Ndugu zangu wa Congo, kimbieni njoo ni Tanzania, waachie wanajeshi wapambane, kumbuka kuna watoto watateseka nakufa kwa ajili ya njaa. Ninawaambea kwamba Mungu alete amani
Hapo kweli nchi haiikimbiwi unapiganiwa hata urusi ilivamiwa na Ujerumani lakini vijana wa urusi hawakukimbia walipigania nchi yao mbaka mjerumani alikimbia
Dear Congolese this is how you fight for your survival not running,if you run you'll always be a runner, it's better to die in your motherland than being a survivor in exile.
Wacha Vijana na kina mama na watoto wakimbilie usalama tz juu wao si wanajeshi..nyinyi majeshi piganeni..vita ikiisha vijana watarudi kujenga nchi yao congo😢😢...vita zenu sio mwisho wa dunia na mukianza vita hamkuwahusisha vijana sasa munawalazimisha vita.
Jikite kufatilia kwa undani zaidi utaujuwa ukweli usidumaze akili....Rwanda ni kibaraka cha nchi za magharibi na anasapotiwa kwa kila kitu ni sawa sawa na israel kwenye nchi za mashariki ya kati ni kibaraka na analindwa na yupo pale kwa maslahi ya nchi za magharibi kwaiyo usishajgazwe na udogo wa nchi angalia nyuma yake kuna nani.
Wakongo waje Tanzania kufanya nini? Wabaki nchini kwao wajipambanie wenyewe Hii nchi ifunge mipska yake hakuna kupokea wakimbizi wakujitakia Wataonea huruma mpaka lini ? Na chanzo ni njaa za viongozi wao
Subirini kupelekwa ICC, Sio kila mtu ni mwanajeshi na sio kila anaekimbia sio mzelendo vita Ina Technic zake ambazo inapaswa watu wajifunze kwanza sio kuwalazimisha.....
Hivi kweli Kongo ina wanaume majasiri na shupavu wa kuipigania nchi yao au ni wale midebwedo wanaoshindana kujichubua nyuso na kucheza ndombolo. Tanzania hatuhitaji wakimbizi, tunahitaji kutumia raslimali zetu kujenga uchumi!
Haya Majambazi ya M23 Toka Yalivyo Timuliwa Congo Na Majeshi Ya Tanzania Mwaka 2006 Yalienda Kujipanga Upya Yakisaidiwa Na Mabeberu wa Magharibi chini ya Uwakala Wa Paul Kagame Rais Wa Rwanda Rais Wa Congo Felix Tshiseked Hawezi Kikabiliana Nao
😢😢ama kwelii ! Hii ni dunia yaajabu! Hivi niviongozi waaina gani wanaoongoza nchi zao bilakuweza kukaa Chini nakusuluhisha migogoro Yao ya ndani Hadi kusababisha vita ambayo haitoleta Amani zaidi yakuendeleza uadui?? Tumechoka vita na mauwaji ,nahapo sasa ndio mabeberu munayapa njia rahisi zakuwamaliza wananchi
Ukaechini na Kagame huwez kupata suluhu la kudum zaid zaid mtapumzka baada ya mda mnaanza tena Marais waliopta wa kongo wamefanya hvyo sana lakin Kagame kawadanganya tu hakuna walichopata sasa huwez kutumia njia Ile Ile wakat majbu unayajua lazma ujarbu nyingine
@@ce-08 Na ndio maana ni rahisi Kwa yy kushutumiwa Kwa sababu wengi wanaenda Kwa hisia tu bila kuchunguza ukweli ni nini... Hao ni Watutsi lkn sio Wanyarwanda. Wao ni Wakongo.... Na maeneo hayo wanayopatikana ni kwao kiasili kabisa isipokua mipaka ya Wabelgiji ndio imefanya sehemu Moja kuwa ndani ya Kongo na sehemu nyingine kuwa Rwanda. Ni kama Wamasai wa TZ na Wakenya... Wote maeneo Yao ni Yale Yale, lugha Hadi Tamaduni, isipokua ktk maeneo hayo mipaka ikapita upande mmoja ni wa TZ na Mwingine ni WaKenya...
