RAIS SAMIA - "WANAIITA SERIKALI ya WAUAJI - KIFO ni KIFO - DAMU ya MTANZANIA ITUUME"......

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 323

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  3 หลายเดือนก่อน +5

    💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm

  • @glorykastai3996
    @glorykastai3996 3 หลายเดือนก่อน +9

    Sisi tupigeni dua tu maji na mafuta yatatenganishwa na Mwenyezi Mungu muumba mbingu na nchi amina.

  • @TallnesOlden
    @TallnesOlden 3 หลายเดือนก่อน +15

    Samia must go

    • @happymrema7487
      @happymrema7487 3 หลายเดือนก่อน +2

      Yes

    • @Josephmkutu13-zo7qd
      @Josephmkutu13-zo7qd 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kabisa

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 3 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe Hangaika tu Unacho kitaka Utakipata Mdogo Wangu

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 3 หลายเดือนก่อน

      AMEAHIDIWA SUPU ATUKANE TU

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 3 หลายเดือนก่อน +29

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

    • @JamesJastin-bg1rx
      @JamesJastin-bg1rx 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwenda zako huko mpuuzi wew

    • @ivonaevarista4654
      @ivonaevarista4654 3 หลายเดือนก่อน +1

      Amina sanaaaa YESU KRISTO MUNGU Mkuu akubariki,,ndie njia yakweli nauzimaaaaaaa

    • @Josephmkutu13-zo7qd
      @Josephmkutu13-zo7qd 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 anazingua​@@JamesJastin-bg1rx

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 3 หลายเดือนก่อน

      @@JamesJastin-bg1rxumeolewa?

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@JamesJastin-bg1rx akwende ninyumba yababa yako hii 😏😏😏

  • @RICHARDJACOBKikungwe
    @RICHARDJACOBKikungwe 3 หลายเดือนก่อน +19

    Upuuzi mtupu,Mungu hatawaacha,ipo selikali ya Mungu ambayo ikiamua hakuna atakayesimama

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 3 หลายเดือนก่อน +25

    Viongozi uliowaweka hawawajibiki na wewe huwawajibishi!!!
    Chama chako kinawatumia vibaya jeshi la polisi mahakama na wengineo
    Na wewe unawakubalia
    Wananchi wanateseka
    Kutekwa mauaji mabaya kila kona
    Sheria nyingine mnazopitisha bungeni zinajenga uovu
    Mnaweka kundi la watu kuwa juu ya sheria
    Hii ni hatari

  • @khalidmdotta3843
    @khalidmdotta3843 3 หลายเดือนก่อน +17

    Rais naye analalamika jamani hatuna kiongozi

  • @3349-c7l
    @3349-c7l 3 หลายเดือนก่อน +16

    Waliotekwa warudi tu hakuna kingine rais wangu

  • @Moses-x7o
    @Moses-x7o 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu tusaidie tanzania na viongozi wetu wape neema zaidi

  • @MabulaMalembeka
    @MabulaMalembeka 3 หลายเดือนก่อน +26

    mimi nimejitahidi kukusikiliza kwa umakini mkubwa, lakini sijakuelewa!! labda wengine watakuelewa.

    • @twaibumikidadi7377
      @twaibumikidadi7377 3 หลายเดือนก่อน

      Kachanganganyıkıwa lile dili limefumbuka
      walitaka kumpoteza kımya kımyaaa
      Sasa kwanini hukusema kıpind choote hıkı
      leo umesımama
      KWA SABABU ALİCHUKULIWA NA POLİS NA WATU WANAONA KISHA MTU KAFA SASA SUSPECTED N NANI ?????

