🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 47

  • @salumlugome5886
    @salumlugome5886 7 หลายเดือนก่อน +2

    Islaah🔥🔥

  • @IBRAHIMABDALLA-rv6tk
    @IBRAHIMABDALLA-rv6tk 5 หลายเดือนก่อน +1

    Majungu yametawala sana pigeni dufu la heshma bwana

  • @ghazzaalthani
    @ghazzaalthani หลายเดือนก่อน

    bin walid🔥🔥

  • @ChiWollschlager-n5k
    @ChiWollschlager-n5k หลายเดือนก่อน

    Aufderhar Highway

  • @MuzafarSaid-k8w
    @MuzafarSaid-k8w 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mmeingia choo Cha like mmeshikwa pabaya..ttzo lenu Khalid kasida zenu sio za ushindani nyepesi mno ni za kujibembeleza wenyewe na boss wenu Basi nyinyi hamna kasida za kazi.unakaa na mtu mzito unapiga kasida Kama upo harusini..hii aibu kwa swifu..

  • @zenahymayolah-7591
    @zenahymayolah-7591 7 หลายเดือนก่อน

    Islah amna jambo

  • @JosephYarro
    @JosephYarro 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amjui tuin watu weng wa umu tuin mbili tofaut lakin khalid kaswid inaeleweka kila mtu anawez kuimb mkubw mtoto mzee khalid wapo wizur islah zama zao zime isha wat wa visiwan kiukweli wanajua bara aliyekuw anatu okoa ni islaah lakin sasa hawana jambo hata ukimleta mtu yoyote kutoka bara hawez akatoka hkalid anauwezo mkubwa sana

    • @SaidSaid-rb3jw
      @SaidSaid-rb3jw 4 หลายเดือนก่อน

      Khalid amewaka kipindi kizr tu madrasa nyingi bara ziko hovyo
      Kwan wenzie kina sifa ya zenji muumin dakshi
      Zainu na nyengine zilikuja bara wakakuta watu wako sawa

  • @MuzafarSaid-k8w
    @MuzafarSaid-k8w 7 หลายเดือนก่อน +1

    Na ndo Mana kila siku Hassan nenga anasema nyinyi bado kidufu mnapenda tu ukubwa kumbe mwalimu kasema kweli .kupigwa uwanja wa nyumbani aibu aisee.watafuteni wataamu waliinue darasa ilo kwa Hali iyo mtagongwa Sana mashekhe Sana,,islaba ao so watu wazuli kwenye gemu ya watu wawili.

    • @Kamati-vlk
      @Kamati-vlk 7 หลายเดือนก่อน +1

      Acha unafiki wa kutaka kugombanisha watu kwa kutaja jina la mtu ikiwa unajua unayemtaja ni kiongozi wa swifa je lengo lako kuonekana mjuzi wa habari au?

  • @bafeezmsauz3908
    @bafeezmsauz3908 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda Khalid hadi naumwa hawajawahi kukosea,nawaambie kina fulan kumpiga chura teke haumkomoi unamzidishia mwendo tu

  • @bongonewzonlinetv2552
    @bongonewzonlinetv2552 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asalam aleykum kihaki khalid amepigwa bila ubishi naomba dufu na qaswida sasa katika karne hii limebadilika sana kwa ushauri khalid madilisheni mfumo lasivyo mtaona watu wanawapinga hali ukweli unaonekana labda niseme hao islaa amuwawezi haswa kwenye jamvi la piga nikupige .BADILIKA

    • @SaidSaid-rb3jw
      @SaidSaid-rb3jw 4 หลายเดือนก่อน

      Ama akitaka akae nae sawa asimame kwenye mstari wake asitake kushambulia sana wakat tune yake ni ya chini

