NOTI ZAONDOLEWA KWENYE MZUNGUKO, BANK KUU YA TANZANIA RASMI YATANGAZA KUONDOA NOTI ZOTE ZA ZAMANI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 102

  • @AlbertSabo-hp3ss
    @AlbertSabo-hp3ss หลายเดือนก่อน +6

    Wanamuweka Mama kwenye noti, otherwise sioni sababu walizotoa zinamashiko.

  • @sankajoseph4627
    @sankajoseph4627 17 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana kazi kazi

  • @EmmanuellMunishi
    @EmmanuellMunishi หลายเดือนก่อน +8

    Sawa lakini nashaur tuweke vivutio na maliasili zetu na sio kuweka picha ya mtu ni maoni yangu tu

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 หลายเดือนก่อน +1

      Sahihi,waweke hata mlima Kilimanjaro.

    • @husseinhatibu-uw6ql
      @husseinhatibu-uw6ql หลายเดือนก่อน

      Vivutio vimvutie nanii

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles หลายเดือนก่อน +2

      @@husseinhatibu-uw6qlvimvutie baba yako kijana wa hovyo mno😂😂

    • @YustinaNemes
      @YustinaNemes หลายเดือนก่อน

      😅😅😅
      ​@@LatifaCharles

    • @bonifasiemanueli21
      @bonifasiemanueli21 18 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@LatifaCharlesKiukweli umenichekesha sana Ktk hiyo comenti yako

  • @leticiamakoye4871
    @leticiamakoye4871 หลายเดือนก่อน +5

    BWANA YESU kiristo wa nazaleti uirehemu tz

  • @MohamedMohamed-d4n3e
    @MohamedMohamed-d4n3e หลายเดือนก่อน +4

    Yaan mkapa hajawekwa, kikwete,mwinyi,magufuli et kwa nn Samia?😙😙😙mmmh Tanzania mbn tutachekwa mpak na wafu😅😅😅!!!

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 หลายเดือนก่อน +5

    Acheni kuweka picha za watu kwenye noti.Wekeni mlima kilimanjaro.

  • @muyongahassan2188
    @muyongahassan2188 หลายเดือนก่อน +2

    Pesa y Tanzania inataka kupoteza thamaniyake mm nipo Burundi tangu 2015 walibadirisha tu ikafika inatupa thamani kbs kwahiy kuwen mkini san

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 หลายเดือนก่อน +3

    jmn mbona mmeweka miez michache hivyo wengine tuko mataifa mengine tunatarajia kurud tz tukiwa tumebakisha pesa za noti ila tumezihifadhi tu mpaka turud makwetu tz sasa itakuwa tunaomba angalau msogez miez👏👏👏

    • @petrojulias-tm9em
      @petrojulias-tm9em 10 วันที่ผ่านมา

      Sio za toleo la sasa ni za zamani mwisho 2010

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f หลายเดือนก่อน +2

    Maza anaweka picha zake kwenye hizo noti mpya. Hovyo sana!!!

    • @petrojulias-tm9em
      @petrojulias-tm9em 10 วันที่ผ่านมา

      Uwongo sio kweli wanachonganisha hao

  • @CharlesJoho
    @CharlesJoho วันที่ผ่านมา

    Wekaaaaa mama nakubali

  • @MEHMETMTONGA-d3b
    @MEHMETMTONGA-d3b หลายเดือนก่อน +3

    Kwani yeye.nimwasisi wataifailo.mbona mh magufuri ajajiweka

  • @Msosa-f2c
    @Msosa-f2c หลายเดือนก่อน +5

    Hii inchi ya ovyo sana 😢 mamaaenu kafanya nn adi mumuweke kwenye noti mamb ya ovyo sana

    • @BinSultan-t5g
      @BinSultan-t5g 25 วันที่ผ่านมา

      Kwani yule nyoka kwny mia 5 kafany nn. Zikija usizitake

  • @GoodluckNjau-km3ym
    @GoodluckNjau-km3ym หลายเดือนก่อน +1

    Hatutaki picha ya mtu kwenywe pesa zetu WA Tanzania maana kila kiongozi ata kaekuja ata kuwa ana taka na yeye awekwe kwe pesa vitumike vivutio vya Tanzania

  • @AlexGwiha
    @AlexGwiha หลายเดือนก่อน +3

    Ndiyo maana hata americ imemupiga chini kamala halisi .ichi kuongozwa na mwanamke matokeo yake ndiyo haya