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu ndiye hakimu wa haki atahukumu kwa haki

  • @VailettyShigerla-fw2sg
    @VailettyShigerla-fw2sg 3 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu atawaona

  • @hoseamwambambale3503
    @hoseamwambambale3503 3 หลายเดือนก่อน +14

    Anajua kutoa maneno mazr na ya kistalabu na maneno ya mdomoni na moyo ungekua ivo bas ingependeza sana

    • @zaytunhijja6771
      @zaytunhijja6771 3 หลายเดือนก่อน

      Unaujuaje moyo w mtu

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 3 หลายเดือนก่อน +2

      hana lolote muuaji tu halafu anajiita mama huku anasema kifo ni kifo tu angekufa ndugu angeyasema haya

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@hamisimuhunzi7916 yaaaani halafu anaongea ki wepesi sana utadhani wanaokufa ni midori

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndiyo mpumbavu, kwanini mlalamike wa chadema kibao kibao na kutaka kuandamana,ameuliza kwanini. Iwe ni huyo tu.

  • @saidymbagalla6622
    @saidymbagalla6622 3 หลายเดือนก่อน +9

    Hapa hatuna raisi wallah

    • @LucyNgowi-m5z
      @LucyNgowi-m5z 3 หลายเดือนก่อน

      Kwakweli😂

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 หลายเดือนก่อน

      Saidi acha kutumia jina feki tumia jina lako halisi... watu wa sampuli yako tunajua mnachofanya

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 3 หลายเดือนก่อน

      Kweli hatuna

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar 18 วันที่ผ่านมา

      Ingekua Mtanganyika mwenzenu mungeyasema ayo km hafai basi mpe baba Ako urais

  • @EREVUKATV
    @EREVUKATV 3 หลายเดือนก่อน +9

    Hii nchi itaakushinda hata kama ww huhusiki katika hili na tunaelew huhusiki lakn chunguza vizuri nyuma kunawez kua na mambo machafu yanaendelea dhidi yako usipoamka usingizini utashtuka kumekucha ni hayo tu!

    • @VeronicaRugoyi
      @VeronicaRugoyi 3 หลายเดือนก่อน +2

      Imshinde mara ngapi atakumbuka shuka kumekucha

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 3 หลายเดือนก่อน +10

    Mama tuseme ukwel iv angetekwa mwanao usingeweza kuwakamata hao watekaj mama cc hatukuelew

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 3 หลายเดือนก่อน

      Bwege wee kaa kinya elewa nini anacho ongea mama yetu, au ndy walewale tutakufatilia.

    • @JesusJesus-ny1sm
      @JesusJesus-ny1sm 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@jumamustapha8254Bwege mwenyewe huna akiri Mpumbavu sana wewe !!!! Huna maumivi sababu aliefanyiwa mauwaji siyo baba yako ni sawa na huyo Rais Samia !!!! Angelikuwa mtoto wake wa kumzaa amefanyiwa hayo angesema visivyoeleweka !!! ??? Kwa kauli zake asigombee Urais kabisa tena hakuna aliempigia kura, kilichomuweka Urais amalize aondoke !!!!!! WaTanzania wameshachoshwa.

    • @simuspot
      @simuspot หลายเดือนก่อน

      @@jumamustapha8254😂

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hamna kitu 😢hapa nikusimama namungu basi ukianza kusema yawengine kama mkuu wa nchi kua mbona kungine hivi hapo mtihani Sanaa mungu awe nasi ukiona watu wanalamika ujue hawaoni kauli ya mkuu wa nchi kusimama imala kwenye matatizo

  • @nyucletkikonamaluhe2274
    @nyucletkikonamaluhe2274 3 หลายเดือนก่อน +19

    Mtu anakamatwa kwenye bus la abiria na anauwawa alaf hapo useme ety siyo sawa watu kupiga kelele mama kuwa na huruma ujue upande mwingine watu Bado Wana hasira

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 3 หลายเดือนก่อน

      Bwabwa wee.

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd 3 หลายเดือนก่อน

      Kwan kupangwa ni nn ishu ni watu wakamatwe

    • @MACHAGGECHACHA
      @MACHAGGECHACHA 3 หลายเดือนก่อน

      Niliishasema hilo jike lenu raisi ni balaa tupu. Lilianza kuyumba tangu walipomuuwa Magufuli, Viongozi wa ccm ni waongo, majizi, mavivu na corrupt.Kwa sasa TZ inanuka na maskini ndiyo wanaumia.

