hello mwalimu wa nk computer naomba unisaidiy computer yangu kila nikiweka disk inaniandikia (disk 1 unknown not initialized) mwalimu naomba njia ya kufix kwa hi shida yangu nakutakia kazi njema na utekelezaji mwema nk computer
Somo zuri lakini je lina ukweli? mada ya mapishi inaleta views wengi kwenye TH-cam channel, kuzidi comedy? Kuna chanel ngapi za mapishi zinazofanya vizuri? Kuzidi za comedy!? Hakuna uhalisia katika data zake
Bila shaka hayo ni maoni sio neno la mwisho lakini pia, Kuna tofauti kati ya Mada kuwa na watu wengi na namna ya utoaji mada. Ma TH-camr wengi wanafeli kwasababu ya kukatakata uploading. ---- Hivi karibuni tutaandaa kozi maalum ya namna ya kuendesha TH-cam channel. Karibu kujifunza mengi kuhusu sababu zinazopelekea Channels kushuka. Mwisho Asante sana kwa comment yako na karibu NK Computer Training Uwe More Than a Professional.
Good unatish san unatumia kipaji kinavyotakiwa
Allah akupe umri mrefu wenye kher na ww tupate kujifunz kutok kwako
Atupe sote Aamiin.
😂😂😂sema Nk daaah unajua. Et unakurupuka tu jinsi ya kutengeneza Mpila wa makaratas
Inatokeaga hiyoo🤓
somo zuri sana
Umetisha sana mkubwa
Mungu akujalie maisha marefu mtaalamu
Allahomma aamiin aamiin.
Hongera blaza
Asanteee
Bless u kaka
Ameen
hello mwalimu wa nk computer naomba unisaidiy
computer yangu kila nikiweka disk inaniandikia (disk 1 unknown
not initialized) mwalimu naomba njia ya kufix kwa hi shida yangu nakutakia kazi njema na utekelezaji mwema nk computer
Ntumie ujumbe whatsApp.
Somo zuri lakini je lina ukweli? mada ya mapishi inaleta views wengi kwenye TH-cam channel, kuzidi comedy? Kuna chanel ngapi za mapishi zinazofanya vizuri? Kuzidi za comedy!? Hakuna uhalisia katika data zake
Bila shaka hayo ni maoni sio neno la mwisho lakini pia,
Kuna tofauti kati ya Mada kuwa na watu wengi na namna ya utoaji mada.
Ma TH-camr wengi wanafeli kwasababu ya kukatakata uploading.
----
Hivi karibuni tutaandaa kozi maalum ya namna ya kuendesha TH-cam channel.
Karibu kujifunza mengi kuhusu sababu zinazopelekea Channels kushuka.
Mwisho
Asante sana kwa comment yako na karibu NK Computer Training Uwe More Than a Professional.
Naomba kuulz kuhusu watumiaj wa sim mbona play store nikiitafuta google bard inasumbua
Tumia program inaitwa AI Bard and GPT.
Yani imechukuwa vitu vyote viwili.
ASANTE sana
Nobestudy intelligence is breakthrough