wateja zaidi ya 20 kwenye whatsapp

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • JE UNATAKA KUPATA WATEJA 2-5 KILA SIKU NA KUONGEZA MAUZO KUPITIA MTANDAO?. Jiunge na kozi ya Insta-Face 4 Business (IFB)
    UTAJIFUNZA NINI KWENYE KOZI YA IFB ?
    Kumiliki kurasa za kisasa za biashara yako na kuzi BRAND.
    Kuandaa matangazo (picha na video) na uandishi wa matangazo (caption).
    Mbinu za kuuza bidhaa za network Marketing (Afya na uzazi, Kupunguza uzito, usafi. Nk) mtandaoni.
    Kulipia matangazo ya biashara(sponsored ads). Kwa kutumia mtambo wa Facebook ads manager.
    Utaweza kulipia dola 2 Tu kwa siku na ukapata wateja zaidi ya 5 kwenye whatsapp yako
    Jinsi ya kuwalenga wateja sahihi kwa 90% kwa kufanya Audience targeting.
    Namna ya kupata wateja 2-5 kila suku kwenye whatsApp yako bila kulipia matangazo.
    Njia rahisi ya Kujenga uaminifu kwa wateja wako watalajiwa mtandaoni.
    Utajifunza kwa njia ya mtandao (online) kwa mfumo wa videos hatua kwa hatua.
    Utapata kozi hii kwa discount yaTsh 10,000/= Tu. Kwa mwezi 1
    Badala ya Tsh 30,000/=.
    GUSA LINK HAPA CHINI KULIPIA KOZI HII KABLA OFA HAIJAISHA 👇👇
    wa.me/25568966...

ความคิดเห็น • 1