  • @AminiTu-mr4ws
    @AminiTu-mr4ws หลายเดือนก่อน +3

    Mungu tuokoe WANYONGE 😢😢😢

  • @AliSam-r6l
    @AliSam-r6l หลายเดือนก่อน +1

    Bora watoe shiling walete dola😂😂😂 tuwe tunawauzia kenya 1 tz$ =5000 kenya shlng😂😂😂

  • @GraceApele
    @GraceApele หลายเดือนก่อน +5

    Pamoja nahayo tukumbuke mwisho umekalibia sana kama hujatumbu tubu Sasa mpokee yesu uingie mbinguni dalili yamvuwa ni mawingu ufalme wa mungu umekalibia.

  • @JacksonMbites
    @JacksonMbites 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Noti ya mwisho iwe ni 1000,200, 100, 50, KAMA KENYA 🇰🇪 TANZANIA 🇹🇿 KIUCHUMI INA PASWA KUWA JUU KULIKO NCHI YEYOTE EAST AFRICA 😊

  • @godwineliya4686
    @godwineliya4686 หลายเดือนก่อน +2

    Wasituwekee Sura za Ajabuajabu kwny Pesa

  • @issakarim4413
    @issakarim4413 11 วันที่ผ่านมา

    Weka mama apo safi sana

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 20 วันที่ผ่านมา

    Kuna pesa nyingi zimeibwa. Walioiba waanze kuzitoa zitumuke ziende kwenye mzunguko.
    Watu watabeba mabegi kupeleka bank. Ama vitu vitanunuliwa sana kama maviwanja majengo

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k หลายเดือนก่อน +2

    Wangewecha zile zile pesa za nyerere cjui watu wanaangaika nini khaaaa😏

    • @ArafaAmirAmir-ci7ld
      @ArafaAmirAmir-ci7ld 28 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂

    • @Sarah-e1o9k
      @Sarah-e1o9k 28 วันที่ผ่านมา

      Yani wanaona wakiwekwa kwenye pesa ndio iwe nini akuna kitu kibaya kama kubadilisha pesa kila cku kenye tangu wapate uhuru wao walibadilisha noti moja tena sababu ilikuwa wahuni wanajua kuitengeneza adi leo ni moi ndio yko kwenye pesa sio hawa na pesa madafu wanavyojua kuangaika😀 @ArafaAmirAmir-ci7ld

  • @Msosa-f2c
    @Msosa-f2c หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania na mamaao wa ovyo sana😂

  • @DanielLaizer-c9g
    @DanielLaizer-c9g หลายเดือนก่อน +7

    Mama hajafanya chochote cha kufutia mpaka muweke picha zke

    • @shabanimataka8418
      @shabanimataka8418 หลายเดือนก่อน

      Amewekwa kwenye ela Gani?

    • @mahammadanhag4445
      @mahammadanhag4445 หลายเดือนก่อน

      Ww mtanganyka huna mpya kaa pemben mama sura yke itakuepo ktk pesa asa ww uxtumie mshamba

    • @HudhaifaMansour
      @HudhaifaMansour หลายเดือนก่อน

      kuma Kweli ww ​@@mahammadanhag4445

  • @petrojulias-tm9em
    @petrojulias-tm9em 10 วันที่ผ่านมา

    Muongo huyo sio kweli mbona gavana Amekanusha sio zote

  • @MEHMETMTONGA-d3b
    @MEHMETMTONGA-d3b หลายเดือนก่อน +1

    Hongera vizuri wewe kigugumizi chanini nguruwewew

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab หลายเดือนก่อน +1

    Talehe 5 april ,kulejesha pesa hizo kwa halaka,Habali ,jifunze kuzungumza kiswahili fasaha kabla hujaja mbele ya media.

