RAIA WA PAKISTAN WALIVYONASWA NA DAWA ZA KULEVYA KATIKA JAHAZI "TUMEWAPELEKA MAHAKAMANI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 53

  • @MbarakSoud
    @MbarakSoud 15 วันที่ผ่านมา +5

    Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana jeshi la polisi lá Tanzânia liko imaraaa sana alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah namuomba mungu serikali ya Tanzânia wazidi kuwakamata haoo wauzaji wa madawa ya kulevya mungu nakuomba serikali ya Tanzânia iwakamate haooo wauzaji madawa ya kulevya amin AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 16 วันที่ผ่านมา +4

    Subuhallah alla ewe mungu tusaidie

  • @SamiaomaryRwambo
    @SamiaomaryRwambo 16 วันที่ผ่านมา +5

    Subahana Allah

  • @EGM-TZ
    @EGM-TZ 15 วันที่ผ่านมา

    From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations sana Wakuu, Tz hapa imekuwa Super🎉🎉🎉 ila Tuimarishe Ulinzi maana hawa Pakstani, Afustan, ilani n.k nch za ukanda huo sio watu Wazuri kabisa, Vipi Tz hapa Soko lao lilikuwaje na akina nani ni wadau wao wa mauzo?😢 anyway
    Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM

  • @JamesmalesaMavere
    @JamesmalesaMavere 11 วันที่ผ่านมา

    Kiongozi hapo umetudanganya😂😂😂

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 15 วันที่ผ่านมา +4

    Wametoka kote uko wamekuja kukamatwa tz aisee Africa tunakazi kubwa ya kufanya bado tupo nyuma Tena miaka zaidi ya 25 wanafanya kazi wanekamatwa leo muwaulize walikua wanampelekea nani bila shaka kuna watu wanashirikiana nao

  • @OmariBwagizo
    @OmariBwagizo 14 วันที่ผ่านมา +1

    Huo mzigo munaukamata lakin utapotelea huko police kimya kimya hii ndio Tanzania

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 14 วันที่ผ่านมา

      Zinaongeza uchumi wa mifuko

  • @MichaelJohnsonJimmyJimmy-ur8ze
    @MichaelJohnsonJimmyJimmy-ur8ze 15 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Aiseee bongo nyosoooo. Ni movie na kutudanganya uwez kama kitu ya jahazi bhana miaka tka tz imeanza uho ni uhongo

  • @omaryyusuf9405
    @omaryyusuf9405 16 วันที่ผ่านมา +3

    Jamani kama yanauzwaa nayatakaa

    • @SakinaValy
      @SakinaValy 10 วันที่ผ่านมา

      Unafikir sukari inauzwa dukan sio

  • @mrwemaraphael6624
    @mrwemaraphael6624 15 วันที่ผ่านมา +1

    Huo mzigo ungekua wa escobar mbona Tz tungeurudisha kwanza angeanza na kumteka rais

  • @richardyusuphmsongolomakat2049
    @richardyusuphmsongolomakat2049 13 วันที่ผ่านมา

    Wanangu wa Peshawal wameishaaa

  • @swahilimoviebox
    @swahilimoviebox 15 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭😭

  • @SakinaValy
    @SakinaValy 10 วันที่ผ่านมา

    Hawa mbona wanatisha ukikutana nao duuu,,,

  • @juvenalymwanalyela202
    @juvenalymwanalyela202 16 วันที่ผ่านมา +2

    Tuonyesheni mnavyoziteketeza

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 11 วันที่ผ่านมา

    Baadaye munauuza nyie hayo madawa mana mungetuonesha jinsi munavyo tia moto 🔥 hayamadawa lakini munaeahukumu muliowakamata nayo baadaye nyie ndio munagawana na kuyauza hapa hapa Tanzania.mana kila siku munakamata madawa lakini mateja hawapingui

  • @subiralema
    @subiralema 5 วันที่ผ่านมา

    Mgewalisha ayo madawa ote mliowakamata

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 15 วันที่ผ่านมา

    Yaani hao wapakistani ni tishio watu wabaya sana awa

  • @shabanponera2895
    @shabanponera2895 15 วันที่ผ่านมา

    Pamoja na ushahidi wote huo bado watashinda kesi, kama wale wa samaki jodari.

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 15 วันที่ผ่านมา +2

    Hivi wale raia wa waliokamatwa mkoa pwani kipindi cha utawala wa JPM kesi yao iliishiaga wap?

    • @SakinaValy
      @SakinaValy 10 วันที่ผ่านมา

      Walisharudishwa kwao,,

  • @RutiMasaryk
    @RutiMasaryk 15 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂hebu nicheke kwanza na hizo dawa huwa mnazipeke wapi coz bado vyombo vipo kitaani kinoma otherwise ndio nyie nyie mnausambaza mzigo.

  • @mohamedrajabu9055
    @mohamedrajabu9055 16 วันที่ผ่านมา +3

    Nyonga wa Pakistani hao wameshaua ndugu zetu wengi huko Pakistan waliowekwa bond

    • @Ali-f9b2s
      @Ali-f9b2s 9 วันที่ผ่านมา

      Wewe pia ulikua Bondi huku ndo maana unajua

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 15 วันที่ผ่านมา +1

    LKN HAYA MADAWA MBONA HATUONI YANAVYOTEKETEZWA?