@@ce-08Hao Watutsi (Banyamulenge) ndio matajiri, Mali, wanatawala na wenye ushawishi ktk maeneo hayo huko Kongo... Wakongo wakawaida wanaamini hao jamaa waliingia Kongo kama wakimbizi, lkn kihostoria wapo hapo siku zote. M23 ilianzishwa na wao wenyewe kulinda maslahi Yao baada ya kuwa wanabaguliwa na Wakongo wengine. Na hapo ndipo jamii zakimataifa pamoja na UN wanapojifaidisha na mzozo wao Kwa kuiaminisha Dunia kupitia media kwamba M23 ni waasi na wanasaidiwa na Kagame, huku wao wanaendelea kuiba Mali ya Kongo.
Acha upuuzi, mwehu wee katika maswala ya vita au ulinganishi ws kiuchumi nchi haipimwi kwa ukubwa wa eneo. Kama umefika hata darasa la 7 utaona Wengereza ni kijinchi kidogo sana kwa eneo lkn aliitawala robo tatu ya dunia mpk karne ya 19, aliitawala Marekani, India, Pakistan mashariki ya kati na nchi tele Africa ikiwemo Tanzania ya leo.
Hii ni ajabu congo sijui imekuwaje nchin kubwa ina population kubwa, lkn inatishiwa na ki rwanda kinchi kidogo chenye watu hata milion 10 hawafiki... Kwanini isiivamie iipige ...kanchi kadogo hata mkoa mmoja wa tanzania ni mkubwa halafu kinavimbia na ki raisi chao kagame
@Mutako-ig1ik Ujinga wao ni nini? Si kweli kwamba Kongo wameshindwa kulinda nchi yao? Si kweli kwamba Rwanda ni mvamizi namba moja ya vita inayoendelea Kongo? Tanzania tumechoka kuwa kiota cha wakimbizi waliokosa ujasiri na uzalendo wa kulinda nchi yao. Tujifunze kwa Trump!
@SylvesterKameo ningekuw na watsap yako ningekutumia ushahidi unawo onyesha uongo unawo zungumuzwa na wa Congo na watu kama nyie muliwo pandikizwa chuki na kuichukia Rwanda bila sababu kuna siku mutajutia hivi munavo viongea na uongo wenu
@PeterJonathan-c8k acha wapambanie nchi Yao kuwa na baadhi ya viongozi wabaya Haina maana nchi mbaya viongozi wanabadilika hawaish milele Hivyo wapambanie nchi Yao kwa vizazi vyao vjavyovpate sehem ya kuishi iliyopo salama sio na wao wateseke kama Baba zao km ilivyo Tz wazee walipambana cc sasa hiv miguu juu
Njoo TANZANIA, Karibu TANZANIA. Congo Ni Ndugu Zetu, Rafiki Zetu Wazuri. Tunawapenda Watu Wa Congo. Tuko Pamoja 🤝
Poleni sana nawaonea huruma watoto wamama na wazee yaarab
SAFI SANA bana ya congo UMOJA NI NGUVU.. , SIVAI TENA JEZI ZA ASERNAL ZILIZO ANDIKWA VISIT RWANDA , NI PESA ZA DAMU ..
