HAPANA- Mkemwema Choir (official video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • #mkemwema #gospelsongs #official #hapana
    Karibu usikie na kutazama wimbo HAPANA wenye kumsifu MUNGU na kukujenga kiroho kutoka kwao MKEMWEMA CHOIR.
    KARIBU SANA TUMSIFU MUNGU
    Usisahau ku LIKE, COMMENT na SUBSCRIBE
    Phone No.:0624405955
    Email:vijanachoirmkemwemakasulu@gmail.com
    Wimbo wa injili kutoka Kwaya ya Vijana, F.P.C.T Kasulu Mjini - Kigoma. Tunaamini ukiusikiliza kwa makini wimbo huu, Utabarikiwa zaidi. Asante na MUNGU wa mbinguni akubariki. Amen!
    _________
    Song: Hapana
    Artists:AMkemwema kwaya, F.P.C.T Kasulu Mjini - Mkemwema Choir
    Video Album: UMEINGIAJE?
    _________
    ►Tazama nyimbo nyingine kutoka katika Album ya Video ya UMEINGIAJE?👇🏽👇🏽
    🔘Umeingiaje? ~ • UMEINGIAJE- Mkemwema c...
    🔘Tutafute Kitambulisho ~ • Utafute kitambulisho -...
    🔘Ingolane ~ • INGOLANE- Mkemwema cho...
    🔘Sauti ya Watu ~ • sauti ya watu- Mkemwem...
    🔘Maisha bila lengo ~ • Maisha bila lengo- Mke...
    🔘Tukae tutafakari ~ • Tukae tutafakari- Mkem...
    🔘Mwanamume ~ • Mwanaume - Mkemwema ch...
    🔘Ni faida gani ~ • Ni faida gani- Mkemwem...
    🔘Wewe ni Mungu wetu ~ • Wewe ni Mungu wetu Mke...
    _________
    ►Tufikie kupitia Kurasa zetu za Kijamii
    🔘Instagram ~ / amkemwemakwaya
    🔘Facebook ~ / amkemwemakwayatz
    🔘Twitter ~ / amkemwemakwaya
    _________
    ►Mawasiliano Zaidi
    📞 Simu: +255 755717519
    📩 Barua Pepe: mkemwemachoir@gmail.com
    _________
    Haki zote zimehifadhiwa©2018.

ความคิดเห็น • 59

  • @isackmudo7760
    @isackmudo7760 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo Mzuri sana huu, Tena wa viwango vya Juu sana. Mungu na Awabariki sana

  • @user-gd1yp1tu6g
    @user-gd1yp1tu6g 7 หลายเดือนก่อน

    Moja ya albam nzuri kuwahi kutokea, kila mala huwa sichoki kuzisikiliza nyimbo hizi natamani miaka ijirudi nyuma turudi enzi izo

  • @user-dl4tc7jj2m
    @user-dl4tc7jj2m 5 หลายเดือนก่อน

    Mbalikiwe nyimbo zenu tunazikubali.ujumbewenu ni tosha

  • @charlesmasika7767
    @charlesmasika7767 10 หลายเดือนก่อน +1

    Very heart touching and blessing songs, be blessed and keep it up always.

  • @niyogushimaoscar9248
    @niyogushimaoscar9248 2 ปีที่แล้ว

    Bwana ni mkuu kupita majina yeyote mbarikiwe sana turabakunda cane

  • @robenragira1018
    @robenragira1018 10 หลายเดือนก่อน

    Muhezagirwe chane yani kabisa Imana izobahe igichibo ubujumbe bwiza chane murakoze

    • @Mkemwemachoir
      @Mkemwemachoir  10 หลายเดือนก่อน

      Amen uhezagirwe nawewe

  • @eliyakabwe6251
    @eliyakabwe6251 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtaishi sana mioyoni mwetu kiukweli. Mlikaa sana ROHO hamkukurupuka msikose mnachohitaji kwa jina la Yesu. AMENI AMENI AMENI

  • @sedekiakapepe8996
    @sedekiakapepe8996 2 ปีที่แล้ว

    Imana ishimwe chane!mlakoze imana ibhahezagile ndabhashima chane

    • @Mkemwemachoir
      @Mkemwemachoir  2 ปีที่แล้ว

      ULakoze chane umwana wiMana.

