- 929
- 100 275
Daarunnaswihah
เข้าร่วมเมื่อ 6 พ.ค. 2022
Daarunnaswihah Qur-an na Sunnah Kwa Ufahamu wa Wema Waliotangulia
Fuatilia Mihadhara, Kalima, Khutba na Duruss Zilizosomeshwa Sehemu Mbali Mbali na Tufaidike na Kuijua Dini Yetu Kwa Mafunzo Sahihi.
Pia unaweza kutufuatilia kupitia Telegram na Whatssap na Redio zetu za Daarunnaswihah kupitia link zulizopo chini
Allah awabarik na Atuzidishie maarifa ya kuitambua dini yetu .
(Mfikishie na mwenzako faida kwaajili ya Akhera yako)

Fadhila za Kusoma Suratul Qahfi Siku ya Ijumaa
Sheikh Abuu Hashim Abdulqadir Al-Musawa حفظه الله ورعاه
มุมมอง: 51
วีดีโอ
Makemeo Makali Kwa Mwenye Kuacha Swala ya Ijumaa
มุมมอง 4013 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Sheikh Abuu Hashim Abdulqadir Al-Musawa حفظه الله ورعاه
Uzito wa Swala ya Ijumaa
มุมมอง 1913 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Sheikh Abuu Hashim Abdulqadir Al-Musawa حفظه الله ورعاه
02. Jinsi Ya Kuunganisha Nyoyo Za Watoto
มุมมอง 8517 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Sheikh Abuu Hashim Abdulqadir Al-Musawa حفظه الله ورعاه
Bora ya Swala Kwa Ujira Mbele ya Allah
มุมมอง 921 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Sheikh Abuu Hashim Abdulqadir Al-Musawa حفظه الله ورعاه
Kithirisha Sana Kumswalia Mtume ﷺ Usiku na Mchana wa siku ya Ijumaa
มุมมอง 821 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Sheikh Abuu Hashim Abdulqadir Al-Musawa حفظه الله ورعاه
Muislamu Ienzi Siku ya Ijumaa Isikupite Kama Siku Nyengine
มุมมอง 521 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Sheikh Abuu Hashim Abdulqadir Al-Musawa حفظه الله ورعاه
Tahadhari na Kuburuza Nguo Ewe Mwanamme
มุมมอง 1422 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Sheikh Abuu Nufayda Hussein Sembe حفظه الله ورعاه
Je kuna Kafara Yoyote ya Kuuwa Paka ?
มุมมอง 1632 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Sheikh Abuu Aqlaan Abdurrazak Kassim Al-Jahdhwamiy
Katazo la Kupumua Kwenye Chombo Wakati wa Kunywa Maji
มุมมอง 402 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Sheikh Abuu Nufayda Hussein Sembe حفظه الله ورعاه
Katazo la kukipooza Chakula Kwa Kutumia Pumzi ya Mdomo
มุมมอง 402 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Sheikh Abuu Nufaida Hussein Sembe
22. Kusoma Qur'an Kwa Tartiyl
มุมมอง 102 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Sheikh Abuu Ayman Al-Shiraziy حفظه الله ورعاه
Miongoni Mwa Dhikri Muhimu Baada ya Swala ya Magharibi na Alfajiri
มุมมอง 304 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Sheikh Abuu Nufayda Hussein Sembe حفظه الله ورعاه
Uzembe wa Wengi wa Wazazi Kwa Watoto Wao
มุมมอง 417 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Uzembe wa Wengi wa Wazazi Kwa Watoto Wao
21. Kudhihirisha na Kufanya Siri Kisomo
มุมมอง 1237 ชั่วโมงที่ผ่านมา
21. Kudhihirisha na Kufanya Siri Kisomo
Tukumbushane na Kunasihiana Kuhusu Watoto Wetu
มุมมอง 249 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Tukumbushane na Kunasihiana Kuhusu Watoto Wetu
Hakuna Kitakacholeta Amani Utulivu na Raha ya Maisha Kama Kurudi Katika Dini ya Allah
มุมมอง 61914 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Hakuna Kitakacholeta Amani Utulivu na Raha ya Maisha Kama Kurudi Katika Dini ya Allah
Maelezo Yenye Kutosheleza Kuhusu Vigawanyo vya Tawheed
มุมมอง 42814 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Maelezo Yenye Kutosheleza Kuhusu Vigawanyo vya Tawheed
MASHALLAH NAOMBA KUULIZA HIVI KAMA KUNA MTU UKIMKARIBIA TU ANAKUELEKEZA KWENYE MAASI , JE MTU HUYO UNAPASWA UISHI NAE VIPI , YAANI UKIWA KARIBU NAE LAZIMA UTAFIKIRIA KUFANYA MAMBO YA MAASI NA HAIWEZEKANI MTU HUYO LAZIMA MUISHI PAMOJA , JE UTAISHI NAE VIPI
Jazakallahu khayra
Baaraka Allaahu fiika Shekhe
Hizi hati zinaitwane jina lake
Barakallahu fiikum
Naam shekh Allah akulipe kila la khery umetuzindua wengi sana maana tunapendeza mashaalah lakini vitu vidogo vidogo hivi tunavipuzia
Swadakta
Asalam aleykum kisa cha qarun sijakisikia
Assalamualaikum ikhwani.