Ni kweli lakn WA mama , watoto na wezee tafteni sehemu salama mnayo weza kuwaweka kama haipo acheni waondoke jamani
Ndugu zangu wa Congo, kimbieni njoo ni Tanzania, waachie wanajeshi wapambane, kumbuka kuna watoto watateseka nakufa kwa ajili ya njaa. Ninawaambea kwamba Mungu alete amani
mungu tu wanateseka
Ndiyo uko sahihi Kamanda kila mtu apambanie nchi yake
Apo safi wanakimbia nani apambane wakaze riwalo na riwe akuna kukimbia adi kiereweke
😂😂😂😂😂 sisemi kitu boga boga😂😂
Safi kiongoz lazma utu uzalendo uadilifu umoja
Hapo kweli nchi haiikimbiwi unapiganiwa hata urusi ilivamiwa na Ujerumani lakini vijana wa urusi hawakukimbia walipigania nchi yao mbaka mjerumani alikimbia
Sio ujerumani ni Hitler mu Austria 🇦🇹
Sasa Congo kubwa hivi mnapigwa na nchi ndogo kunakitu hamjajipanga
Rwanda itawamaliza
Sawa tu hata wapalestine mpka Leo hawajaisha toka wameanza kuuwawa
Mungu aingilie kati
😂😂😂 mbona wanajeshi warikimbiria rwanda mbona awakuwamariza. 😂😂
😂😂 watu wanacheza na Israel ya Africa 😂nawaonea huruma watu wanaotaka kuichokoza rwanda😢😢😢😢 HE Paul Kagame atawafyatua 😢😢😢😢😢😢@MukarusineEsperance
UN na AU wote wanafiki
Dear Congolese this is how you fight for your survival not running,if you run you'll always be a runner, it's better to die in your motherland than being a survivor in exile.
Morare, 🔥
Wacha Vijana na kina mama na watoto wakimbilie usalama tz juu wao si wanajeshi..nyinyi majeshi piganeni..vita ikiisha vijana watarudi kujenga nchi yao congo😢😢...vita zenu sio mwisho wa dunia na mukianza vita hamkuwahusisha vijana sasa munawalazimisha vita.
Akina mama watoto wazee tafadhari waruusiwe kutoka wakaee kwenye makambi ya wakimbizi
Acha ujinga kwa hiyo watoto wamama wakae wafe acha upuuz
Mbona kiswahil kizr kama Cha tz
Bisimwa siku zako zime esabiwa . Uwezi kuwa uwa wakongomani kwa faida ya watutsi .mbona kagame akae na wa utu wanao sambaa dunia kote ?
Kongo nchi kubwa mnashindwa na Rwanda kweli huo ufara
Wamezoea kukata mauno . Vita wanawezaje 🚭🤣😁🌶️🤣
Yani Kuna vitu vina chekesha congo linichi likubwa Lina sumbuliwa na Rwanda hapa hamna ukweli katiayahaya
Rwanda haihusiki kwa lolote, M23 wanatetea isitoshe mm nawasapoti
Jikite kufatilia kwa undani zaidi utaujuwa ukweli usidumaze akili....Rwanda ni kibaraka cha nchi za magharibi na anasapotiwa kwa kila kitu ni sawa sawa na israel kwenye nchi za mashariki ya kati ni kibaraka na analindwa na yupo pale kwa maslahi ya nchi za magharibi kwaiyo usishajgazwe na udogo wa nchi angalia nyuma yake kuna nani.
Wakongo waje Tanzania kufanya nini? Wabaki nchini kwao wajipambanie wenyewe Hii nchi ifunge mipska yake hakuna kupokea wakimbizi wakujitakia
Wataonea huruma mpaka lini ? Na chanzo ni njaa za viongozi wao
Subirini kupelekwa ICC, Sio kila mtu ni mwanajeshi na sio kila anaekimbia sio mzelendo vita Ina Technic zake ambazo inapaswa watu wajifunze kwanza sio kuwalazimisha.....
Rwanda inataka nini kongo Havana kwao
Shida sio vijana kwenda jeshini tatizo ni mafunzo duni wanayopewa huko jeshini ndo yanafanya washindwe vita. Congo haina mafunzo bora ya kijeshi.
