allaah sw amrehemu sheikh wetu na amuondoshee adhabu ya kabri na amsamehe madhambi yake yote yy pamoja na masheikh wote waliotangulia mbele ya haki.na sisi tuliohai atujaalie khatma njema.
( ذَٰلِكَ الْيَوْمُ الْحَقُّ ۖ فَمَن شَاءَ اتَّخَذَ إِلَىٰ رَبِّهِ مَآبًا ) النبأ (39) An-Naba Hiyo ndiyo Siku ya haki. Basi anaye taka na ashike njia arejee kwa Mola wake Mlezi.
Allah amrehemu sheikh wetu sheikh Nassor Bachu
allah amjaalie pepo na kaburi liwe sehemu wa kiwanja cha pepono kwake amin
allaah sw amrehemu sheikh wetu na amuondoshee adhabu ya kabri na amsamehe madhambi yake yote yy pamoja na masheikh wote waliotangulia mbele ya haki.na sisi tuliohai atujaalie khatma njema.
Sul Muhsul Aamin
Allahumma firlahu warhmanhu waskinhu fil janaa
Ameen in shaa Allah Allah s.w.t is great
Amiin
La ilaha illallah; Muhammad rasulullah❤
Allahuma swalli a'la Muhammad❤
Allah umbariki pepo ya daraja la juu Sheikh Nassoro Abdallah Bachu❤
Allah akulipe pepo ya juu firdaus
Mwenyez mungu akupe pepo iliyo ya juu na zaidi ya juu kwa kuwacha sadaqatul jariya na cc mwenyez mungu atupe khatma njema Ameen yarabiy
Aamiiin
Ya Allah tunusuru na kibri cha duniaa...tujalie hata tikipata kdg tukumbke akhera InshaAllah biidhniiillAh yarabiii
Allah atupe afya na vizazi yetu na kila Islamu
Rab ewe mola wngu mfanyie wepec maalim wangu
Mungu Ampe kauli thabiti
Allah akubark akuepush na azabu z kaburn akupe kla la kheir
Allah akuzidishie thawabu
Mashaa allah...bado upo hai sheikh wang allah akujaali firdaus inshaa allah ..
Allah amrehemu sheikh nassor
Allah akurehem sheikh wetu
Allahumma ighfirlahu warhamhu waaskinhu fil jannat
Allah akupe kauli thabitii Hakika mawaidha yako yanaishi na yana sisimua nyoyo
Maashaallah
Allah ajalie kabr lake liwe bustan baina ya mabustani ya pepo
Allah mrehemu sheikh wetu
Allah akujalie pepo
Allah akulepe ujira sheh nasr bachu
Allahumm ghfilahu
Subhan'Allah
Masha Allah mungu akulipe zaid sheikhe wetu Amin
Maa shaa Allah
Mungu akuifadhi
Mashallah mungu akurehemu sheikh
رحمه الله
Mashaallah
Hakika sheikh amezungumza mambo mengi ambayo ndio yanayotokea siku hizi katika dini watu wameacha Dini wanataka JAHA..
( ذَٰلِكَ الْيَوْمُ الْحَقُّ ۖ فَمَن شَاءَ اتَّخَذَ إِلَىٰ رَبِّهِ مَآبًا )
النبأ (39) An-Naba
Hiyo ndiyo Siku ya haki. Basi anaye taka na ashike njia arejee kwa Mola wake Mlezi.
Ppppppppppppppppppppp0ppppplpppppppppppppppppppp
Ppppppppppppppppppppp0ppppplpppppppppppppppppppp

Dah Mohamed bachu angefata mwendo wa Marhuum Nassor bachu angepata faida sana ila yeye Kawa mtu wa media zaidi
I0
Mungu aturidhie
Rahimahu LLAAH
Allah huma qufirlii war ham hum waskunu makana fil jana...
Hii aibu mambo ya kheyr subcribe 10k please fanyeni 10m
Allah amsamehe na ampe nuru kwenye kaburi lake!
Ammin