  • @MosesMwakalibule
    @MosesMwakalibule 3 หลายเดือนก่อน +5

    Nimemsikiliza kwa umakini lkn cjakuelewa......

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u 3 หลายเดือนก่อน +9

    Shida kifo na utekaji kushutumiwa kwa Jeshi la Polis pia issue ya Trump mkuu wa ujasusi alijiuzulu mbona Tz hakuna aliewajibika

  • @gulalakitinya7615
    @gulalakitinya7615 3 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu hana sifa ya urais.

    • @LucyNgowi-m5z
      @LucyNgowi-m5z 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar 18 วันที่ผ่านมา

      Kwasababu sio mwenzenu ila angekua nakichogo tu mungemkubali😂😂😂

  • @abednego3876
    @abednego3876 3 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂 Haki ya mungu tutaona na kusikia mengi.

  • @matiredms917
    @matiredms917 3 หลายเดือนก่อน +18

    Wewe unaua kwa ajili ya Urais ambao unautaka kwa udi na uvumba. Hatukukubali ng'o. Ondoka. Tuachie nchi yetu imekushinda. Ali Kibao ameuwa kwa utashi wa Watawala.

    • @mbwanarajab7238
      @mbwanarajab7238 3 หลายเดือนก่อน

      Mdomo utakuponza kwa ujinga wako
      Nyie ni wanafiki wakubwa na mashetani
      Wakati watu wanauwawa wakat wa jpm mliona maaskofu wakisema lolote?
      Wanafiki tu ndio na sisi hatuungani kwani nyie hampendi haki na mnaangalie yale tu ambayo mna maslahi nao
      SHETANI WAKUBWA NYIE , MWACHENI MAMA AFANYE KAZI YAKE NA BADO ANA MIAKA MITANO MINGINE ATAKAYO PITA BILA KUPINGWA.

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@mbwanarajab7238ndio aondoke zake mama muuaji atuachie nchi yetu

    • @nicodemusjohn6474
      @nicodemusjohn6474 3 หลายเดือนก่อน

      Watu tumechoshwa na ujinga wanao ongea hawa watawala wa serikali ya samaki. ​@@mbwanarajab7238

    • @samasob8233
      @samasob8233 3 หลายเดือนก่อน

      @@mbwanarajab7238 kwani watu hawakuuwawa wakati wa kikwete? au mwinyi? na maaskofu walisema nini? acha kutuletea habari usizofahamu, kwa ufupi tu ni kwamba watu wanauwawa, wao wamekaa kimya! tuelewe nini? watu wengi wamekufa, anasema kifo cha mtu mmoja. Acheni kutuzingua

    • @matiredms917
      @matiredms917 3 หลายเดือนก่อน

      @@mbwanarajab7238 Wewe zuzu umetawaliwa na ujinga usenge na uzuzu wa kupooza akili.

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akubariki saaana Mhe SSH, ujumbe umefika mubashara

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 3 หลายเดือนก่อน +1

      hatutaki kiongozi chinja chinja kama huyu anayechomoa watu kwy mabasi na kwenda kuwamaliza

  • @WilliamDaniel-hm4cr
    @WilliamDaniel-hm4cr 3 หลายเดือนก่อน +12

    Mm naona anaongea uongo tu

  • @IsaacPhilemon-mt7bk
    @IsaacPhilemon-mt7bk 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kama haya ndo maneno ya rais wa nchi,kazi tunayo inauma,hata kukemea kwa ujasiri hakuna,😢😢😢😢,rais komaa na polisi wote,likitokea lakutokea kwenye eneo lake kazi hana,Magu alifanikiwa hapo kwa kuwakalia kooni askari wa kila eneo,hao ndo vyanzo vya uharifu.

  • @AmosRugaimukamu
    @AmosRugaimukamu 3 หลายเดือนก่อน +11

    Nchi imekushinda mama, kubali tu,

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 3 หลายเดือนก่อน

      Ingemshinda wewe usinge ropoka hayo,amani hiyo.

