ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mashallah shukrani shuna's ukazipata kwa boflo yazanzibar hizo
Maa shaaa Allah mm nimekumbuka kwetu mtambwe asante kwa mapishi Allah akupe ujuz zaid
Wa mtambwe mwenzangu asante kwa kuangalia, ameen ameen
@@ShunasKitchen tuko pamoja mamy nimezipnda kombe zinavutia
Asante mmy nataka kujaribu leo mmeletewa zawad kutoka pemba😍😋😙
Mashallah tusokua na kombe tujinyonge 🤣🤣 welcome back dear , we missed you
Msokua na kombe mle kwa macho haha, thank you darling 😙😙
😂😂😆😆
Yoooooow wameketi kama Wadudu jamani me naogopa😭😭😭 daahhh yani Mthuzi wavutia rigirigi lakini hao wadudu Laa siezi kuwala😪😪 otherwise Mapishi mazuri MashaAllah naeza kubadili na Kamba hapo😋😋😋😋
Maa shaa Allah kwa upishi wako japo kua sija wahi kula kombe
Asante sana
Asante kwa upishi. Lakini mbona huku weka zile tomato, carrot na viungo vingine?
Napenda Sana jinsi unavyoelezea naomba urudie jinsi ya kukunja Manda/ kaki za samosa
Mie napenda kula na wali
Naomba tuonyeshe kufanya boflo za zanzibar pleaz
Wooow...miss u so much sis thanxs u are back alhamdulilah...
I'm back alhamdulillah, missed you more hun😘😘
Mashallah wanikubush home sweet home Zanzibar
Asante kwa kuangalia😊
@@ShunasKitchen tuko pamoja kitambo sana tu shuna lazima ni watch videos zako
MashaAllah karibu tena my dear
Asante dear ☺😊
Welcome back my love tulikumis hatari 😘
Thank you so much darling 😘
Asante sana mamy mic u sana😘😘
Miss you too dear, asante😘😘
Asalaam alaykum. Unaeza kufanya same recipe with ngisi instead of hio?
Yesss
Hongera
Asante pia kwa kuangalia
welcome back Ayouny. Miss u snaa😚😚😚😚
Thank you dear, I missed you more😊😊
Tulikumiss sana karibu tena
Asante dear, niliwamiss pia😘
Mm kwa mseto wa chooko
Teena usisemee😀
nimekumiss sana maana nilikua najiuliza Unaumwa kumbe upo mzima nafurahi kukuona tena
Alhamdulillah nipo OK , pirika tu zilinibana, asante dear kwa kuangalia😊
mashallah
Shukran
Mashalla unanikumbusha pemba
Mashallah habibty zaman hukuleta vidio usichelewe sana vyakula vyako vizuri tufundishe mandaz ya oven pls
Asante habibty now nimerudi. In shaa Allah nitaweka. Shukran kwa kuangalia😘
Shukran habibty mana nilikuwa nishaumwa kwaku kumiss hahahaa
Aww thank you darling 😊😊 now umepowa ee😙😙
Welcome backkk..tulikumiss na videos za mapishi..ila hzo kkmbe kizungu zaitwa nn? manake sijawahi kuziona
Asante dear, kombe kwa kizungu wait waje ambao wanaelewa watusaidie
I think sea food😂
Mashallah nimerudi tena haya karibu
Asante sana dear
Love Unaeza zipata supermarket au n wapi exactly
Supermarket ukibahatika unazipata, kwani upo wapi love
@@ShunasKitchen Nko tanzania mpnz
Mchuzi wavutia sana. Zijaziona kombe Kenya.Niliwahi kuletewa kutoka Pemba lakini sikujua ni nini au mapishi yake ni vipi.Nilizipeana
Next time ukiletewa umeshajua vya kuzipika 😊😊 asante dear kwa kuangalia
We miss u hun alot😘 thx
I missed you more darling, thanks for watching 😘😘
@@ShunasKitchen thx😘
AHSANTE
😍
Aisee... Upo wapi mm nakuja na ugali 😂😂😂😂😂😂...
What's kombe in English?
Selfish
@@evelynemathias6732 thank you
wat is dis kombe???
It's a sea food
tunangoja na icecream na choclate cake
In shaa Allah dear
Hizo ni chaza sio kombe kombe ni kubwa nyeusi
Kombe ndio chaza nikitu kimoja au kombe nikitu kingine na chaza kitu kingine
mimi napenda na ugari apo na maji baridi weee
Hataree
Tuletee na chocolatecake
In shaa Allah dear, asante

Love
Unaeza zipata supermarket au n wapi exactly
Supermarket ukibahatika unazipata, kwani upo wapi love
@@ShunasKitchen
Nko tanzania mpnz