  • @abasijoseph8846
    @abasijoseph8846 7 หลายเดือนก่อน

    hii iludiwe dar es salaam

    • @SaidSaid-rb3jw
      @SaidSaid-rb3jw 4 หลายเดือนก่อน

      Muhimu.... Labda khalidi atarekebisha makosa yake

  • @bafeezmsauz3908
    @bafeezmsauz3908 7 หลายเดือนก่อน +1

    Islaa chali pwapwaaaa

    • @SaidSaid-rb3jw
      @SaidSaid-rb3jw 4 หลายเดือนก่อน

      Katika watu hawaikubali islaha mi mmoja wapo... Ila hii jamvi islaha hajafa hata kidogo... Ila ni maono yangu tu

  • @hassanikhamisi
    @hassanikhamisi 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tutajipanga tena tem kha

  • @suleymaniadinani9080
    @suleymaniadinani9080 9 วันที่ผ่านมา

    Khalid hamn kitu kabisa Islaah ni moto wa kuotea mbali

  • @ismailsalum6574
    @ismailsalum6574 7 หลายเดือนก่อน

    quality mbovu kabisa

  • @AliRamadhan-t5h
    @AliRamadhan-t5h 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi iyo mjinga we

  • @hafidhalawi8780
    @hafidhalawi8780 7 หลายเดือนก่อน

    Islaah 💥 Wamoto . Khalid mnadufu la 2010

  • @Husseinkawambwa-s6d
    @Husseinkawambwa-s6d 7 หลายเดือนก่อน

    Khaleed amuweziii islaaaah

  • @EdyAsia-f6f
    @EdyAsia-f6f 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hatar

  • @AliRamadhan-t5h
    @AliRamadhan-t5h 7 หลายเดือนก่อน +3

    Halidi moto

  • @MuzafarSaid-k8w
    @MuzafarSaid-k8w 7 หลายเดือนก่อน

    Ndugu zetu Khalid hili halina ubishi mmegongwa na islaha Safi kajifunzeni Tena.

  • @abdiomar6832
    @abdiomar6832 16 วันที่ผ่านมา

    HII NI NGOMA KAMA ILIVYO TARAB

  • @MkekenaIddy
    @MkekenaIddy 14 วันที่ผ่านมา

    Khalid shughuli Yao islah kakimbia aliona ataaibika huku bara

  • @salumhaji2490
    @salumhaji2490 7 หลายเดือนก่อน

    Khalidi kapigwa mpaka kama ngoma unachezeaa islah weee

  • @SalumHassan-h8l
    @SalumHassan-h8l 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ixlah moto

  • @SekaMaster45
    @SekaMaster45 7 หลายเดือนก่อน

    Jamni ISLAAH wamoto nyie Achen majungu

  • @maarufumustwapha3055
    @maarufumustwapha3055 7 หลายเดือนก่อน

    Wote humu mnaropoka hamjui dufu ni nini

  • @MuzafarSaid-k8w
    @MuzafarSaid-k8w 7 หลายเดือนก่อน

    Islah mtu kazi hapotezi majamvi Ayo sisi swifa tuna muelewa vizuri tu..kasida y kwanza tu islaha kamaliza shughuli..mbwana kaeni chini badilikeni acheni mziki uo baridi fanyeni kazi changamkeni la sivyo mtapigwa Sana mashekhe dufu siku hizi limebadilika sio ilo la kwenu la kizamani.

    • @dullnach2310
      @dullnach2310 7 หลายเดือนก่อน

      Kama demu

  • @hafizpur1406
    @hafizpur1406 7 หลายเดือนก่อน

    Halid mot ww

  • @MuzafarSaid-k8w
    @MuzafarSaid-k8w 7 หลายเดือนก่อน

    Khalid mmetutia aibu swifa.mnataka tu ukubwa lkn kiduhu bado Sana under ground ..ushauli wetu shekh omari mmadi tafuta wataalamu wakutungie kasida na miziki iyo twini yenu ya ovyo Sana kasida slow na miziki imepoa Sana Haina sterio,mmetuvua nguo mabwana sisi tulimtuma mtu wetu kuja kuangalia Ayo maagano lkn pia tumeona kwenye midia mmefeli ndugu zetu badilikeni changamkeni.