    • @omarnicesang5507
      @omarnicesang5507 13 วันที่ผ่านมา

      Fyatilia hua wanachoma kuhususha idara MBALIMBALI chini ya mahakama

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 15 วันที่ผ่านมา

    Hao ndo wanasababisha vijana wetu wanakua mateja

  • @scoutpwanimchangani6711
    @scoutpwanimchangani6711 15 วันที่ผ่านมา

    Inaonesha wafanyakazi wote wa kwenye hilo JAHAZI NI WARAIBU

    • @matendupiterngoge8707
      @matendupiterngoge8707 15 วันที่ผ่านมา

      Pakistan sio warabu ni wahindi wewe hukwenda shule nini

    • @matendupiterngoge8707
      @matendupiterngoge8707 15 วันที่ผ่านมา +1

      Hata hawajui kiarabu hata kidogo tu Wanazungumza ki Urdu

    • @matendupiterngoge8707
      @matendupiterngoge8707 15 วันที่ผ่านมา

      Hata hawajui kiarabu hata kidogo tu Wanazungumza ki Urdu

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 15 วันที่ผ่านมา +1

    Nyie nyie viongozi ndio mnaongoza kwa kufanya hiyo biashara

  • @juvenalymwanalyela202
    @juvenalymwanalyela202 16 วันที่ผ่านมา +1

    Bangi ndio huwamnazicho

  • @EmilyTembo-k7e
    @EmilyTembo-k7e 15 วันที่ผ่านมา

    Naomba kakilo kamoja tu niwasaidiye kutupa

  • @juvenalymwanalyela202
    @juvenalymwanalyela202 16 วันที่ผ่านมา

    Acha kupotosha mbona hatujawai kuona mnazichoma au kuzihalibu

  • @JansanMokiwa
    @JansanMokiwa 16 วันที่ผ่านมา

    Nipeni hata kilo moja tu me nitoboe maisha

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 15 วันที่ผ่านมา

    Hilo jahazi chomeni moto kama mnavyochoma bangi,hizo ni mali ya wanene

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 15 วันที่ผ่านมา +1

    ngoja ncheke kwanza hiyo simu iliyo chukuliwa naona jamaa anamwambia iwashe tuone contact za watu ulio kuwa una wasiliana nao mara paaa yule yule tena mzee wa kuletaga mzigo na majahazi na huu ni mzigo wake 🤣 ila wapakistan mbwa kabisa awa sisi huku uwa tunawaita wapaka kila ishu wao wamo 🤦‍♂️🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪

  • @AlimuIddi
    @AlimuIddi 16 วันที่ผ่านมา

    Pumbavu umekata mkundu wako nenda ukauze uongopee umechoma moto

  • @AbdillahSalimu
    @AbdillahSalimu 15 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe Huna uwezo wakuzuwia hiyo biashara wee..kwasaabu kuna wakubwa walio kuzidi hicho cheo unacho jigamba nacho ndio biashara zao wanazo zifanya.kataa ukubali siri ndio hiyo..jigambe na hizo walizozikamata lakini kuhusu kukomesha hiyo kitu sahauu.. labda ujitowe muhanga huwa tumbue hao wazee walio pasisha kura yako ya wewe kuwepo hapo 😢

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 15 วันที่ผ่านมา +2

      Kwa hiyo aache hiyo kazi uifanye wewe!
      Wewe Huna ndugu yako aliyeathirika na madawa??
      Uwe na akiba ya maneno ndugu yangu!😢😢😢

    • @yudachelango6824
      @yudachelango6824 15 วันที่ผ่านมา

      ​@@dorothmsuya1686JITAHIDI kuelimisha ndugu zako, kwasababu hii biashara haiishii hapo. Huwezi kukomesha wizi Kwa kuwataka wenye maduka kuimalisha ulinzi

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 15 วันที่ผ่านมา

      @yudachelango6824 wewe Huna ndugu wa kuwaelimisha???

    • @SakinaValy
      @SakinaValy 10 วันที่ผ่านมา

      Ivi unajua kama siku izi watu wanatekwa kwa kupitia mtandaon nakuonea huruma broo pole yako

  • @yusuphibrahim-yq9mv
    @yusuphibrahim-yq9mv 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mnaacha kuka mata wanao wtuma mna kamata walio tumwa kharafu mwajisifu

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 15 วันที่ผ่านมา

      Na wao Kwa nn watumwe na wanajua ni haramu ?

    • @yusuphibrahim-yq9mv
      @yusuphibrahim-yq9mv 15 วันที่ผ่านมา

      @emmadora7848 lengo nikuua mzz watatizo sio kukata matawi

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 15 วันที่ผ่านมา

      @@yusuphibrahim-yq9mv matawi nayo yanakazi yake ,kulisha Shina

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 15 วันที่ผ่านมา

    Watanyooka tuu

  • @mwilemwasenga7066
    @mwilemwasenga7066 15 วันที่ผ่านมา

    Dini yaki

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 15 วันที่ผ่านมา

      Naona unaumia na kuteseka na hio dini, Inakuwasha mata.. kama unaweza aiondoe basi'

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 15 วันที่ผ่านมา

    Hao ndo wanasababisha vijana wetu wanakua mateja