Ndoa imevunjika? Shakib afuta picha zote akiwa na Zari, aonekana na mrembo huyu Dj wa NRG ya Uganda

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 88

  • @Zuu673
    @Zuu673 7 หลายเดือนก่อน +23

    Ni Kiki vyote vipo huko Netflix hawaja achana na zari hajarudiana

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 7 หลายเดือนก่อน

      Definitely, there's trouble in paradise 😔

  • @shabanizena2612
    @shabanizena2612 7 หลายเดือนก่อน +11

    Mwaka umeaza vizuri

  • @manstiko5890
    @manstiko5890 7 หลายเดือนก่อน +13

    Kiki hii ya Netflix 😂😂😂

  • @everrineanyango7410
    @everrineanyango7410 7 หลายเดือนก่อน +9

    Amkeni amkeni kumekucha in mwijaku voice 😂😂

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 7 หลายเดือนก่อน +11

    Mimi namshkuru#Mungu sana sina pesa sina umaarufu lakini nimedumu na Mke wangu Miaka minane sasa alhamdhulillah🙏🙏....

    • @aishajuma18
      @aishajuma18 7 หลายเดือนก่อน +3

      Maashallah hongereni sana

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 7 หลายเดือนก่อน +3

      Honger sana mdumu milele Amina

    • @happynesbaemuhappynes8813
      @happynesbaemuhappynes8813 7 หลายเดือนก่อน +2

      Allahamdulilah.ongereni mdumu milele

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 7 หลายเดือนก่อน

      Mungu aendelee kuwatunzia ndoa yenu 🌹

    • @alexmalyango1405
      @alexmalyango1405 7 หลายเดือนก่อน

      Hongera japo juzi ulichepuka mwaya

  • @SidBrand
    @SidBrand 7 หลายเดือนก่อน +4

    Bro Sky...nimefwatilia some years ago kulikua na kipind Cha KOVU but currently sikisikii..what's the problem? Kilikua kipind kizur sana...Fanya kirud asee

  • @JameswisdomBanda
    @JameswisdomBanda 7 หลายเดือนก่อน +8

    Mambo ni pambe mwaka huu 😮😮

  • @chany9950
    @chany9950 7 หลายเดือนก่อน +8

    Iyi dunia ina Mambo jmn

  • @EmanuelNicholaus-vn9gl
    @EmanuelNicholaus-vn9gl 7 หลายเดือนก่อน +3

    Celebrity love ❤have lot of dramas

  • @asifiwechinois
    @asifiwechinois 7 หลายเดือนก่อน +4

    Ni promotion ya new series yao young famous

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza history inaonyesha kua haya Mapenzi wanayalipia. Usidhani ni bure. Ili upate umaalfu unatakiwa ku date na hawa watu kwa malipo

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 7 หลายเดือนก่อน

    Kumekucha,kumekuchaaa

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 7 หลายเดือนก่อน +2

    diamond anasumu kali kiki kazirithisha hadi kwa waganda 😂😂😂

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 7 หลายเดือนก่อน +1

    ata mi sivumilii uo ujinga,,,kama mnapendana si mngekaa sasa si mna watoto?,,,,hasa Zari ndo kana uswahili fulani ivi,,,kuzaa na dai ana imagine kuwa dai ni malaika,,khaa😊

    • @zainabwage4658
      @zainabwage4658 7 หลายเดือนก่อน

      Uo ndio ukwer hamna mwanaume atakae ishi nae km ataish iv ata km wamezaa lkn iko mipaka yake

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 7 หลายเดือนก่อน +3

    Khaaa wanakulana hawaaaa 😂😂😂😂

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 7 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂😂jaman hizi ndo mungu 2 asaidie wallah

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 7 หลายเดือนก่อน +2

    Shaqib na core parent yake😂😂😂😂

  • @amamiss22
    @amamiss22 7 หลายเดือนก่อน

    Awa wanaceza ile serie ya black famous utakuja nikumbuka hata zuchu na Dai piya sameee

  • @storynaochino
    @storynaochino 7 หลายเดือนก่อน +3

    Uweeeeh😂😂😂

  • @RyanKahindi
    @RyanKahindi 7 หลายเดือนก่อน +5

    Ni kick tu hii navitazikwa na nyimbo inayokuja ya darasa

  • @zuwenaadja2261
    @zuwenaadja2261 7 หลายเดือนก่อน

    Zari fimbo yake Dai tukubaliane na Mange kashasema Dai Zari hawezi move on pale..😂😂

  • @jeanfidele7521
    @jeanfidele7521 7 หลายเดือนก่อน

    tokoos

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 7 หลายเดือนก่อน

    Kweri atawepeke miye kuimbakanisani mume akanipa pesa ikaretashida sasaiyi yazari nadiamond vituvingine kabisa hakunamume muvumirivu kwahiri ❤😢

  • @danymak5800
    @danymak5800 7 หลายเดือนก่อน +1

    Zari, Vera Sidika na Akodhe ni wanawake wa kuotea mbali sana. Date them at your own mental health risk!!!!

  • @strong8534
    @strong8534 7 หลายเดือนก่อน

    Cris na Esco mbona kimya??