    • @petrojulias-tm9em
      @petrojulias-tm9em 10 วันที่ผ่านมา

      Harafu muongo

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 10 วันที่ผ่านมา

      @petrojulias-tm9em Harafu au halafu

    • @petrojulias-tm9em
      @petrojulias-tm9em 9 วันที่ผ่านมา

      Lakn si umeshajua namaanisha nini?​@@R10_Rajab

  • @ChazMakavu-f9w
    @ChazMakavu-f9w หลายเดือนก่อน +1

    Nyie mmekosa kazi zakufanya, ila nawakumbusha kutubu ndio Salama yenu viongozi vipofu jueni ufalme wa mungu aliye j'ai umekaribia, ila kama ni maskio ya kufa, Basi endeleen na huo upuuz wenu ila chamoto mtakiona

  • @Jonnibo
    @Jonnibo 20 วันที่ผ่านมา

    Kwanini mzazo chapisha mpya msichapishe nyingi kila mtanzaia awe na hela na maisha yawe mazuri si ni binadamu umasikini uwe ugonjwa 2

  • @gastonjohn537
    @gastonjohn537 12 วันที่ผ่านมา

    Laaana

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab หลายเดือนก่อน +1

    Ila chonde chonde ondoeni hizo quezi za mia tano na mia 200 muweke Noti bhana ,quezi ya 500 ya nini na 200 ah

    • @LatifaCharles
      @LatifaCharles หลายเดือนก่อน

      Acha njaa😂😂😊

  • @fatmasherallysherally537
    @fatmasherallysherally537 11 วันที่ผ่านมา

    Kiswahili gani Sasa hicho. Duhh.

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 หลายเดือนก่อน

    Watu wameficha pesa ndani, fikiria haiwezekani pesa izuiwe kutumika kwa muda mfupi, kama ikiletwa noti mpya ile yazamani itaendelea kutumika wakati itaenda benki ndo inakua hairudi tena mtaani,
    Hapo kuna namna

  • @tinbeizzydynamic
    @tinbeizzydynamic 25 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭😭

  • @SiriliNachan
    @SiriliNachan หลายเดือนก่อน +4

    Yesu anarudi jmn

    • @Shortsflams
      @Shortsflams หลายเดือนก่อน

      Maandiko yanaenda kutimia

    • @magrethmkemwa9287
      @magrethmkemwa9287 หลายเดือนก่อน

      Afadhali wenye macho ya kuona.

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 หลายเดือนก่อน +1

    Sema mnataka kuiba

  • @hawaa341
    @hawaa341 25 วันที่ผ่านมา

    Huo munda hautoshi miezi mitatu haa

  • @magrethmkemwa9287
    @magrethmkemwa9287 หลายเดือนก่อน

    What is butter trade and Digital current?Cashless society?

  • @MiishHassan-qm1et
    @MiishHassan-qm1et หลายเดือนก่อน

    Mi nilivyozoea hizo jaman hafi imeniuma kubadilishwa😢

  • @LovenessShirima-hw7un
    @LovenessShirima-hw7un 20 วันที่ผ่านมา

    Kwetu atuna ata mia jmn

  • @NelsonBomanKidabuya-x9m
    @NelsonBomanKidabuya-x9m 10 วันที่ผ่านมา

    Badilisheni mkatumie na wake zenu mbwa nyinyi

  • @amosiabdulallh7965
    @amosiabdulallh7965 หลายเดือนก่อน

    2:29 Kama hela zipo benki hakuna tatixo ila kama uliweka kwenye nyumba kama mkimbizi hio ni problem yakwako

  • @MohammedBakari-pn9yg
    @MohammedBakari-pn9yg หลายเดือนก่อน

    Shilingi 5 na 10 zirejeshwe ktk mzunguko wa matumizi

  • @babuwajinaommy725
    @babuwajinaommy725 หลายเดือนก่อน

    Kuliko kupunguza masifuri tuwe na elfu 1000 tu kwenda chini kama uchumi uko sawa ili thamani ipande

  • @damaspmtz1018
    @damaspmtz1018 หลายเดือนก่อน

    Huo ni mpango mchafu wa kuvujisha pesa za Taifa letu lakini ngoja tuone panapo nyesha, au Nchi imepigwa ndiyo maana mnaona mubadili lakini kama ni jambo la kubadilisha picha mtaaonekana wa ovyo

    • @petrojulias-tm9em
      @petrojulias-tm9em 10 วันที่ผ่านมา

      Huyu ametoa taarifa kinyume sio zote ni 500 na 20 za zamani sio za sasa

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 หลายเดือนก่อน

    Inabidi mtupe mmda wa kutosha kama nnchi zingine zifanyavyo. Msipende kuweka watu roho juu.

