Masha Allah... knowledge is Light, wisdom and Wealth...Huyu Bwana Yuko Africa na Lugha fasaha ya Kiarabu Namna Hii na sio Lugha tuu Ana Nguvu ya Elimu ... Molla Amzidishie ....
Namuomba Allah azidishe mapenzi baina yetu waislam masheikh zetu Allah akulindeni na killa shari nasi Allah atujaalie tuwe tumesikia na tumetii atujaalie tuwe wake wema kwa waume zetu na atusameh killa tulipoteleza Hakika ní mawaidha tosha kwa killa nyanja mpaka kwenye maradhi tumepata tiba na faraja isotukatisha tamaa alhamdulillah alhamdulillah
Masha Allah... knowledge is Light, wisdom and Wealth...Huyu Bwana Yuko Africa na Lugha fasaha ya Kiarabu Namna Hii na sio Lugha tuu Ana Nguvu ya Elimu ...
Molla Amzidishie ....
Namuomba Allah azidishe mapenzi baina yetu waislam masheikh zetu Allah akulindeni na killa shari nasi Allah atujaalie tuwe tumesikia na tumetii atujaalie tuwe wake wema kwa waume zetu na atusameh killa tulipoteleza Hakika ní mawaidha tosha kwa killa nyanja mpaka kwenye maradhi tumepata tiba na faraja isotukatisha tamaa alhamdulillah alhamdulillah
Mashallaah mwalim allaah akupe umri mrefu wente heer namuomba allaah mwanangu awe Kama wewe
Amiin kwasote MashaAllah
Masha Allah jazzakallah kheir Allah awajaliye umri murefu ma sheikh wetu mawaidha mazuri anagusa kila sehem❤
mashaalah❤
Jazaqalahu khaira
Nisisahau pambo lá mawardi ya hapo kwenye meza mmm Hakika yanavutia tena yanavutia maashaaallah
Mashaaa Allah
Shukran
Sheikh anatumia Kiswahili cha TANGANYIKA hela, ZANZIBAR tunasema pesa.
Wewe Bakia Na Lugha watu Wanabakia Na Elimu Zanzibar au Tanganyika Killa Mmoja Na Lugha aliekulia Nayo Hakuna anaemzidii Mwengine...!!