JE WAKRISTO WANAFAA KUSHIKA SIKU SABATO? GITHURAI 45

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @dasilvajr9647
    @dasilvajr9647 หลายเดือนก่อน +1

    Amina mbarikiwe sana watu wa Mungu ila huku Tanzania mwankema anatoa povu juu ya sabato kama inamkereketa sana.

  • @nchemuwilfredwilfred9572
    @nchemuwilfredwilfred9572 หลายเดือนก่อน

    Amen watumishi wa Mungu. Ninawafuatilia vizuri sana..mbarikiwe sanaaaa.

  • @HappyAlbatross-yx2dc
    @HappyAlbatross-yx2dc หลายเดือนก่อน

    Kazi njema watumishi

  • @GraceNema-h1r
    @GraceNema-h1r 3 วันที่ผ่านมา

    Sabato n ya milele

  • @AareMjungu
    @AareMjungu หลายเดือนก่อน

    much blessed

  • @messiahistheonlyway...3365
    @messiahistheonlyway...3365 3 วันที่ผ่านมา

    Wa congo wanasema ukweli kabisa....

  • @MisabikoSaidi
    @MisabikoSaidi หลายเดือนก่อน

    Wa congo wamesema ukweli. Yapili luhga imewashida kuelewe

  • @petermochengo8647
    @petermochengo8647 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwalimu wa congo hajielewi maana amri kumu alizozivunja musa Mungu ndiye Aliyeziandika tena soma kutoka 34:1-5

    • @petermochengo8647
      @petermochengo8647 หลายเดือนก่อน

      Hakika wanatumia vibaya maandiko

  • @sammyngunjiri3897
    @sammyngunjiri3897 หลายเดือนก่อน

    Sabato ni agano ya kale yenye iliishia msalabani

    • @Mutethia-yf3pr
      @Mutethia-yf3pr หลายเดือนก่อน +1

      Toa andiko inayosema sabato ilisha msalabani

    • @patrickmaina9085
      @patrickmaina9085 หลายเดือนก่อน +1

      Andiko toa sio maneno tupu

    • @zebrakacole5822
      @zebrakacole5822 หลายเดือนก่อน

      Sabato ni muhuri wa Mungu hata milele, kushika sabato ni kuyatimiza maagizo ya Mungu. Sabato ndiyo alama ya Mungu kwa watu wake wampendao. Ni lazima Sabato ishikwe nakuhieshimu milele Amina.

    • @sammyngunjiri3897
      @sammyngunjiri3897 22 วันที่ผ่านมา

      @@zebrakacole5822 kwa nini mitume na kanisa la kwanza hawakusanyiki io siku yenu ya sabato

    • @sammyngunjiri3897
      @sammyngunjiri3897 22 วันที่ผ่านมา

      @@Mutethia-yf3pr Ephesians 2:14-15👂👂