Wameujaribu MOTO wa Kapteni IBRAHIM TRAORE: Jaribio la kumpindua limefeli, waliopanga wanaswa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
    Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti

ความคิดเห็น • 174

  • @wilsonsamsonwilliams
    @wilsonsamsonwilliams ปีที่แล้ว +47

    Mwenyezi mungu azidi kumlinda dhidi ya wanafiki wanaotaka kumuangusha
    Africa inapaswa kumuombea huyu mwamba God bless Ibrahim Traore 🙏🙏🙏

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 ปีที่แล้ว +9

    God bless Abraham Traore.

    • @michaelnkana9234
      @michaelnkana9234 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu ailinde serikali ya Ibrahim tiraole

  • @saidumuru5232
    @saidumuru5232 ปีที่แล้ว

    God bless Africa

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 ปีที่แล้ว

    Mungu ampe nguvu

  • @SamliNanguvile
    @SamliNanguvile ปีที่แล้ว

    Wapigwe lisas wote waliojalibu kumpindua

  • @hajjijuma6877
    @hajjijuma6877 ปีที่แล้ว

    Acheni fitina warabu gani alowaleta mama hata ikiwa humumpendi yeye rais

  • @hassangaddafi2347
    @hassangaddafi2347 ปีที่แล้ว

    Viva Putin viva African ❤❤
    🔥🔥🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺💪💪🇰🇪🇰🇪

    • @saidseif4753
      @saidseif4753 ปีที่แล้ว

      Kenya na Putin,, wapinawapi,,,, Kenya na zelensky

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 ปีที่แล้ว +9

    IBRAHIMU NI KAMA JPM
    HANA UJINGA NA WAZUNGU HAWA WEZI WA RASILIMALI ZETU
    TUNAHITAJI TRAORE TANZANIA ANATUFAA SANA

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 ปีที่แล้ว +12

    Adui wa African ni muafrica mwenyewe wazungu wana mtumia muafrica kuibomoa African

  • @paschalsimeo-jr3kz
    @paschalsimeo-jr3kz ปีที่แล้ว +2

    Sisi waafrika hatuna akili yaani kiongozi anatumia nguvu kubwa kuleta maendeleo lakini tena sisi wenyewe tunataka kumpindua

  • @simontamba2189
    @simontamba2189 ปีที่แล้ว +13

    Mungu azidi kumlinda ninamuomvea kwa jina la Yesu azidi kuwa mshindi
    Viva Traore
    Viva Afrika

    • @huseinomary808
      @huseinomary808 หลายเดือนก่อน +1

      sema kwa jina langu la mungu sa kwajina la yesu, yesu atamlindaje akati n nabii tu Tena yupo mbinguni duniani ayupo muda huu, Allah atamlinda mwamba Aamina.

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 4 หลายเดือนก่อน +1

    Africa sisi ni manyani. Yani kijana anafanya kazi kubwa kubadilisha nchi. Wengine wanahangaika kumvuruga.
    Hao wakamatwe. Na raia wa burknafaso kuweni pamoja. Mimi mwenyewe nipo nyuma yenu.
    Huyu rais tutamwombea kama alivyokuwa joshua mwana wa nuni.
    Atashida vita.
    Kuna mijitu ni mibinafsi inapenda kula rasilimali za nchi.
    Mungu akulinde rais wetu captain

  • @MahafudhiAbdallah
    @MahafudhiAbdallah ปีที่แล้ว +18

    Ibrahim Teore Mungu atamsaidia kupambana na magaidi katika kuipeleka mbele Burkina Faso iliipige hatuwa za maendeleo

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 ปีที่แล้ว +5

    Hao ni mamluki wa Ufaransa na nchi za ulaya wamejipenyeza kwenye jeshi ili waweke utawala utakaowapa mwanya wa kuendelea Kunyonya!. Nchi zote za Afrika zinapaswa kupiga kelele sasa juu ya Marekani na nchi za Magharibi,na kuungana na China na Urusi kuzikomboa nchi zao bila ajizi.

  • @Supershopdubai-ck8td
    @Supershopdubai-ck8td ปีที่แล้ว +22

    Waafrica ban tumelaaniwa kwakweli mungu atunusulu amin from 🇧🇮👊❤️

    • @erickmisilakuba6426
      @erickmisilakuba6426 ปีที่แล้ว +7

      ​@@Muda27yupo sahihi punguza hasira

    • @ramadhanitwahili6837
      @ramadhanitwahili6837 ปีที่แล้ว +3

      Na ndio mahana wazungu wanatuita sisi nyani kwasababu akilizetu tunazijua wenyewe lana yenyewe ainadawa.

    • @khaliphaabubakar9466
      @khaliphaabubakar9466 ปีที่แล้ว +2

      Sema waAfrika wachache sio wote maana hiyo lana nawewe unayo.

    • @erickmisilakuba6426
      @erickmisilakuba6426 ปีที่แล้ว

      @@khaliphaabubakar9466 hapo ulipo ww mwenyew laana unayo cz uzalendo hata kwa nduguzo huna

    • @Clever-l8v
      @Clever-l8v ปีที่แล้ว

      Maana ya laana ungeijua usingesema ayo maneno ya wayahud wenye chuki zidi ya waafrika

  • @kilingechasimulizi2072
    @kilingechasimulizi2072 ปีที่แล้ว +3

    Moyo umeniripuka na kusisimka kusikia kuwa wananchi walimiminika mji mkuu kumtetea raisi wao....mimi mwenyewe ningekuepo...ila kwa tz cfanyi uo ujinga maana cjaona raisi wa kumtetea pindi anapotaka kupinduliwa

  • @NichorausRichard
    @NichorausRichard ปีที่แล้ว +5

    Duuuuh sisi waafrica n mbwa kabsaa,, hao wanajeshi waliotaka kumpindua n vbaraka wanaotumiwa na nchi za magharib

  • @robertpaul3625
    @robertpaul3625 ปีที่แล้ว +18

    Wahusika wanyongwe hadharani mbele ya umma wa wabukinafaso ili ikawe fundisho kwa wengine.Huu ni muda wa kuijenga Afrika yetu mpya,vibaraka hawana nafasi tena.Mungu ibariki Afrika,Mungu ibariki Bukinafaso.

    • @roi2554
      @roi2554 ปีที่แล้ว

      Hasaa❤

  • @derickkomory3022
    @derickkomory3022 11 หลายเดือนก่อน +1

    Waliotaka kufanya mapinduzi wanyongwe hadi kufa

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanapendaga xana voice yako na ndo mana huwa nasikiliza simliz zako

  • @KihangoIsmail-qn2uh
    @KihangoIsmail-qn2uh ปีที่แล้ว +27

    Hao maafisa waliotaka kumpindua traole ni vibaraka wa nchi za ulaya magharibi walaaniwe na mungu

    • @SamliNanguvile
      @SamliNanguvile ปีที่แล้ว +1

      Wapigwe lisas wote waliojalibu

    • @maniamba.tz_
      @maniamba.tz_ ปีที่แล้ว +8

      Ni vigumu sana Mzungu kumsaliti mzungu mwenzake kwaajili ya Mwaafrika lakini ni rahisi Mwafrika kumsaliti Mwafrika kwa maslai ya Mzungu

    • @saidseif4753
      @saidseif4753 ปีที่แล้ว +3

      ​@@maniamba.tz_ hakika waafrika ni maadui hatari kwa waafrika wenzao kwa tamaa ya kipumbaVu,, hahahaha,,😂 wanapewa nyumba ulaya na marekani wanajiona wamepaata,, wasaliti wakubwa,, na haya makundi yoote ya kigaidi yameundwa makusudi na wazungu na kupewa silaha za kila aina na wazungu kwa tamaa zao

    • @erickzephania1030
      @erickzephania1030 ปีที่แล้ว

      Yeye mwenyewe alimpindua mwanajeshi mwenzake juzi tu inamaana nae alitumwa na magharibi. Waafrika tuna shida

    • @Zaburi-
      @Zaburi- ปีที่แล้ว

      Mungu/MUNGU sio mungu

  • @BabaBalingasi-hp6gd
    @BabaBalingasi-hp6gd ปีที่แล้ว

    Kwanini UNAINGILIA KAZI ZA DJ Sma?
    Mwachie Dj Sma achambue hizi habari. Wewe Bundala HAUFAI kabisa kuongea hizi habarii. Unazengua. Wewe baki kwenye Udaku na Team Diamond ulizochagua. Uchambuzi mwachie DJ SMA

  • @gildasnyaki3812
    @gildasnyaki3812 ปีที่แล้ว +9

    Huyu jamaa Ni Raisi mzuri .