Hivi kweli Kongo ina wanaume majasiri na shupavu wa kuipigania nchi yao au ni wale midebwedo wanaoshindana kujichubua nyuso na kucheza ndombolo. Tanzania hatuhitaji wakimbizi, tunahitaji kutumia raslimali zetu kujenga uchumi!
wananchi wacha wakimbie tu kisha watarudi sababu hawana silaha pia hawana chakula
Haya Majambazi ya M23 Toka Yalivyo Timuliwa Congo Na Majeshi Ya Tanzania Mwaka 2006 Yalienda Kujipanga Upya Yakisaidiwa Na Mabeberu wa Magharibi chini ya Uwakala Wa Paul Kagame Rais Wa Rwanda Rais Wa Congo Felix Tshiseked Hawezi Kikabiliana Nao
Bora muungane tu mmutoe huyo kibaraka pk anaetumika ns European
😢😢ama kwelii ! Hii ni dunia yaajabu! Hivi niviongozi waaina gani wanaoongoza nchi zao bilakuweza kukaa Chini nakusuluhisha migogoro Yao ya ndani Hadi kusababisha vita ambayo haitoleta Amani zaidi yakuendeleza uadui?? Tumechoka vita na mauwaji ,nahapo sasa ndio mabeberu munayapa njia rahisi zakuwamaliza wananchi
Ukaechini na Kagame huwez kupata suluhu la kudum zaid zaid mtapumzka baada ya mda mnaanza tena Marais waliopta wa kongo wamefanya hvyo sana lakin Kagame kawadanganya tu hakuna walichopata sasa huwez kutumia njia Ile Ile wakat majbu unayajua lazma ujarbu nyingine
@ce-08 makubwa!!!🤔🤔🤔
Hapana mnattakiwa kuwapa ulinzi wananchi watakao taka kutoka njee kwani hawana mafunzo ya kijeshi na hiyo ndio nguvu kazi ya Taifa
Wakongo wengi wanajipododi
Rwanda ka Nchi kadogo kwa nini kanasumbua katwangeni Chapu au subiri kajichanganye Tanzania.
Nyie ndio mutapigwa kama umbwa na mulivo na kelele nyingi mutatandikwa hamtaamini
Huyu basimwa madaraka yanamfilusi kisiasa iPod siku utalipa damu ya wakongomani
DRC wapeni mafunzo na silaha vijana wakampige M23 na Kagame wao. Acheni uoga mkitikiswa kidogo magodoro kichwani mnakimbia. Huo si ujasiri
Media imesaidia Sana kupumbaza fikra za wengi...
Kagame hauhusiki na M23.
M23 ni Wakongo ambao ni Watutsi....
Vita isikie tu isikukute
@@katemachanda7035 kwani Kagame Muhutu na yeye si mtutsi 😂😂 anawasaidia watutsi wenzie
@@ce-08 Na ndio maana ni rahisi Kwa yy kushutumiwa Kwa sababu wengi wanaenda Kwa hisia tu bila kuchunguza ukweli ni nini...
Hao ni Watutsi lkn sio Wanyarwanda. Wao ni Wakongo.... Na maeneo hayo wanayopatikana ni kwao kiasili kabisa isipokua mipaka ya Wabelgiji ndio imefanya sehemu Moja kuwa ndani ya Kongo na sehemu nyingine kuwa Rwanda. Ni kama Wamasai wa TZ na Wakenya... Wote maeneo Yao ni Yale Yale, lugha Hadi Tamaduni, isipokua ktk maeneo hayo mipaka ikapita upande mmoja ni wa TZ na Mwingine ni WaKenya...
@@ce-08Hao Watutsi (Banyamulenge) ndio matajiri, Mali, wanatawala na wenye ushawishi ktk maeneo hayo huko Kongo... Wakongo wakawaida wanaamini hao jamaa waliingia Kongo kama wakimbizi, lkn kihostoria wapo hapo siku zote.
M23 ilianzishwa na wao wenyewe kulinda maslahi Yao baada ya kuwa wanabaguliwa na Wakongo wengine. Na hapo ndipo jamii zakimataifa pamoja na UN wanapojifaidisha na mzozo wao Kwa kuiaminisha Dunia kupitia media kwamba M23 ni waasi na wanasaidiwa na Kagame, huku wao wanaendelea kuiba Mali ya Kongo.