  • @denismisango6166
    @denismisango6166 3 หลายเดือนก่อน +6

    Rais wangu kemea maovu yanayoendelea mama vinginevyo utaonekana huna saut kwa wananchi wako

  • @EREVUKATV
    @EREVUKATV 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kama mtu anakamatwa kwenye Bus mtu anakamatwa anawekw kweny Noah anapelekw na anapotea ... Na wanaokamata ni police kwanini usizungumze ... Kwann usikemeee kwann usisimame kama Raisi wa nchi ! Kwann ukae kimya ... Kwann

  • @MAMAPETER-bu4kt
    @MAMAPETER-bu4kt 3 หลายเดือนก่อน +1

    Upuuzi tuu niambien kesi ya binti wa yombo iko wapi hii nchi hiii mungu tusaidie😢😢😢😢😢

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 3 หลายเดือนก่อน +1

      Na MAALBINO PALOKO umesahau 😢😢😢😢😢😢

    • @MAMAPETER-bu4kt
      @MAMAPETER-bu4kt 3 หลายเดือนก่อน

      @@OmmyJames-xn7ji ile kesi walisha hukumiwa ommy

  • @MACHAGGECHACHA
    @MACHAGGECHACHA 3 หลายเดือนก่อน +10

    Huyo mwanamke ni zwazwa.!!!

    • @maalimhamad1297
      @maalimhamad1297 3 หลายเดือนก่อน

      Kama mamako

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

    • @bibibomba9799
      @bibibomba9799 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@maalimhamad1297ni zwazwa+zuzu

    • @JonasMbuyah
      @JonasMbuyah 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @DeogratiusMugeye
    @DeogratiusMugeye 3 หลายเดือนก่อน

    safi sana tuko na Mamakizimkazi

  • @rosemaryikamba5288
    @rosemaryikamba5288 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana Mama simama Imara usiyumbishwe .
    Amani ya Tanzania ni muhimu Sana

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 3 หลายเดือนก่อน +6

    Kifo cha kibao alikamatwa na police ndio mahana watu wanamaindi

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 3 หลายเดือนก่อน +2

    Natamani nicoment kitu ila ngoja ninyamaze tu🤐😢😢😢😢

  • @FlavianMtewele
    @FlavianMtewele 3 หลายเดือนก่อน +12

    Namna alivyo kamatwa kibao ndoo kinatutia hofu.

    • @EREVUKATV
      @EREVUKATV 3 หลายเดือนก่อน +2

      Mtu anashushwa kwenye Bus kisha anauwawa kisha ww Mkuu wa nchi unasema Kifo ni kifo ww ungali hai hii inafikirisha sana...angekua mtoto wako ungetoa hiyo kauli ya kifo ni kifo!??

    • @ChristianSiwale-iw7ex
      @ChristianSiwale-iw7ex 3 หลายเดือนก่อน

      Nimeumia sana kusikia kauli ya kusema kifo ni kifo😢😢 angekuwa mwanae angesema hayo kweli mngu twakuomba haya tuyasiliayo na kuyaona uyasikie eemngu wetu😢😢​@@EREVUKATV

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u 3 หลายเดือนก่อน +10

    Embu Kemea CCM kwanza!!! Ndo uje kwetu.

  • @jubajewilson18
    @jubajewilson18 3 หลายเดือนก่อน +15

    Kibao kifo chake ni tatizo. Ametolewa kwenye bus na watu wenye silaha.

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wanaochukuliwa ndani nao hao tusemeje.

  • @saltechnologiesco.ltd.2377
    @saltechnologiesco.ltd.2377 3 หลายเดือนก่อน +4

    Allah atunusuru, Kam'a tadinu tudanu.