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 ปีที่แล้ว +7

    Hii ndio Africa wote walio jaribu wapew adhabu kali iwe mfano kwa vibarak wengin

  • @fadraj6899
    @fadraj6899 ปีที่แล้ว +3

    Biidhinlaah atakuwa imara wakat wote

  • @LuckySinkala-d5x
    @LuckySinkala-d5x ปีที่แล้ว +12

    GOD bless traore and guide him

  • @AllyMsafir
    @AllyMsafir ปีที่แล้ว +4

    Ukuu wa mwafrika wazarendo ote mungu awalinde sana na huwo Moto hawa uwezi

  • @juliusjaliwa9887
    @juliusjaliwa9887 ปีที่แล้ว +3

    Viva Traore, Mungu aendelee kukulinda Kiongozi kwa kweli niki kutazama naona picha ya hayati Thomas Sankara

  • @linusdavis9072
    @linusdavis9072 ปีที่แล้ว +1

    African leaders l beg you in the name of Jesus be deliverd from this powers of those stupid westerns

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 4 หลายเดือนก่อน

    Yani hii Africa ni ovyo kbc mtu akija kwajil ya kunusuru Ali Zao kuna baazi ya watu wanakuja na kupinga lkn yote kwa sabb wanaona ile njia. Ya kuzulumu watu kula mali za uma kwao aitakuwepo tena wanaona akuna tena njia ya kujilimbikizia mali hii ndio africa yetu

  • @estheroscar6520
    @estheroscar6520 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nikisikia tu ibrahim traore nasikia furaha Kijana hataki ujinga kaka safi traore mungu yupo nawewe.

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni ปีที่แล้ว +2

    Sisi watu weusi ni wapumbavu kabisa ndio maana tunaitwa nyani na wazungu .

  • @HeriDunia-i7m
    @HeriDunia-i7m หลายเดือนก่อน

    mtazamo apo kaka ni kuuwa tu kila anaebainika ni msaliti ili nchi iende mbele akuna mwananchi atakae laumu kwa kuuwawa msaliti wa maendeleo yao

  • @macnonjustice2889
    @macnonjustice2889 ปีที่แล้ว +6

    Mungu amlinde ibrahim Traole.❤ u ibra

  • @samsonhenry3871
    @samsonhenry3871 11 หลายเดือนก่อน

    Uyu Frank Larchman apewe mauwa yake aisee.. namsikia kila siku ukimtaja.. Jamaa anajua

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious ปีที่แล้ว +3

    Viva Captain

  • @maribaisack2097
    @maribaisack2097 11 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana huyu mwamba namkubali sana Mungu azidi kumuongoza...

  • @salvanandsonsfinanciallimi2831
    @salvanandsonsfinanciallimi2831 ปีที่แล้ว

    Wewe mtangazaji unauwezo mkubwa ktk habari Kama Osman mitaji wa Dw

  • @issajuma642
    @issajuma642 ปีที่แล้ว +3

    Yaaani waafrica tumekosa uzalendo kabisa tumeamua kuwa vibaraka wa wazungu ilihali wao hawatupendi hata kidogo 😢

    • @khalfanikimanta6663
      @khalfanikimanta6663 ปีที่แล้ว

      Tuna laana sie mie nadhani

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns ปีที่แล้ว

      Hili bara lipigwe mabomu ya nyuklia tuanze upya maana, duuuh!

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw ปีที่แล้ว +2

    Africa tuna watu wa ajabu leo ulaya wao wanaongea kuwa huyu jamaa ni mtu mwenye mnoo mkubwa kutaka nchi yake hata wazungu wanaona ni sawa Kwa ufaransa imewanyonya mnoo hawa jamaa ni maskini tujue hawa Kula wali ni mlo wa nguvu wao hata Kula ni shida nchi nzima kila familia umetoka nchi zingine kutafuta maisha Yani shida .

