JINSI YA KUFANIKIWA KWENYE MAHUSIANO-SOMO NA MAELEKEZO YA MAOMBI.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Praise the Lord Sweethearts
Leo tunaanza mfululizo wa somo na maombi na maombezi yenye kichwa kinachosema JINSI YA KUFANIKIWA KWENYE MAHUSIANO.
Leo tutakua na somo na maelekezo ya maombi yako ndani ya somo..
Ubarikiwe leo unapopewa hatua mpya kwenye mahusiano yako kwa jina la Yesu..
Amen🙏🙏
Somo limekuja kwa wakati kwangu,Asante Yesu nimepata Amani ndani ya Moyo wangu.
Mungu naomba kufanikiwa
Nabarikiwa saana najikuta na aman najitoa kweny uchungu ,maumivu kwa Damu ya YESU
I listen to u My God my Lord 🙏🏻🙏🏻 nna uchungu mm uwhhh Jesus Asante kwa neno hili
Yesu wng nisamehe kwa vile nmetambua nilikua nna uchungu moyoni na nilikua ninakosea ninaomba unirehemu 🙏🏻
Asante yesu
BABA NIONDOLEE UCHUNGU...NIRUDISHIE FURAHA NA AMANI YANGU JEHOVAH 🙏🙏🙏🙏
asante sana mtumishi wa mungu kwa neno lenye kuponya
Ameen mama
Amen
Asante Mungu kwa kusema na Mimi Ubarikiwe mtumishi
Amen Amen , Glory be to God, you are ablessing 🙌
Thanks Dada Mocky nakupenda.. God bless you...
Asante dada mungu azidi kukutumia
Ubarikiwe mtumishi!
Ameen mama, be blessed
Thank you Mom🙏🏽....I received my portion 💯
Nimeamin nina uchungu kwa hizo 6 points dooh oo Lord nihurumie😪
Hello dear...please naomba uwe na watsup group kwa ajili ya maombi pamoja na sisi na am sure we will pay to join..kwa ajili ya ushauri na maombi pls pls consider this
0716052202 mwambie akuweke kwenye group dear na ni free..
Mungu akutunze.
@@ministermocky3430 Asante Mama 🙏🙏🙏
Yote yamenigusa
Amen
Amen