Wakongomani hamna marifa ndomana mnaangamia,mtoeni uyo rais wenu kichefu chefu hafai hata kidogo
Rwanda ni kama mkoa wa kongo inakuaje wanasumbua
Shida n vifaa Rwanda wafadhiri wa ulaya kwenye vifaa Congo alikuwa anavikwazo vya silaha vimeanza kutolewa 2023
Acha upuuzi, mwehu wee katika maswala ya vita au ulinganishi ws kiuchumi nchi haipimwi kwa ukubwa wa eneo. Kama umefika hata darasa la 7 utaona Wengereza ni kijinchi kidogo sana kwa eneo lkn aliitawala robo tatu ya dunia mpk karne ya 19, aliitawala Marekani, India, Pakistan mashariki ya kati na nchi tele Africa ikiwemo Tanzania ya leo.
Acha roho mubaya. Kwenye vita usijaribu kukataza watu kukimbia.
Eeeeeh hii ni vita ya waasi au ni vita ya wacongo na Rwanda? M23 ni wanamgambo?
ndio tetea inchi yenu
M23 wanaakili kuliko ss
Adui yopo kwenyenchi yako nyinyi mnalia lia tu kama amuwezi vita semeni
Tumechoka kusikia abali zenu sijui mnaakili gani piganieni nchi yenu tuje tuwasaidie maneno tu udhalendo udhalendo mnaoigwa udhalendo wa nini
Sasa watapigana na mawe? Au ni vita ya majimaji tena
Hii ni ajabu congo sijui imekuwaje nchin kubwa ina population kubwa, lkn inatishiwa na ki rwanda kinchi kidogo chenye watu hata milion 10 hawafiki... Kwanini isiivamie iipige ...kanchi kadogo hata mkoa mmoja wa tanzania ni mkubwa halafu kinavimbia na ki raisi chao kagame
Usicomment Kwa hisia.
Angalia video yote Kisha ndio ucoment.
Comment zinaonyesha baadhi ya wa Tzd walivo wajinga
@Mutako-ig1ik Ujinga wao ni nini? Si kweli kwamba Kongo wameshindwa kulinda nchi yao? Si kweli kwamba Rwanda ni mvamizi namba moja ya vita inayoendelea Kongo? Tanzania tumechoka kuwa kiota cha wakimbizi waliokosa ujasiri na uzalendo wa kulinda nchi yao. Tujifunze kwa Trump!
@SylvesterKameo haaaaaa
@SylvesterKameo ningekuw na watsap yako ningekutumia ushahidi unawo onyesha uongo unawo zungumuzwa na wa Congo na watu kama nyie muliwo pandikizwa chuki na kuichukia Rwanda bila sababu kuna siku mutajutia hivi munavo viongea na uongo wenu
Nyie mliokuwa mnalipwa mshahara pesa mbaki, waliokuwa hawalipwi wana haki ya kuondoka
Duuh utaelewa umuhimu wa nchi yako cku ukipata nafas ya kuish nchi yoyote ambayo sio yako
@ce-08 nilishaishi tena kwa haki zote nilifuata
@@PeterJonathan-c8k ulifurahia kabsa kama kwenu
@@ce-08nchi yeyote ukitaka uzalendo uwepo tenda haki kw wana nchi,, sio keki ya taifa iliwe na wachache hapo hakuna umoja
@PeterJonathan-c8k acha wapambanie nchi Yao kuwa na baadhi ya viongozi wabaya Haina maana nchi mbaya viongozi wanabadilika hawaish milele Hivyo wapambanie nchi Yao kwa vizazi vyao vjavyovpate sehem ya kuishi iliyopo salama sio na wao wateseke kama Baba zao km ilivyo Tz wazee walipambana cc sasa hiv miguu juu
Ebu toa Ujinga hapa acha watu waje Tanzania ni kwao kufa pekee yako mbuzi wewe
Haya maajabu makubwa sana yaani tembo anapigwa na na paka hadi anatia huruma
Kamuotea kama goliat na daud😂😂
Na ni miaka mingi na itaendelea kizazi na kizazi
Wakongo mnamaneno mengi yasiyo timia