Sema klabu yangu ya simba inajielewa sanaaaaaaaa yan kwanzia mashabiki mpaka viongoz aiseee hilinijambo kubwa mno yan naamin ata caf wenyewe wameshangazwa sana kweli simba nguvu moja
Baba Leo mujitahidi mufuge hata mimi ni mkogo natamani mwende cambini nyarugusu kwenda kuchukuwa wa gaga wa ki congo 🇨🇩 kuchukuwa wagaga wa kuchezesha mechi hiyo juu ni watalamu sana gambo ya kimpira kabisa
Hatuka hunastahili kuwa msemaje kabisa hunahacha kwenda kuona mpira juu ya faini hili money kwenye TV 📺 na mashabiki pamoja kweli na kukubali Hamed Hally
Kweliwewe AMED ALY nimfano wa kuigwa unachokifanya unahaki yakupendwa na mashabiki unakubali kuumianao kwa pamoja ingelikuwa wengine wangewatelekeza wao wenyewe alafu wao viongoziwote wakaendazao uwanjani ongerasana semaji.
Simba nguvu moja naomba Mungu awasaidie wachezaji wetu wakawe na siku nzuri 🙏🙏
Mungu awajalie awatie nguvu wachezaji wetu wapate ushindi iyo kesho simba nguvu 💪 moja
Sema klabu yangu ya simba inajielewa sanaaaaaaaa yan kwanzia mashabiki mpaka viongoz aiseee hilinijambo kubwa mno yan naamin ata caf wenyewe wameshangazwa sana kweli simba nguvu moja
Sema nin hili eneo la habar Simba imepata mtu sahihi na kwa wakati sahihi semaji la CAF hongera san
Uhakika kaka
Kbc❤
sio hilo tuu simba wana kila kitu bora
Toptoptoptop themajiiii umepigaje apo ubaya ubwela na atucheki na wowoteee ❤❤❤❤❤❤❤❤ nguvu moja
Semajiii 🌹🌹🌹🔥
Tayari nimechangia nipo pemba ila nilichonacho nimetoa simba nguvu moja
Usijar ndugu yetu 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤Simba nguvu mija🎉🎉🎉❤❤❤
Simba you are the best ❤
Kesho kutanoga,uwo ni ubaya ubwela ,kuingia bureeeeeeee kama msikitini I love simba sc.
SSC. NGUVU MOJA.❤❤❤❤❤❤❤.MUNGU TUBARIKI.❤❤❤😊😊
Semeji la Dunia
Naipenda simba yangu milele
Aki simba wamepata,msemaji dhaa
Jamaa namkubali sana
Mungu ibarik simba yangu ushind kesho
Safi kabisa ubaya ubwela simba nguvu moja ❤❤
Ndo ubaya ubwela kak
Pamoja sana Simba yetu pia semaji
This is 🦁💪
Semaji la CUF nakubali sana mtu wangu uko vizuri sana.
❤️🦁🇹🇿
Naipenda simba
❤❤❤❤❤❤
Nawatakia Kila lakheli simba yetu ubaya ubwela nguvu moja
Xx
Hoo mama wa Roho marehemu na Adivo mahali mulipo mizimuyenu hisahidiye Simba Leo hifuge juu mimi sipendi yanga juu katoto kadogo kana mudomo sana
Semaji kwakwer nmtu sahihi sana kuwa Simba unapambana sana ,tunajivunia sana uwepo wako simba
SIMBA nguvu Moja chama langu.
simba nguvu moja kweli tupambane tumalize hilj den
Semaji nakukubari sana jamani kesho tupate ushindi.
#NguvuMoja
Weny komb la ng'ombe huk tayar wamekos hat mkia hajaw pat😂😂😂
Hii habari itawafikia CAF Ubunifu wa Ali ya juu Sana....Wataiga Jamaa zetu. Ubunifu kwao Ziro. Sisi kwetu Matatizo tunachukulia Fursa.
Daah broo ahmed mung akubarick ww umekuw kiung namber moj kwa clab yet yawan simba mung akubarick alam yak haitofutik kw simb yet
Semaji
Kuna watu wamecheza na mashabiki lkn wameshindwa kufuzu😂😂😂😂
😂😂😂😂 sicheki na wowoteeeee
Hatucheki na wowote😂😂😂
Baba Leo mujitahidi mufuge hata mimi ni mkogo natamani mwende cambini nyarugusu kwenda kuchukuwa wa gaga wa ki congo 🇨🇩 kuchukuwa wagaga wa kuchezesha mechi hiyo juu ni watalamu sana gambo ya kimpira kabisa
Semaji zalendo nguvu moja
Semaji la dunia hiloooooo
Mungu tujalie pot3 llshaallah
IshaAllah
🎉🎉🎉🎉🎉
Wiiivu mama wivu u
Mimi naomba kujua ili kuwa na tawi la simba lazima tuwe na vigezo gani
Hatuka hunastahili kuwa msemaje kabisa hunahacha kwenda kuona mpira juu ya faini hili money kwenye TV 📺 na mashabiki pamoja kweli na kukubali Hamed Hally
Naipenda Simba daima
Atucheki na wowote tunaongoza kundi letu 😂😂😂😂😂
simba inapaswa kuigwa kwakweli
Yan apo angekuw ali kamwe angeanza kuongea ya wenzake yani dah huyu jamaa anajua ameongea ya kwake tu
👏👏👏👏👏👏👏👏👏🦁🇹🇿♥️♥️♥️💪💪💪💪🙏🙏
Ubaya ubwela
Msikitini haifanani na uwanja mpira
kafanya ulinganifu wa garama sio kwamba mskiti eti hurusiwi kusemwa
😂😂😂😂😂
Kweliwewe AMED ALY nimfano wa kuigwa unachokifanya unahaki yakupendwa na mashabiki unakubali kuumianao kwa pamoja ingelikuwa wengine wangewatelekeza wao wenyewe alafu wao viongoziwote wakaendazao uwanjani ongerasana semaji.
Kiboko ya wasemaji wa vilabu vyote vya NBC
Simba yetu na tunatamba nayo ubaya ubwela
Nikweli msikiti haufanani na uwanja ww
ubaya ubweraaa
Jamani natokea mombasa ukonga ,,napanda gari la wapi Ili nifike mwembe yanga?
Mhhhhh
Panda gari zinazoenda mbagara shuka vetenali alfu chukua boda akupeleke viwanja vya mwembe yanga
Panda gari lolote linaloenda tandika kupitia njia ta TAZARA
Ata ukipata gari la g/mboto temeke
@@EmmyCharles-hn9wb Asante kipenzi
Umbwa nyie hamuelewi
Hata kidogo kusema ni kuingia bure kama kama msikitini kama msikitini muna kwa pesa muwe wselewa amesema kama mafara uelewa mdogo
🦁♥️♥️♥️🦁🙏🙏
❤❤❤❤❤❤❤
Ubaya ubwela
😂😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤❤