UZINDUZI KITABU CHA YANGA | Hotuba kamili ya Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.ย. 2024
  • Ni hotuba ya mgeni rasmi katika uzinduzi wa kitabu cha historia ya Yanga, uliofanyika usiku wa Juni 15 Hyatt Hotel Dar es Salaam.
    Huyu ni Naibu Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Dotto Biteko ambaye amezungumza mengi ikiwemo kuonya klabu za mpira kuepuka migogoro, mipango ya serikali kuendeleza michezo Tanzania, lakini pia ameitaja timu anayoshabikia Tanzania.

ความคิดเห็น • 19

  • @MugabepeterMagai
    @MugabepeterMagai 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kama ww ni mwananchi sema,, YANGA Oyeeeeeeee ❤

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu tusaidie ili furaha yetu iendelee kudumu kwa wachezaji wetu,viongozi wetu,hata sisi mashabiki Neema na Baraka zake Mwenyezi Mungu ziwe nasi sote🎉🎉🎉🎉

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa yupo smart sana

  • @petersynto2043
    @petersynto2043 3 หลายเดือนก่อน +4

    Najivunia kuwa mwananchi ❤❤❤

  • @elidadi1351
    @elidadi1351 3 หลายเดือนก่อน +4

    Big up sana kwa klabu yetu Ya Yanga

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 3 หลายเดือนก่อน +3

    Asante Mwenyezi Mungu Kwa Kunichagulia Timu Yenye Furaha, Na Viongozi Wanaotamani Mafanikio,Amen, 🙏🙏🙏🎉🎉🎉🎉💛💛💛💛💚💚💚💚💚👏👏👏👏👏👏💛💛💛💚💚💪💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏✅✅✅✅

  • @TwahirMohammed-x2h
    @TwahirMohammed-x2h 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera yanga kwa uzinduzi wa kitabu kizuri daima mbele nyuma mwiko🎉🎉🎉

  • @cleophacemasole
    @cleophacemasole 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nampongeza Sana Mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Samia Sulihu Hasani. Kwa maelekezo yake kwa Vilabu vya soka nchini kuacha tabia ya kuleta migogoro na badala yake wawe wepesi kushirikiana na Viongizi wao kuleta mafanikio ya Timu zao. Asante sana Mama.

  • @MuhungaMasengo-og3vk
    @MuhungaMasengo-og3vk 3 หลายเดือนก่อน +5

    Aliwahi kusema mtumishi wamungu nileteheni awa vijana

  • @jumannebasesa1100
    @jumannebasesa1100 3 หลายเดือนก่อน +1

    Great Job 🎉🎉

  • @CharlesElias-zh5hz
    @CharlesElias-zh5hz 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kitabun kitapatikana wapi nikitaka

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 3 หลายเดือนก่อน +1

    Allaah Akbar

  • @frenkabdalla5884
    @frenkabdalla5884 3 หลายเดือนก่อน

    Baraaa

  • @sevelintino6181
    @sevelintino6181 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ivi mbona simba mmeiachaniza hivyo viongozi

  • @stafordbusumbiro2810
    @stafordbusumbiro2810 3 หลายเดือนก่อน +4

    Yanga mmekuwa kioo. Mtabaki kuwa dira ya nchi katika nyanja ya mchezo wa mpira wa miguu.
    GSM, Eng. Hersi na jopo lako mmeiheshimisha Yanga na Tanzania.
    Matukio ya aina hii ni adimu ktk Afrika na hata duniani.
    Yanga mmekuwa waasisi wengone watafuata.
    Tunaiombea Yanga ifike mbali katika mafanikio ya Uwanjani ili ilitanhazr taifa letu.

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 3 หลายเดือนก่อน

    Kitabu Cha Tanga mnaaxha kuzindua kitabu Cha magufuli arie tujengea madaraja mahospital mabarabara reo tunatembea bra foreni ety mnazindua kitabu Cha Tanga hovyo kabisa

    • @DoreenMlay-e8g
      @DoreenMlay-e8g 3 หลายเดือนก่อน +1

      nyooooo huo ni wivu fal wee yanga walipigania uhuru boya wee