AMBOKILE: YANGA HII SIMBA ISIPELEKE TIMU UWANJANI/ CHAMA AMEISHA HANA UWEZO/ MO SIO MUWEKEZAJI SIMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • Mchambuzi wa Soka nchini Ibrahim Ambokile, ametoa maoni yake kuelekea kwenye mchezo wa Derby ya Kariakoo Yanga Sc dhidi ya Simba Sc, ambapo ameeleza kuwa Simba asipokuwa makini goli tano walizofungwa Novemba 5 mwaka jana basi zinaweza kujirudia tena Jumamosi hii.
    #yangatv #kondegang #singidafountaingate #diamond #simbasc #wcb #kingmusicofficial #yangasc #live #singidafountaingate #simbatv #kondegang #kondegang #yangatv #kondegang #simbatv #singidafountaingate #live #yangasc #simbasc #wcb #kingmusicofficial #yangasc #kondegang #simbatv #singidafountaingate #singidafountaingate #live #yangasc #diamond #simbasc #wcb #kingmusicofficial #yangasc #live #singidafountaingate #simbatv #kondegang #yangatv #simbatv #singidafountaingate #live #yangasc #diamond #diamond #wcb #simbasc

ความคิดเห็น • 5

  • @user-vt2jy1ts5k
    @user-vt2jy1ts5k หลายเดือนก่อน

    Napenda sana sauti ya uyu jamaa iko safi sana anachambua mpira vizuri kama ni kizuri utapenda ila kikiwa kibovu utamchukia

  • @joshualukas2123
    @joshualukas2123 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Saf sana huyu jamaa

  • @peterkisomezi7101
    @peterkisomezi7101 4 หลายเดือนก่อน

    Yanga 4

  • @hemedyjuma2740
    @hemedyjuma2740 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mm huyu jamaa na msikilizaga sana ila cjawah kumuona na kwa saut yake nilijua n mzee kumbe n kijana 😅😅😅😅

  • @zephaniasirikwa7495
    @zephaniasirikwa7495 4 หลายเดือนก่อน

    Chondechonde Yanga tafadhali tuachane ma sifa hizi za mashabiki.Twendeni kwenye mhezo kwa tahadhari kubwa.Simba sio mbovu hata kidogo.