  • @evansonsaseloketobosire7448
    @evansonsaseloketobosire7448 5 ปีที่แล้ว +6

    Albamu hii ya mke mwema ni ya upako mwingi mno .mbarikiwe sana

  • @leeaglepropeller4549
    @leeaglepropeller4549 3 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo wa WANAFUNZI WALIJIFICHA ,tunauombeni

  • @remykagoma3532
    @remykagoma3532 ปีที่แล้ว

    Bonge la Song

  • @MartinMwasyeba
    @MartinMwasyeba หลายเดือนก่อน

    MUNGU awabariki

  • @bigboni3660
    @bigboni3660 3 ปีที่แล้ว

    Aise mom nakumbuka mama angu alivyokuwa mwanakway ivyo ivyo rip mom😢😢

  • @jenymtafya3430
    @jenymtafya3430 4 ปีที่แล้ว +2

    Eee Mungu uwabariki watumishi wako popote walipo Ameni!. Hii albam yenu haijawahi kuchuja we like your songs🙏

  • @godfreymsanya2726
    @godfreymsanya2726 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zenu nazipenda mno zinanibariki sana na kila nikisikiliza najikuta machozi yananitoka nyie watumishi mliimba mkiwa kwenye uwepo wa Mungu na hata kabla ya kutoa albam zenu inaonekana huwa mnafanya maombi sana

  • @lukookitoko9590
    @lukookitoko9590 ปีที่แล้ว

    Amen Amen 🙏

  • @user-ot8zo9mv9y
    @user-ot8zo9mv9y ปีที่แล้ว

    HakikaMNGUapewediuyimbo,zuzakutukuzamkuuwake

  • @ngetichkiprono1834
    @ngetichkiprono1834 2 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo tamu kweli. Tena ulioratibiwa vizuri sana. Hunibariki kila ninaposikia. Barikiweni sana.

  • @davidmutisya2083
    @davidmutisya2083 2 ปีที่แล้ว

    Bwana Mungu awazidishie neema ya kutunga nyimbo zaidi na zaidi...
    Nimezipenda nyimbo zenu, Barikiweni sana.

  • @melvynstevenson6487
    @melvynstevenson6487 3 ปีที่แล้ว +2

    Simply Divine, lovely people and sublime music.

  • @joshuamakau229
    @joshuamakau229 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani huu wimbo nimeutafuta kwa miaka na mikaka.

    • @dgt6303
      @dgt6303 5 ปีที่แล้ว

      Hata mimi yaan siamini kama nmeupata. Kwenye ile album ya mke mwema ndo ulikuwa wimbo wangu bora tofaut na wengi waliopenda mke mwema uliobeba album

    • @robenragira1018
      @robenragira1018 10 หลายเดือนก่อน

      Mi ndo nikaandika kwanza eti hapana nikaukosa kbx sijui nikaandika choir ya wanafunzi ndo nikaona choir mke mwema baba ndo alikua ana kaseti basi ndo tukawa tunaskiliza enzi hizo Mungu awajazie balaka n'a rehema wakamuone Mungu amen

  • @stevenemil2753
    @stevenemil2753 2 ปีที่แล้ว

    Hakika Mungu ndiye mkuu. Mbarikiwe watumishi wa Mungu

  • @zeldalucas8309
    @zeldalucas8309 4 ปีที่แล้ว

    Dumuni saana katika kuomba , miongoni mwaa wenye akili hakuna kama mungu

  • @robertphilimon312
    @robertphilimon312 2 ปีที่แล้ว

    Good song, Mungu awabariki waimbaji wote

  • @nicolausmosesi1839
    @nicolausmosesi1839 4 ปีที่แล้ว

    Yes... Wananifariji Sana kasulu sijui wanatokea nchi gan

    • @sedekiafedrick6667
      @sedekiafedrick6667 4 ปีที่แล้ว

      Nicolaus Mosesi kigoma wilaya kasulu

    • @kelvinchansa3670
      @kelvinchansa3670 4 ปีที่แล้ว

      Please, please I want mkemwema choir songs especially bwana twakutukaza now the songs are blocked at u tube if anyone can send me these songs I will highly Appreciat please please. I m Kelvin in Zambia send via whatsapp 0964282577

