REHEMA SIMFUKWE afunguka ANAKOPATA PESA ZAKE "SIO YOUTUBE TU, MUNGU ANATUSAIDIA VYANZO VINGINE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @davidmusasiah6157
    @davidmusasiah6157 ปีที่แล้ว +1

    Asnti sana rehema ninapozisikia nyimbo zako ninapata hope maishani mungu akubariki

  • @LenanaKomoi
    @LenanaKomoi หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atubariki sana dada Rehema Kwa nyimbo Zako za injili ambazo zinatuguza roho yetu ubarikiwe sana dada wetu Mungu akuongoze maishani mwako Mimi nakupenda sana Na ninapenda nyimbo Zako ambazo zinanibariki sana ubarikiwe sana dada wangu❤❤❤❤

  • @charleschito6341
    @charleschito6341 3 หลายเดือนก่อน +2

    AMEN ' Hakika Dada Rehema tunao fahamu vipawa vyenye Mafuta Mabichi tunajivunia wewe Kwa Utukufu wa MUNGU WETU...🎉❤❤

  • @LwimikoMwakagile
    @LwimikoMwakagile 4 วันที่ผ่านมา

    Keep it up,

  • @ZawadSteven
    @ZawadSteven 19 วันที่ผ่านมา

    Matokeo ya live na girolina

  • @geofreysadok4823
    @geofreysadok4823 ปีที่แล้ว

  • @shongatv1224
    @shongatv1224 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli napendaga huduma yakoo dada

  • @MariamLewis-t4x
    @MariamLewis-t4x 3 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉

  • @kelvinnyamle6031
    @kelvinnyamle6031 2 หลายเดือนก่อน +1

    *"Semfukwe"