Duh!! Sasa hapa tukitazama upande wa kulipwa kwa mujibu wa nia itakuaje huko akhera maana qaswida zenyew ni majungu na kusemana tu allah atusamehe mupatane hapo nyie waislam achen ujinga
Apo ujumbe umefika hapana fitina iyo kasida ina ujumbe mkali ndo ulo kuchanganya wewe km watu hawaelewani ivo Una sema wewe ila vijana ujumbe ndo washaufikisha utajua weye sasa
Bhs sawa mwalim la muhim allah ndo mlipaji km kweli hii qaswida ilikusudiwa kheri na ujumbe kwa watu wengne bhs allah atamlipa kheri huyo muimbaji na hao waitikiaji km alikusudia ujumbe huo kuwasema watu ni si kumsifu mtume allah atamlipa vle vle mwalim wala hkn ugomvi na ushari hapa wa kimaneno kati yangu na kt yko allahu aalam
Khalid bin Walid Simba wa Zanzibar 💯💯
Mashalaah
Nnavopenda hizi qasda za kharid bin walid
Ghazali mnajuwa sana. Qaswida ZENU nazipenda sana
❤❤❤😂😂😂❤❤😂😂😅😅😅 atuna ubaguz na nyinyi
❤i see
Kwaiyo mtkuja wapi ukiwa ghazar Masha tengana kiudugu,
El ghazal mnajuaa
🎉
Ghazzar hawana munadhwama hawajui kucheza kbsaaaaaaaaaaaaa
Simba wa zanzibar endelea kunguruma dar-esalam waache wajiulize
Apo apana fitna kasida Kali sannnnnaaaaaaa uo ujumbe umefika
Duh!! Sasa hapa tukitazama upande wa kulipwa kwa mujibu wa nia itakuaje huko akhera maana qaswida zenyew ni majungu na kusemana tu allah atusamehe mupatane hapo nyie waislam achen ujinga
Apo ujumbe umefika hapana fitina iyo kasida ina ujumbe mkali ndo ulo kuchanganya wewe km watu hawaelewani ivo Una sema wewe ila vijana ujumbe ndo washaufikisha utajua weye sasa
sikiliza uzur qaswida😅
Bhs sawa mwalim la muhim allah ndo mlipaji km kweli hii qaswida ilikusudiwa kheri na ujumbe kwa watu wengne bhs allah atamlipa kheri huyo muimbaji na hao waitikiaji km alikusudia ujumbe huo kuwasema watu ni si kumsifu mtume allah atamlipa vle vle mwalim wala hkn ugomvi na ushari hapa wa kimaneno kati yangu na kt yko allahu aalam
Akisema mtume akisema cc nani tumpinge nn