Waalaikum Salam Warahmatullahi wabarakatuh naam
@daarunnaswihah5870 tunaomba Audio ya tano. Haipo
Assalamualaikum ikhwani. Tunaomba sauti nambari 05. Kwa mtiririko huu wa hizi duruus. Kwa faida ya wote. Shukran
Assalamualaikum ikhwani. Sauti nambari Tano haipo kwa hii channel. Tunaomba mtutumie
Alihamdulillah mwenyezi mungu watunze wazazi wangu apa duniani na ata akhela inshaallah ninafuraha kwakuwa mama yangu anafuraha japo napata kipato changu kwashida rakini ni kwa DUA zake nimeanza kumlea mama yangu katika umri huu mwenyezi mungu ananipatia ridhiki nikwaajiri ya mama yangu
Allah akuzidishie na Akupe subra katika kuwafanyia wema na ihsani wazazi wetu
Assalamualaikum ikhwa. Audio ya 05 haipo. Nakuomba ututumie. Shukran
Waalaikum Salam warahmatullahi wabarakatuh
Nitumie sms whatssap
Baaraka llaahu fiikum
Amin na nyinyi pia
Asalam aleykum Allah akubariki sheikh wetu ni Mtume gani atakuja siku ya kiama bila mfuasi hata mmoja
Allah akuengezee katika elmu.
vibur vikubwa
sheikh.leo ndo waona hivo.hayo ni matokeo.ya.maneno.ya.hao masheikh .ndio wanaowtia kibur.vijana wengi.tabia zao mbaya
Shukraan
Asalam aleykum je nikweli nabii suleiman alioa wake 700
Shukraan kwa mawaidha Allah akubarik
Assalamualaikum warahmatullah Naomba mtiririko mzm wa audio za hichi kitabu .
Kitaabu kinafundishiwa wapi hiki
Allah akuhifadhi
Amin
Allah awabaarik nasaha nzuri sana
جزك الله خیرا یا شیخنا❤❤
Nasaha ghalib mno
maa shaa allah
Assalaamu a'lykum warahmatullah wabarakatuh Tutafutie na Aqeedatul waasit.....
Waalaikum Salam warahmatullahi wabarakatuh
أيها الشيخ المبارك أبا الفضل القاسم
Uko sahihi sheikh Kassim Mafuta❤❤❤
Ivi watu washafahamu au wamechoshwa na vituko vya Mawahabi maana naona hawakoment wengi kama zamani
Usufi ni taka taka
Mashallah
ustadh Abdrazaak my class mate from Madrasatul Masjid sunna Allah akuhifadhi akuzidishie elmu
Amin
جزاك الله خيرا وشيخنا
الحمد لله على نعمة الإسلام والسنة
Wafiika baarakallahu
Baraka llahu fiq Sheikh
Jazzakallah khayra
Jazzakallah khayra Allah akuhifadh shekhe wetu mpendwa
Amin
Jazaka Allah kher
Amin na ww pia
Mashaallah
Allah akuhifadhi
Mash Allah ❤ allah akubariki mwalimu wetu abuu abdurahmani
بارك الله لهما وبارك عليهما وجمع بينهما في خير
Ma shaa Allah sheikh Allah akuifdhi na Kila shari Allah AKUJALIE umri mrefu tuzidi kufaifika Allah akuifdhi na mahasid Allahuma Amiyn
Aami8n
Amiin
Amin