  • @jackiemuthami1723
    @jackiemuthami1723 7 หลายเดือนก่อน +3

    Halafu Mange akiongea mwasema anauwivu😂😂

  • @MariamMasoud-r5y
    @MariamMasoud-r5y 7 หลายเดือนก่อน +4

    Zelesafali za mondi nilijuwatu anataka kuvunja hiindowa

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 7 หลายเดือนก่อน

    Jaman jaman 😢😢😢

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 7 หลายเดือนก่อน

    Ila Hawa jamaa wanaweza kutuchezesha Sana akili zetu Yani..ila Daimond kwer nimekubali yeye kuwa niking wa kiki..mmmh 🙌kwer zari na Daimond ni mabingwa wa kiki Yani😱🙄sarut

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 7 หลายเดือนก่อน +4

    Kumekuchaaaaaa

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 7 หลายเดือนก่อน +1

    🙄 hatar

  • @auntiemylee3157
    @auntiemylee3157 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amezieka only me can see

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 7 หลายเดือนก่อน

    Iyo ni kiki mimi sijaamini uongo kbx😂😂

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ndoa ya mitandaoni ni shidah,

  • @janesuma-is4wc
    @janesuma-is4wc 7 หลายเดือนก่อน

    Hii ndio shida ya kuwa na mahusiano na hivi tuvijana

  • @BHALEEALI
    @BHALEEALI 7 หลายเดือนก่อน

    hata kama ni ile ishu ya series yao but kiukweli ZUCHU ana moyo wa chuma sana mana sio rahisi kumeza mate juu ya hizo drama za Diamond na Zari

  • @michilita2959
    @michilita2959 7 หลายเดือนก่อน +3

    Ni kiki tuuu nyie hamjuwi zari

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 7 หลายเดือนก่อน

    tobaaa tayari😂😂

  • @saidmasika8738
    @saidmasika8738 7 หลายเดือนก่อน +2

    awa awakufunga ndoa walikuwa ni kiki

  • @rehemathoya8754
    @rehemathoya8754 7 หลายเดือนก่อน +1

    Content creators, there is no relationships in either couple

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 7 หลายเดือนก่อน

    Diamond na zari wana bond kubwa sannnaaaaa, ukizingatia wote ni LiBRA.. 😢😅😅

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 7 หลายเดือนก่อน

    Kick for trending and for making money ..let them make money.

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 7 หลายเดือนก่อน

    MANGE KIMAMBI ALISUMULIYA IYOOO KITAMBOOO😂😂😂 WANA KULAMAAAA

  • @salmaabdu5011
    @salmaabdu5011 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kunguru hafugiki

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 7 หลายเดือนก่อน

    Netflix young and famous

  • @tomsijohni
    @tomsijohni 7 หลายเดือนก่อน +1

    just leave the woman alone, she thinks she is a child, brother, find your size

  • @mwajumakweli
    @mwajumakweli 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kiki iyo kwa piki piki akuna lolote hapo

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 7 หลายเดือนก่อน

    Drama tu hizi lkn hana jeuri hiyo

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hakukuwa na ndoa hapo kama kuna kumbukumbu nenda kwenye comment zangu na leo nasema Tena hivi "ukiowa mke mwenye mtoto hapo umeowa mke wa MTU" haijalishi ameachika muda gani maana kipolo hakiitaji moto mwingi

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kiki yakujinyonga na kamasi

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 7 หลายเดือนก่อน

    Toka lini filimaso wakafunga ndoa

  • @alineniyonkuru8701
    @alineniyonkuru8701 7 หลายเดือนก่อน

    Ni kiki diamond ifike awace wingine wafanye kazi

  • @claudejc8648
    @claudejc8648 7 หลายเดือนก่อน

    Recap tunasubiri

  • @uaeuae1871
    @uaeuae1871 7 หลายเดือนก่อน +1

    😅😅

  • @kautharsalat6449
    @kautharsalat6449 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bi tukinao 😂😂😂😂😂

  • @hellenmassawe7284
    @hellenmassawe7284 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi ninamzubiria tuu mange hapa ndiyo Atatowa jibu

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wanaleta shida tuu!!! Lakini hamna lolote!! Zari hawezi muwacha shakib

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 7 หลายเดือนก่อน

    Zuchu ajiandae zari na mondi wana ludiana

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kiki hamna kitu hapo

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 7 หลายเดือนก่อน

    Ni Kiki tu hizo

  • @evemurugi3399
    @evemurugi3399 7 หลายเดือนก่อน

    Hii ni Kiki 😂😂

  • @Bama959
    @Bama959 7 หลายเดือนก่อน

    Zari ni Malaya tu hanaga jipya

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 7 หลายเดือนก่อน

    Drama

  • @raflonahinamahi4384
    @raflonahinamahi4384 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂💃💃💃💃💃

  • @lswai6777
    @lswai6777 7 หลายเดือนก่อน

    Kiki hizi. Kuna mtu ataachia wimbo hivi karibuni.

  • @RoverRoom
    @RoverRoom 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @EdghaMoses-js8lj
    @EdghaMoses-js8lj 7 หลายเดือนก่อน

    🙄🙄😂😂😂

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni Kiki tuu hamn kingine

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 7 หลายเดือนก่อน

    Kiki za Kila siku tena za kufanana alafu nyie bado tu unazipeleka mjini Kwa kuwaongezea views 😢