  • @hatibumohamedi3471
    @hatibumohamedi3471 3 หลายเดือนก่อน

    Zile zama za ufatiliaji ina lillah 😢😢

  • @BensonAmos-jy3zn
    @BensonAmos-jy3zn 3 หลายเดือนก่อน

    Malipo ni hapahapa duniani kwa mungu hakuendi uchafu

  • @alphonceseleph8411
    @alphonceseleph8411 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akusaidie maana kuongoza watu ni kazi kubwa

  • @akramissa3393
    @akramissa3393 3 หลายเดือนก่อน +7

    Hivi kwanini kama kuna jambo msilete Scotland yard kutoka nnke ndo waje kuchunguza?😀

  • @MariaKitonka
    @MariaKitonka 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu apime kwa munzani yake na ashughulike

  • @rosemaryikamba5288
    @rosemaryikamba5288 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana Mama kwa kusimama Imara kama Amiri Jeshi MKUU Mwanamke shupavu 💪wanaiga majirani zetu kenya Hii haikubalilki WATU wachache kuvuruga Armani yetu
    Am very proud of you Mama

  • @عاىشةالصبحي-م6ه
    @عاىشةالصبحي-م6ه 3 หลายเดือนก่อน +9

    Wee mama mie mbona sikusikii kabisa naona unauza sura hapo,

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 3 หลายเดือนก่อน

      Haya ndio yanayoleta vurugu

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 3 หลายเดือนก่อน

      We kuwa makini usije kutekwa labda kama Tanzania

  • @mxfsedtirz
    @mxfsedtirz 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kwa wenzetu wahalifu walishakamatwa kwetu hawajulikani!

  • @isamony58
    @isamony58 3 หลายเดือนก่อน

    Mwakani usigombeee tena bora kupumzikee tu kama raisi anaongeya hivi kwa kulalamika nayy hao polisi wataogopa nn kwann kilakifo polisi mungu mlaze mahala pema magufuli wetuuuuu😭😭😭😭😭😭

  • @leinaamos
    @leinaamos 3 หลายเดือนก่อน +1

    Haya sasa kifo ni kifo

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 3 หลายเดือนก่อน

      Yaaani hiyo kauli alivyoisema tu nikachoka

  • @CharlesMlaponi-h6z
    @CharlesMlaponi-h6z 3 หลายเดือนก่อน

    "Kifo ni kifo" tutafute argument ambazo logical and constructive. Na waandishi andikeni vichwa vya habari zisizo irritate au ukakasi

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mama upo sawa

  • @josephmaduka-xv8yp
    @josephmaduka-xv8yp 3 หลายเดือนก่อน +5

    Tukutane 2025

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 3 หลายเดือนก่อน +5

    SIO WAFUASI WA CHADEMA
    NI WANANCHI WOTE
    SIO HUYO TU.
    SERIKALI YAKO IMEZIDI HAIJALI
    HAICHUKULII MAISHA YA WATU KWA UZITO WAKE
    SERIKALI YAKO NA CCM INAHUSIKA

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 3 หลายเดือนก่อน

    SAF SANA MAMA KUMBE UKO IMARA MUNGU AKUBARIKI

  • @annafredinandmatandiko8438
    @annafredinandmatandiko8438 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hatari

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 หลายเดือนก่อน

    Yeye ana ona kila kitu poa wauaji ni wame pewa green light

  • @allyntunda963
    @allyntunda963 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ok Mungu ataamua

  • @RizwanAbdallah
    @RizwanAbdallah 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli mama

    • @JPO2R69
      @JPO2R69 3 หลายเดือนก่อน

      Tatizo ni pale watu hawawajibiki.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kwahiyo wewe hukutaka tulaani hivyo vifo. Ni huyo huyo ndiye anasema Inchi iko salama. Kemeya vyombo vyako kwa sababu wanainchi hawajauwa hawo watu.

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wasio julikana ndio tatizo.