    • @razaally3567
      @razaally3567 7 หลายเดือนก่อน

      Mfitinishaji... Ww sio wa swifa mnafik

    • @JosephYarro
      @JosephYarro 4 หลายเดือนก่อน

      Ujui dufu we darasa gan swifa nA KHALID TUIN ZINA FANANA

    • @JosephYarro
      @JosephYarro 4 หลายเดือนก่อน

      Ujui dufu nahis ujawa kuwaona live hawa watu yani swifa labda wawe mara 10 NDO wata weza at kupumua😅

    • @MuzafarSaid-k8w
      @MuzafarSaid-k8w 4 หลายเดือนก่อน

      Duh?? Hi comment Mimi nimetuma kitambo Sana bado ndugu zangu mnatoa povu.kumaanisha nyinyi wabovu Mana mngelikua mnajua walau kidogo tu Basi msingeliongea kitu,,kubalini tu islaha kakunyambeni tu na mkubali tu kua nyinyi khalidi mziki balidi bado Sana bado.jipeni matumaini ivo ivo kma na nyinyi mnajua lkn ukweli kwa uko kwenu zanzibar madrasa zinazojua mbili tu kwa tatu safina nnajaah.zafina pwida na ghazali ya kidingi Basi mliobaki wabahatishaji tu..toeni povu lkn ukweli ndio uo.msiforce ukubwa ndugu wakati uwezo mdogo.

  • @salimuabubakari8280
    @salimuabubakari8280 6 หลายเดือนก่อน

    MAMBO KUMI KATIKA MTANANGE HUU.
    1.Kwanza maagano yalikua mazuri pongezi kwa khalid kuandaa mtanange huu.
    2.Farhan anaimba sana na anasikika anachokiimba,islaah tanzania wana usasa katika qaswida kelele zipungue.
    3.Khalid kapiga dufu zuri,islaah wana vionjo vingi vya kimjinimjini,kwa waungwana wanaweza kukataa fujo hizo.
    4.Kuchanganya mwanamke na wanaume kuimba karibu karibu tunawapa mawahabi point ya kuzungumza.
    5.Islah wamecheza sana kuliko khalid.
    6.Tupunguze kuchanganya vionjo vya nje vya vichekesho vinaharibu qaswida (usiseme hivyooooo)
    7.Qaswida zetu zitoe funzo au ujumbe makhsusi.
    8.Uchezaji wa fujo haupendezi.
    9.Makofi si katika mila ya uislamu,labda mtuambie sasa tunapiga qaswida kwaya.
    10.KAMA MMEKWAZIKA NISAMEHENI , UKAMILIFU NI WA ALLAH

    • @ayubusalum4487
      @ayubusalum4487 6 หลายเดือนก่อน

      We jamaaa nimtu San umeongea point kubwa san kk hakun kitu ulichokosea kbs nakup %100 kwaulichooongea

    • @abdiomar6832
      @abdiomar6832 16 วันที่ผ่านมา

      KWANI FIKRA ZENU ICHO MNACHOKIFANYA KIMO KATIKA DINI JIPE MOYO IZO NI NGOMA TU KAMA NGOMA ZENGINE KATIKA UISLAMU HAKUNA MAMBO HAYA

  • @Is-mailHaruob
    @Is-mailHaruob 7 หลายเดือนก่อน +1

    Halid hii mume pigwa kamtudanganyi ata kidog

  • @KhafidhmzeeAwesu-rs3gm
    @KhafidhmzeeAwesu-rs3gm 7 หลายเดือนก่อน

    Khalid hamnakitu

    • @JosephYarro
      @JosephYarro 4 หลายเดือนก่อน

      Ujui dufu