  • @khadijamemba785
    @khadijamemba785 หลายเดือนก่อน

    Hivi 'salafu' au 'sarafu' mhh jamani hayo matamshi, sio kalibu ni karibu

  • @AliSuleiman-q8y
    @AliSuleiman-q8y หลายเดือนก่อน

    Mimi naona mumeweka muda mdogo sana na wengine Wana pesanyingi sana na wanatakakutumia Kwa mpangilio Sasa inakuwaje na hizo pesa hazinamdamwingi kutolewa

  • @jovinrichard7433
    @jovinrichard7433 28 วันที่ผ่านมา

    🛌

  • @MariamSaidy
    @MariamSaidy 28 วันที่ผ่านมา

    Yooo inchi inaanguka kifedha ss tanzania

  • @KidumeThemaster
    @KidumeThemaster หลายเดือนก่อน

    Kwa upande naona fresh tu

  • @methewmlyuka1935
    @methewmlyuka1935 หลายเดือนก่อน

    Hichondiotunachokiweza kubadili fedha nakuwekapichazetu kwenye hela kutafutavyanzo vyakukuzauchumi nakuondoa umaskinikwa watanzania uliokithir aah

  • @PatrickPastory-io1me
    @PatrickPastory-io1me หลายเดือนก่อน

    Sawa, yetu macho tu

  • @wakayakaya6
    @wakayakaya6 หลายเดือนก่อน

    Sawa bwana nashindwa kuwaelewa

  • @gabrielsasi4636
    @gabrielsasi4636 หลายเดือนก่อน

    Tumeisha,twaenda cashless duuh SDA mwaona

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si หลายเดือนก่อน

    Picha ya Baba wa taifa na Karume zipewe kipaumbele

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 7 วันที่ผ่านมา

    Tunamtaka magufuli

  • @muzdatsuleiman3186
    @muzdatsuleiman3186 หลายเดือนก่อน

    Pakuziwengeza pesa zikawa na thaman eti watka waeke picha ya rais kwani tunu hatujamuonap

  • @RachelMdao
    @RachelMdao หลายเดือนก่อน

    Tutumie dolla sas na tu tuweke maliasili zety na vivutio za tanzania

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 หลายเดือนก่อน

    Sio kweli hiyo taarifa ni ya uongo .

  • @MEHMETMTONGA-d3b
    @MEHMETMTONGA-d3b หลายเดือนก่อน +1

    Kuondowa Nini wewe bukiniwewe iteuzinupati

  • @saidimdoe5246
    @saidimdoe5246 หลายเดือนก่อน +1

    mbona hamtangazi nafasi za kazi sijahah sikia nafasi za kazi bot Toka nizaliwe

  • @RahimaCharles
    @RahimaCharles หลายเดือนก่อน

    Tunaanza lin

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v หลายเดือนก่อน

    Kz mnayo picha za bb wa taifa vp

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw หลายเดือนก่อน

    Duuh kuna jambo hapo hawa jamaa usalama lazima wafuatilie kuna Nani ????

  • @AliAbdalla-lb8su
    @AliAbdalla-lb8su หลายเดือนก่อน

    Sawa tu

  • @AliSuleiman-q8y
    @AliSuleiman-q8y หลายเดือนก่อน

    Na Kwa kuongeza nikinukuu baazi ya comments wanasema sababu kuwekw picha nyengine siotatizo ila. Tatizolipo Kwa mda mfupi na wengine wanaweka Kwa malengo pesazao Sasa wazipeleke wapi

  • @LuciaMagari-h8o
    @LuciaMagari-h8o หลายเดือนก่อน

    Mh km n kwel mda n mchache sn huo ulowekwa

  • @JamaliIddy
    @JamaliIddy หลายเดือนก่อน

    Zinaenda wap ,

  • @SmilingDachshund-xv5si
    @SmilingDachshund-xv5si หลายเดือนก่อน

    So alikaayeye na aweketu hiyo sura yake

  • @anithazakaria1303
    @anithazakaria1303 หลายเดือนก่อน +2

    Mhhh

  • @Subilaeliasubilaelia
    @Subilaeliasubilaelia หลายเดือนก่อน

    Kweli kusubili

  • @barakanyanchama4297
    @barakanyanchama4297 หลายเดือนก่อน

    Hovyo kabisa

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 หลายเดือนก่อน

    Mhhh ila ?

  • @sneckyBoe
    @sneckyBoe หลายเดือนก่อน

    Wapumbavu kabisa

  • @gabrielkabato9909
    @gabrielkabato9909 หลายเดือนก่อน +2

    Mmmh

  • @GraceApele
    @GraceApele หลายเดือนก่อน

    Mh