    • @sophiaommy8343
      @sophiaommy8343 3 หลายเดือนก่อน

      Lakini yeye anawajua

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mama vijana wetu atuwaoni

  • @Venas-uh3wz
    @Venas-uh3wz 3 หลายเดือนก่อน +1

    MUUAJI SAMIA BIBI WA KIZIMKAZI

  • @AhaziAnthony-n2f
    @AhaziAnthony-n2f 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mama tuachie nchi yetu ccm mpigeni i chini huyu mama kesho kuna jerehe zaidi ya hili mtoeni huyu mama

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona hazungumzii waliotekwa na watekaji?😢

  • @yohanakateko
    @yohanakateko 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mama anaongea nini naomba mnieleweshe ndugu zangu

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 3 หลายเดือนก่อน

      Kama hutaki kujua anasema nini usisikilize mbwa wewe

  • @ImaculathaMasuka
    @ImaculathaMasuka 3 หลายเดือนก่อน +2

    Rais Magufuri waliona apa Tanzania hawawez wakachafua mataifa yote.. Rais amesema vifo vichunguzwe na waliotekwa. apate taarifa. Nyinyi mnakataa.

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 3 หลายเดือนก่อน +6

    Nimependa hiyo HIYO SERIKALI?AU SERIKALI YA SAMAKI😂😂

    • @michaelmhina3613
      @michaelmhina3613 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ni ya samaki. Mkubwa kumla mdogo. Hajakosea

    • @mxfsedtirz
      @mxfsedtirz 3 หลายเดือนก่อน +1

      Bora ni ipi ya samaki au ya chura kiziwi?

  • @barakaabel482
    @barakaabel482 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee Butiku@ Mzee Maarufu@

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman5477 3 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏

  • @muhammadkhamis5798
    @muhammadkhamis5798 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kusema2 sio tatizo jee munaifuataa

  • @HeriMohamedi-re7xu
    @HeriMohamedi-re7xu 3 หลายเดือนก่อน +4

    Watanganyika hawajasoma na hawaelewi mauaji Zanzibar hayapo TANGANYIKA kila siku maana yake mtanganyika Hana mtetezi ukiuawawa mwuwaji hajulikani Samia uko sawa nikomeshee watanganyika unawaamsha lakini wao bado wanakoroma

  • @TeodoriLussona
    @TeodoriLussona 3 หลายเดือนก่อน

    Damu ya mutu haitapotea bure mungu ameon yote

  • @frankmichael1968
    @frankmichael1968 3 หลายเดือนก่อน

    This time tomorrow

  • @Dantaata
    @Dantaata 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona sehem nyingine huko duniani wanafanya na wenyewe mauaji,, unaweza ukalia wallah

  • @pastorbarakangata606
    @pastorbarakangata606 3 หลายเดือนก่อน +7

    wajiuzulu kiongozi wa screty service alijiuzulu marekani

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 3 หลายเดือนก่อน

    Msiue watu, wote tutakufa

  • @MohadiTv
    @MohadiTv 3 หลายเดือนก่อน +1

    Je magufuri

  • @kazinaimwishehe-ec3xu
    @kazinaimwishehe-ec3xu 3 หลายเดือนก่อน +4

    Drama tu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 3 หลายเดือนก่อน

    Mama samia acha. Unafki ww unasema uchunguzi baada yaa kusikia watu wanataka kuandamana

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 3 หลายเดือนก่อน

    Subirini mtayajuwa hadi ya nyuma ya pazia,yatawashangaza

  • @mashakathobias1958
    @mashakathobias1958 3 หลายเดือนก่อน

    Neno la hekima na busara linanguvu zaidi ya maneno elfu ya kejeri, dharau,matukano,kwa sababu neno la hekima linaleta tumaini kwa watu,linawaunganisha watu,na linaponya mioyo iliyojeheruka.