  • @festorafael4285
    @festorafael4285 5 ปีที่แล้ว

    Daaa.aiseee nyimbo nxur kila mda ni laxima niskirixeee.mubarikiwe San

    • @abuleeca5133
      @abuleeca5133 5 ปีที่แล้ว

      Festo Rafael wimbo was Mungu ni mkuu mubarikiwe endeleeni kukunza kipaji kwaya kasulu vijana

  • @dorothymbuere5236
    @dorothymbuere5236 2 ปีที่แล้ว

    SAFI SANA .Mkowapi?

  • @eliudenock5517
    @eliudenock5517 5 ปีที่แล้ว

    Hakika bado nyimbo zinaendelea kutubariki sana.

  • @user-pc4fg9pe8t
    @user-pc4fg9pe8t 6 หลายเดือนก่อน

    hoñgelé

  • @kwayavijanakasuruggg1209
    @kwayavijanakasuruggg1209 5 ปีที่แล้ว

    mutuongezee izi nyimbo za kasulu zinatubariki sana ninazisikia sana nikiwa kuwait zinanifariji sana

  • @johnmike2096
    @johnmike2096 4 ปีที่แล้ว

    Nawpenda sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 2 ปีที่แล้ว

    Amen God bless you 🙏🙌

  • @johnmike2096
    @johnmike2096 4 ปีที่แล้ว

    Nawpenda sana

  • @paulsheshe4839
    @paulsheshe4839 2 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe sana 🙏

  • @iradukundaeric2356
    @iradukundaeric2356 6 ปีที่แล้ว

    Ongeleni xana. Kundi la Mungu. Nyimbo zenu baado Zina utamu wake .

    • @eliudmailika8434
      @eliudmailika8434 5 ปีที่แล้ว

      Hakika ni nyimbo zinazonibarik sana,Mungu azid kuwabariki mno

    • @amaniyesaya1366
      @amaniyesaya1366 4 ปีที่แล้ว

      Nawezaje kupata album zenu zote?

  • @makusudijonathan8406
    @makusudijonathan8406 5 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana. Mlifanya kazi kubwa sana.Kazi yenu hii itadumu milele na milele

  • @Multi10091974
    @Multi10091974 5 ปีที่แล้ว

    Amen ! Mungu awabariki sana ! Amen Amen ! Allelluiaaa 👐🏾💙🕊🕊🕊

  • @user-pc4fg9pe8t
    @user-pc4fg9pe8t 6 หลายเดือนก่อน

    mubalikiwe saña

  • @tenct139
    @tenct139 4 ปีที่แล้ว

    Napenda uyu wimbo

  • @aminafweke2810
    @aminafweke2810 4 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana

  • @patrickshukuran7653
    @patrickshukuran7653 5 ปีที่แล้ว

    Napenda kuskiliza nyimbo zetu

    • @abuleeca5133
      @abuleeca5133 5 ปีที่แล้ว

      Patrick Shukuran wimbo wa Mungu ni mkuu mubarikiwe na Bwana yesu

    • @matronanzogela6346
      @matronanzogela6346 4 ปีที่แล้ว

      Hakika Roho wa Mungu yupo nanyi.

    • @danielmayibanzovu207
      @danielmayibanzovu207 4 ปีที่แล้ว

      Mtunzi wa nyimbo hizi ziwa alilolinyonya libarikiwe,walakini waimbaji wote wabarikiwe. D.Nzovu manyovu.

  • @edsonmshirakandi17
    @edsonmshirakandi17 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @henry11781
    @henry11781 5 ปีที่แล้ว

    Please hii album nitaipataje

  • @epimackndayishimiye1856
    @epimackndayishimiye1856 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen mungu awabaliki sana amenth-cam.com/video/eeNy8SVjwU8/w-d-xo.html

  • @firstladymamapasha5770
    @firstladymamapasha5770 5 ปีที่แล้ว

    Nawakubali sana