  • @swalehesaad1143
    @swalehesaad1143 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mwamba anahitaji maombi makubwa sana ni magu ajae huyu

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 ปีที่แล้ว +1

    Africa ndio kwetu ila cha kushangaza tunaongozwa na wazungu tena km watakavyo wao

  • @kinanaomar
    @kinanaomar ปีที่แล้ว +1

    Zidumu fikra za Ibrahim Traure na lazima wote wa nyongwe sababu ni matahira, wazembe na wapenda mkoloni kwa ni watu wenye akili finyu kabisa na ni lazima wa insole we ndani ya jamii

  • @yasiniyamamoto8174
    @yasiniyamamoto8174 ปีที่แล้ว +1

    Waliotaka kumpindua wachomwe moto mashetani wakubwa,tunataka viongozi wazalendo kila nchi ya kiafrika iwe na hukumu Kali kwa viongozi wezi wanaotesa wananchi ikibidi wachomwe moto.

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 ปีที่แล้ว +3

    Sns merci san napend video zen ten san🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿❤❤🙏

  • @FamkaShenekambi
    @FamkaShenekambi 18 วันที่ผ่านมา

    Mshikaji anasoma habari mpaka unakaa unatulia

  • @jamilmwinge3695
    @jamilmwinge3695 ปีที่แล้ว

    Kisicho ridhiki hakili, Toure kaza buti.

  • @EkyochiLobange
    @EkyochiLobange ปีที่แล้ว

    Mbona wa Burkina Faso wanata kuharibu inchi yao mabipari wanawadanganya toka Sankara ahuwawe walifaidika nn kamasio mateso? Africa tufunguke tumuhache kujana traore afanyekazi hadi sikuya uchaguzi please wa Burkina Faso

  • @HajithLisasi
    @HajithLisasi หลายเดือนก่อน +1

    Yeye ni shujaa

    • @HajithLisasi
      @HajithLisasi หลายเดือนก่อน

      Na Mungu ambariki

  • @bornifacecharles2
    @bornifacecharles2 16 วันที่ผ่านมา

    eee mwenyezi mungu mlinde traole

  • @raymondjohn3798
    @raymondjohn3798 ปีที่แล้ว

    Yani ninapenda Uongozi wa captain Ibrahim Traore,Kesha fanya mabadiliko Kwa Muda mfupi tu,

  • @abdullahhashimu2380
    @abdullahhashimu2380 ปีที่แล้ว +2

    ALLAAH akuhifadhi

  • @jamalnaheka1131
    @jamalnaheka1131 ปีที่แล้ว

    mabeberu hao washatuma vibaraka wao(waafrika)

  • @alijuma7674
    @alijuma7674 ปีที่แล้ว

    Wananchi qa bukinabe wamejifunza usaliti aliofanyiwa Thomas Sankara na badae nchi kuporwa kila kitu,so saivi wananchi wameamuwa Kufa au kupona lkn Captain ambae tyr ameshaonyesha njia abakie madarakani

  • @januariovirgiliodabali121
    @januariovirgiliodabali121 ปีที่แล้ว +8

    🇲🇿🇲🇿🇲🇿 viva Troare

  • @jamespierogi451
    @jamespierogi451 ปีที่แล้ว +1

    I believe that happened with the support of French Government.

  • @SalehSaid-lz9wl
    @SalehSaid-lz9wl ปีที่แล้ว

    Wazungu ao tena ni wa faranc wana leta vurugu

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx หลายเดือนก่อน

    The Magufuli of Burkina Faso

  • @bonifacemathias7589
    @bonifacemathias7589 ปีที่แล้ว +3

    Mungu mlinde mtu huyu🙏

  • @jeniferomato7770
    @jeniferomato7770 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu si mwanadamu mwenye uongo ,,,,akikupa ahadi huitimiza mungu wa milele

  • @chamandaayolaiza1535
    @chamandaayolaiza1535 ปีที่แล้ว

    NA HIII TANZANIA BORA IPINDULIW TU ITAKUA RAHA SANA HUU UONGOZI ULIO KUEPO WANA KULA WAO TU NA FAMILY ZAO SSI MASIKINI HAWANA TAIM NA SSI

  • @JohnKuwoko-su3ip
    @JohnKuwoko-su3ip ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa suala ni mabepari ambao wameng,ang,ania mkate usio wao na wamejenga mizizi Bado kazi ipo huo ni mwanzo tu hajamini hata wananchi wanajua haki Yao na raslimali ni zao

  • @kiatu
    @kiatu ปีที่แล้ว +2

    Nadhani ni shida kuwa mkubwa wa wakubwa wako/zako - sijui itaishiaje-feel sorry for him.

