JINSI YA KUFANIKIWA KWENYE MAHUSIANO-MAOMBI YA KUFUNGULIWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Praise the Lord sweethearts
    Tunamshukuru Mungu sana kwa ajili ya siku alizotupa na akatuhudumia kwenye eneo la mahusiano,
    Leo tunamalizia maombi yetu
    Na tutakua na maombi ya aina mbili
    Ya kufunguliwa na ya kibali juu ya mahusiano na kumshukuru Mungu pia.
    Usisahau kuendelea kushare ushuhuda wako na Mungu akubariki sana,nasi tutashare ili kwa pamoja tuendelee kushinda...
    Mungu akupe mwanzo mpya na hatua mpya in Jesus name...Amen
    Min Mocky

ความคิดเห็น • 9