  • @lammohreports
    @lammohreports 3 หลายเดือนก่อน

    Uko sure si wewe uliua magufuli😢

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 หลายเดือนก่อน

    Waliopotea wapatikane ili twende sawa Mh Rais

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 3 หลายเดือนก่อน

    RAIS wew ni busara saana watu wanauliwa usiku na mchana kila siku matukio wew toa tamko atakae uwa awwawe operation ianze mauwaji yatapunguwa na yatakwisha

  • @MwajumaMsimuwilliam
    @MwajumaMsimuwilliam 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi ndugu yako anauwa huna ruhusa ya kulia ni Jambo la kawaida kuuwawa. Kweli hii nchi ni nchi ya amani na utulivu.😭😭😭

  • @abdalahasuman8740
    @abdalahasuman8740 3 หลายเดือนก่อน

    Uwiiii😂

  • @PetroPhilemonmimbi-y5m
    @PetroPhilemonmimbi-y5m 3 หลายเดือนก่อน

    Mkuki kwa ngurure 👉🧍mchungu

  • @ndaimtambo8845
    @ndaimtambo8845 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mama ilabasi😮

  • @muhammadkhamis5798
    @muhammadkhamis5798 3 หลายเดือนก่อน +3

    Unachekesha qweli ww eti mmoja2 duh

  • @lukasielibariki3181
    @lukasielibariki3181 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbukeni mtakufa

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 3 หลายเดือนก่อน

    Kumbe mmeshikwa pabaya
    Sasa mtaeleqa kıpındı hıkı you must go
    Uliona Kwa Ruto sasa inakuja kwakooo

  • @am2323tze
    @am2323tze 3 หลายเดือนก่อน

    Nasikia CHADEMA wanauwana

  • @eliassabbath2480
    @eliassabbath2480 3 หลายเดือนก่อน +1

    Chadema wahuni sana

    • @pastorbarakangata606
      @pastorbarakangata606 3 หลายเดือนก่อน +2

      akili ni ya muhimu wanaoitawala nchi hawatoi elimu sahihi ili watawale wajinga kwani alieruhu vyama vingi nchini ni nani na walio hamasisha watu wauende vyama na wakasajili ni akina nani na kwanini leo ccm waonekane wana haki yakulindwa ila chadema kukamatwa

    • @michaelmhina3613
      @michaelmhina3613 3 หลายเดือนก่อน

      Utakapowaona chumbani kwa mamako ndipo utakapowaheshimu. Kenge we!

    • @vicentbunzal7342
      @vicentbunzal7342 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe na ccm ndo wahuni,watu wanaongea jambo la msingi wewe unaleta nyegeee zako humu,utatiwa kidore gumba ww

  • @AishaOman-k6f
    @AishaOman-k6f 3 หลายเดือนก่อน

    Rais.wangu.usikasirike.kinachotakiwa.uwarekebishe.hao.viongozi.uliowachagua.mambo.wayofanya.nimabaya.sana

  • @AminAbubakar-ye8vw
    @AminAbubakar-ye8vw 3 หลายเดือนก่อน +3

    Waliotekwa waludi uchunguzi usionamajibu hatuutakimamayetu

  • @CharlesMlaponi-h6z
    @CharlesMlaponi-h6z 3 หลายเดือนก่อน

    Kifo ni kifo tu. Raisi amenena vzr. Imagine walinzi waķe wasifanye vzr hatalaumu na kuwawajibisha. MKUKI KWA NGURUWE. WATU WAFIKIRI ZAIDI. KUNA PEPO ZA KUSI NA PEPO ZA KASKAZI

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hawawezi sema kwasababu katekwa hadharani na kuuliwa tumkemee mwenye smg🙄🙄🙄

  • @deonicemollel4205
    @deonicemollel4205 3 หลายเดือนก่อน

    Samia ondoka achia kiti bana

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 3 หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo wangemuuwa abduli usinge ongea na ungewakamata waongeaji la wenoma

  • @AkidaDaudi
    @AkidaDaudi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiwanyamazia chadema Ni vigego walioshindwa maisha kwaiyo wanataka njia ya mkato,kamata Tia ndani.

    • @CharlesMwakajinga-r5d
      @CharlesMwakajinga-r5d 3 หลายเดือนก่อน

      Nyie halijawapata chadema niwahanga mpaka tundulisu anachechemea chadema nikuku nyie ndiyo binadamu haikubariki

    • @michaelmhina3613
      @michaelmhina3613 3 หลายเดือนก่อน

      🤔🤔