    • @BGHaule
      @BGHaule ปีที่แล้ว

      That's the problem,ajipe Major General

  • @jamesgenya5806
    @jamesgenya5806 24 วันที่ผ่านมา

    Am from Tanzania I appreciate traore

  • @timotheontibayaga-lq2xx
    @timotheontibayaga-lq2xx ปีที่แล้ว

    Uyu jamaa angekuwa karibu no ngekuwa ni askali wake na ningeingia mstuni namukubar sana

  • @jeniferomato7770
    @jeniferomato7770 11 หลายเดือนก่อน

    Hawa wahukumiwe maisha

  • @rosamarieshukraft7664
    @rosamarieshukraft7664 ปีที่แล้ว

    Nani aiwaroga wa Afrika Jameni, Afrika hawpendi Mambo mazuuri wanaenda machafuko tuu

  • @softtlipssTv
    @softtlipssTv 11 หลายเดือนก่อน +1

    😲😲😲😲😲😲😲😲😲😲😲😲😲😲😲😲 Tena 📺📍🇰🇪

  • @KOATV
    @KOATV ปีที่แล้ว +2

    Unyama mwingi

  • @RichardMlaguzi
    @RichardMlaguzi ปีที่แล้ว

    Waliojaribu kumpindua lazima watakua vibaraka wa wazungu wanataka waafrika waendelee kuwa masikini wakati Bara letu lina kila aina ya utajiri dawa yao watandikwe risasi hazarani ili kama kuna wengine wenye akili mbovu kama izo wafyate mikia

  • @lirastanley390
    @lirastanley390 ปีที่แล้ว

    Kikubwa ni kumiomba Mungu tu kwaajili ya Africa yetu ila hao wafaransa wakiamua hakuna hata wa kuwazuia tena wataichakaza nchi kweli kweli,,Mungu ibariki Afrika

  • @giftnoelimahenge7158
    @giftnoelimahenge7158 ปีที่แล้ว +1

    Wauwawe😆 wakiingia wanamaendeleo madalakani kuna mapepo meusi menzetu ya nataka GA walalushwa 2

    • @Fgldesigns
      @Fgldesigns ปีที่แล้ว

      Yaaani, duuuu! Huwezi kuamini

  • @TatuRashid-d6t
    @TatuRashid-d6t หลายเดือนก่อน

    From Tanzania I appreciate this guy,big up President❤❤

  • @sentitanomiseyeki8544
    @sentitanomiseyeki8544 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu yupo

  • @AloyceKiria
    @AloyceKiria ปีที่แล้ว

    Wanyongwe hadharani hao mbwa ss wenyewe tunataka ukomboz Kama huo wao wanazingia

  • @Felix-e6t4m
    @Felix-e6t4m ปีที่แล้ว

    Pambana kijana wangu mzalendo utashinda wananchi wako nyuma tuunga sote

  • @lumiereonline592
    @lumiereonline592 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ilinde Africa yetu

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns ปีที่แล้ว

    Waafrika hatujuagi kipi chema na kipi kibaya mpaka tuchelewe na kuanza kujuta

  • @ChoroTesla
    @ChoroTesla ปีที่แล้ว

    wameanza dram tena hiyo style inafanywa kutfta public sympathy

  • @eliudwandera405
    @eliudwandera405 ปีที่แล้ว +1

    Ok sawa 🇰🇪

  • @ShauriNaaly-yy5fh
    @ShauriNaaly-yy5fh ปีที่แล้ว

    Yan Mimi adui yang simuachi salama nikimkamata namchinja kama kuku hawa wazungu bila hivi hatutaheshimiana

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie ปีที่แล้ว +1

    Hakika watashinda

  • @hustonbakary8854
    @hustonbakary8854 ปีที่แล้ว

    Kwanini Africa hatuko kama NATO!!!,ingekuwa akivamiwa mmoja ni sawa na kuvamia Africa nzima,kwanini sisi ni WAJINGA tu kila kukicha jamaniiiii!!!!????

