zaidi,
Cocha ni tatizo kubwa hana ujuzi wowote ule
Chukuwa timu mwenye ujuzi
Uyu ndio mchambuzi sio wale wamiemko
Mchambuzi wangu bora kaka mkubwa Salehe Jembe huyu mara zote huwa namkubali sana kwanza sio mnafiki na pili anasimamia kile anachokiamini na anazungumza fact na sio propaganda za kwenye mpira wa miguu.
Bro wewe fundi unacho kisema ndicho chenyewe
😂😂😂😂
Nyie mnailalamikia tu simba mi nimeshaanza muelewa Kocha wa Fadru mwenzako, hataki team yake ikaliliwe, ndio maana anazunguka watu wasikalili uchezaji wa wachezaji wetu
Really
Mmi pia nliona kama kocha anausiri ktk mbinu zake anaficha sana makucha.
Cocha hamna mzigo mule
Simba tatizo ni cocha
Huyu cocha hajui jambo lolote ni mzururaji
Chukuwa timu wewe mkaaji
Ukipewa wewe unaweza kuifundisha?
@JumbeFamilySingers Nipeni mimi ni said ya kufundisha