    • @leahmgunda4154
      @leahmgunda4154 ปีที่แล้ว

      Wakubwa wanalindana bila kujali mwenzao anawakosea nini watu wake,vinginevyo wanatakiwa wawe wanaonyana iĺi kuzuia mapinduzi.

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk ปีที่แล้ว

    Ondoa hayo mapinduzi ya Gabon ni propaganda sio kweli

  • @KorintoNguvila-ry1oe
    @KorintoNguvila-ry1oe ปีที่แล้ว

    Hao vibalaka wa nchi za magharibi mwa ulaya wonyongwe

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 ปีที่แล้ว +2

    Afric yang sijuw inop elekea😡😡🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🙏🙏❤❤🇹🇿🇹🇿🇧🇮

  • @twentyacresfarms3464
    @twentyacresfarms3464 ปีที่แล้ว

    Habari za muda huu mwana sns huwa nikiskia hivyo nakuwa makini sana 😅

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว +4

    Hata Tanzania mapinduzi yafanyike tu uongozi mbovu kabisa asilimali za taifa zinauzwa hovyo huyu mama aondolewe tu kazi kutujazia warabu wenzie kwanini asiuze bandari ya zanzibar anatujazia wanzanzibar kwenye bunge letu wakati wa bara wetu hawapewi nafasi kwao

    • @barikilangoy4737
      @barikilangoy4737 ปีที่แล้ว +4

      Subiri ifike ijumaa mama akipumzika apitie hii comment yako ndio utajua kwanini iddi Amini dada anaitwa dada wakati ni mwanaume

    • @hassankhamis1205
      @hassankhamis1205 ปีที่แล้ว +1

      Huna akili fikiria kwanza kabla hujacoment

    • @badrukheir4
      @badrukheir4 ปีที่แล้ว

      Acha ubaguzi huo Hauna tija kwa taifa letu ,wote ni watanzania haijalishi wanatoka pande zipi?

    • @GeorgeUsele-kr6qk
      @GeorgeUsele-kr6qk ปีที่แล้ว

      Ni kweli aondolewe tu

    • @lugelosanga5798
      @lugelosanga5798 ปีที่แล้ว

      Ni kweli aondolewe

  • @shabaniismaili2629
    @shabaniismaili2629 ปีที่แล้ว +2

    Lete habari

  • @hamadeddymaclayz
    @hamadeddymaclayz ปีที่แล้ว

    Chuma hiki hawakiwezi wajinga mabeberu wa France

  • @gadsonpetro771
    @gadsonpetro771 ปีที่แล้ว

    Mwamba atailinda nchi na atapambana na wao mabeberu

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 11 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana Bro sky kwa taarifa hii ❤🙏

  • @ms123ru
    @ms123ru ปีที่แล้ว +1

    Jamaa anaacha nchi 2024 dah uyu jamaa ni mzalendo sana

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 ปีที่แล้ว +2

    Mungu amtetee

  • @yustomoses3334
    @yustomoses3334 ปีที่แล้ว

    Mungu bariki Africa Mungu bariki bukina faso

  • @shukurulazaro8688
    @shukurulazaro8688 ปีที่แล้ว

    Gaidi hawezi kufanyiwa ugaidi kiulahisi

  • @RichardBoy-d5y
    @RichardBoy-d5y ปีที่แล้ว +1

    Mungu Anitiye nguvu

  • @rogersiddy
    @rogersiddy ปีที่แล้ว +3

    Kila la kheri kwa Mh Traore

  • @ga2revocatus91
    @ga2revocatus91 ปีที่แล้ว

    Ibraaa namkubari xanaa Yan mungu amrindeee

  • @shabaNjubu-zx8dk
    @shabaNjubu-zx8dk ปีที่แล้ว

    Wanyongwe awa ambao sio waminifu